Hakuna mahali salama kwa mjukuu wa chini ya miaka miwili kulinganisha na kifuani kwa babu yake anapolala baada ya kuzidiwa na usingizi unaotokana na utamu wa hadithi ndefu. Huwa wajukuu wanasinzia...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameutaka uongozi wa Bodi ya Huduma za Maktaba kutoendelea na ujenzi wa majengo na badala yake wajikite katika ununuzi vitabu mbalimbali...
Gazeti moja la kila juma linalochapishwa katika lugha ya Kiswahili, leo ukurasa wa mbele limeripoti CHADEMA kumuhitaji Dkt. Wilbroad Slaa tena kwa msisitizo eti "kwa wakati huu kuliko uliopita"...
Tanzania kuna watu wanateseka kisiasa ila wamejificha; Tanzania imegawanyika; Tanzania haiwezi kuponywa majereha ya watawala kwa madaraka wala miradi ya maendeleo tunahitaji haki, usawa na ukweli...
Ukiangalia ile Orodha ya Wassisi 6 wa Chadema wote walikuwa wameshiba fedha ndio Sababu hawakuwa na papara za kugombea urais
Uimara wao kifalsafa ndio unaifanya Chadema idumu na Nccr Mageuzi...
Nchi imevurugwa, mkuu wa Wilaya ya Handeni alitafuta popularity kwa bibi wa Taifa mama Tibaijuka; bibi wa Taifa alijibu once then ila Msando amezungumza hadi maneno yameisha
Nadhani hakujiandaa...
Mfalme berishaza maandiko yanasimulia,alilewa madaraka akamkosea Mungu..
Alipopata ufalme alichanganyikiwa na cheo chake mpaka akathubutu kutumia vikombe vya hekalu..!
alishangaa kuona mkono...
Ni katika muemdelezo wa sakata la wamasai wa Ngorongoro.
Bi Maria Sarungi ambaye ndiye mtu namba moja aliesimama kwa hali na mali kuwapigania Wamasai wa Ngorongoro ameamua kuishtaki serikali ya...
Nilimsikia Tundu Lissu akisema eti kabla ya serikali kuzuia makontena ya mchanga ilitakiwa kwanza ikajitoe kwenye uanachama wa Investment Guarantee Agency (MIGA) na Bilateral investment treaties...
MKUTANO WA CHADEMA WA KUPINGA MAENDELEO KWA WATANZANIA UMEKWAMA TENA BUKOBA
Leo BUKOBA Viongozi wakuu wa CHADEMA wapata AIBU Kubwa mara baada ya kufika uwanjani na kukuta kiwanja cheupe kama...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Misa Takatifu ya kumuombea Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere inayofanyika Kwenye Kanisa Kuu Katoliki Jimbo la Bukoba...
Inashangazwa kuona nguvu kubwa inatumika kwa viongozi wa wilaya mikoa manaibu mawaziri na mawaziri wajumbe wa halmashauri kuu ya ccm wakihaha huku na kule kuwahutubia wananchi waunge mkono sakata...
Majaji Ndunguru: naomba kabla sijatamka tarehe ya maamuzi; kwa niaba ya majaji wenzangu nawashukuru sana Mawakili pande mbili.
Jaji: Kwa kile mlichokionyesha, sisi tumeona the highest level of...
Ndugu zangu watanzania,
Kuna watu wakiwepo wapinzania na baadhi ya watu waliokuwa nyuma wakiwatumia na kuwafadhiri wapinzani njaa na wasaka tonge kumchonganisha Rais samia na wananchi, walifanya...
Nimeusoma huo mkataba wa makubaliano. Mimi niliamini kwa sababu sio mara ya kwanza tumekuwa na mikataba ya aina hii, tumekuwa na mikataba hii katika maeneo mbalimbali. Sasa tunapofanya hii...
Tuliwaambia ushirika wa wachawi haudumu viongozi waandamizi wa CHADEMA na kikundi cha sauti ya watanzania wameanza kutupiana shutuma za kutafuna fedha za zilizotolewa kwa nia Ovu ya kufanya...
Mimi ni shabiki lialia wa muziki wa Hiphop (Rap). Kuanzia rappers wa ndani hadi wale wa America. Kimsingi Hiphop ni muziki wangu pendwa zaidi. Simu yangu ina nyimbo za Sugu, Kalapina, N2N, Prof...
Maana wanavyomsifia kuwa ni msomi mzuri wa sheria tulitegemea angekwenda mahakamani kupinga na usomi wake ungeonekana huko au angejitokeza kuwasaidia hao waliokwenda kufungua kesi hiyo mahakama...