Walioasisi Chadema hawakuwa na Njaa ndio Sababu Falsafa ya Chama imedumu Japo waliopo sasa Wana Njaa kali!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,151
Ukiangalia ile Orodha ya Wassisi 6 wa Chadema wote walikuwa wameshiba fedha ndio Sababu hawakuwa na papara za kugombea urais

Uimara wao kifalsafa ndio unaifanya Chadema idumu na Nccr Mageuzi isambaratike japo walitumia Katiba inayofanana Sana

Kwa sasa Watu wachache Sana pale Chadema Wana ile jeuri ya Akina Mtei na Tuntemeke Sanga ambao ni Lisu, Heche, Mnyika, Benson na Mchungaji Msigwa japo Mdude naye ana Ujasiri wa kipekee

Nawatakia Sabato Njema!
 
Back
Top Bottom