muafi
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,260
- 5,397
Mfalme berishaza maandiko yanasimulia,alilewa madaraka akamkosea Mungu..
Alipopata ufalme alichanganyikiwa na cheo chake mpaka akathubutu kutumia vikombe vya hekalu..!
alishangaa kuona mkono unaandika ukutani na anayeandika alikua haonekani maneno yaliyotokea ukutani ni haya, "MENEMENE TEKELI NA PELESI" maana yake 'ufalme wako umepimwa kwa mizani nao umeonekana umepungukiwa, ufalme wako umesababisha matabaka umegawanya Wamedi na Wajemi"
Bershaza alizani amefika akaanza kudharau watu wake kumbe hakujua safari bado'
mfalme alizani amefika mpaka hakumuogopa Mungu,
nakusihi Mfalme Safari Bado usijifungue mtoto wa kwanza ukaanza kutukana wakunga''