MKUTANO WA CHADEMA WA KUPINGA MAENDELEO KWA WATANZANIA UMEKWAMA TENA BUKOBA
Leo BUKOBA Viongozi wakuu wa CHADEMA wapata AIBU Kubwa mara baada ya kufika uwanjani na kukuta kiwanja cheupe kama ilivyotokea Temeke Viwanja VYA BULIAGA
Miaka ya Hivi Sasa Watanzania wanajua ukweli na ndio maana Mikutano mingi ya CHADEMA inakosa mvuto sababu Kubwa ni aina ya Siasa wanazofanya za Matusi na KASHFA Kwa Viongozi ambao Watanzania wanamatumaini nao makubwa katika kutatua changamoto zao.
Hakuna asiyejua juhudi za Mhe. Rais DKT. Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha Tanzania inakuwa ni Kimbilio la wawekezaji Nchini lengo ni kukimbia Kwa haraka katika Maendeleo wote mtakuwa mashahidi hakuna kilichosimama na Maendeleo yapo kila sehemu
CHANZO Cha kelele zote za CHADEMA ni KUKOSA ajenda ya kwenda nayo Kwa Wananchi maana Wananchi wanaviona Kwa vitendo juhudi za Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa Moyo wake wa kizalendo katika kuwatumikia Wananchi wake.
Hakuna asiyejua mambo mengi yalikuwa hayaendi lakini chini ya mama yanakwenda Hata hao wanaopita kutukana na kukashfu walikuwa wanasota GEREZANI lakini mama amewaleta mtaani lakini FADHIRA zao ni Matusi
Upotoshaji unaendelea kuhusu Bandari ni Mpango mahususi wa CHADEMA katika kurudi Mjini lakini wasichokijua ndio wanakufa kisiasa.