Kuna mtu bado anabisha uwepo wa SUKUMA GANG ndani ya CCM? Lissu kawafariji wamenyanyuka kwa shangwe

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
887
4,131
Tanzania kuna watu wanateseka kisiasa ila wamejificha; Tanzania imegawanyika; Tanzania haiwezi kuponywa majereha ya watawala kwa madaraka wala miradi ya maendeleo tunahitaji haki, usawa na ukweli.

Kauli ya Lissu kwamba JPM hakuwa mwizi kama wengine; kwamba hakuuza nchi kwa mikataba imetufanya tujue hali ya nafsi za wanasiasa na wananchi zilivyo. Hotuba ya Lisu hasa kipengele cha JPM imesikilizwa na kusambazwa sana kwenye whatsapp group huku kanda ya Ziwa.

Vijiweni wanajadili Lisu; wapo wanaojadili kwa kuona kama Lisu ametubu lakini wapo wanaoona wazi kwamba Lisu amesema ukweli kwa lengo la kujiimarisha kisiasa.

Makundi siyo shida ila kuwa na jamii inayokuchekea kisha ukiondoka wanakusema ndiyo tatizo; watu wa kanda ya ziwa wamechukizwa na matendo ya CCM ila wanashindwa kusema. CCM badilikeni na anzeni kusema ukweli mtakiimarisha chama, propaganda hazitawasaidia kwa watu kama Lissu. Hawa sukuma gang wanayo hasira kubwa
 
Hilo kundi la kikabila ulotaja ni la kufikirika,halipo na halijawahi kuwepo.

Yapo makundi mawili tu.

1. Watawala na wanufaika.

Hili ni kundi dogo sana, hawazidi Ml 1.

2. Watawaliwa,wavuja JASHO, wanyonywaji, wabebeshwa mizigo mizito ya Kodi na tozo.
 
Tanzania kuna watu wanateseka kisiasa ila wamejificha; Tanzania imegawanyika; Tanzania haiwezi kuponywa majereha ya watawala kwa madaraka wala miradi ya maendeleo tunahitaji haki, usawa na ukweli.

Kauli ya Lissu kwamba JPM hakuwa mwizi kama wengine; kwamba hakuuza nchi kwa mikataba imetufanya tujue hali ya nafsi za wanasiasa na wananchi zilivyo. Hotuba ya Lisu hasa kipengele cha JPM imesikilizwa na kusambazwa sana kwenye whatsapp group huku kanda ya Ziwa.

Vijiweni wanajadili Lisu; wapo wanaojadili kwa kuona kama Lisu ametubu lakini wapo wanaoona wazi kwamba Lisu amesema ukweli kwa lengo la kujiimarisha kisiasa.

Makundi siyo shida ila kuwa na jamii inayokuchekea kisha ukiondoka wanakusema ndiyo tatizo; watu wa kanda ya ziwa wamechukizwa na matendo ya CCM ila wanashindwa kusema. CCM badilikeni na anzeni kusema ukweli mtakiimarisha chama, propaganda hazitawasaidia kwa watu kama Lissu. Hawa sukuma gang wanayo hasira kubwa
Ndo safi
 
Back
Top Bottom