Albert Msando kaona mama Tibaijuka kapuuza na hoja zake ameamua kujiposti yeye na nguo zake za mahafali na CCM

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
879
4,111
Nchi imevurugwa, mkuu wa Wilaya ya Handeni alitafuta popularity kwa bibi wa Taifa mama Tibaijuka; bibi wa Taifa alijibu once then ila Msando amezungumza hadi maneno yameisha

Nadhani hakujiandaa, sasa hivi ameona athibitishe hoja za kuuzwa bandari kwa mavazi yake ya mahafali may akiamini watu wamepuuza hoja zake kwa kuwa hawana uthibitisho kama kweli alihitimu

Vijana mnaoelekea uzeeni tengenezeni legacy zenu wenyewe siyo kuishi maisha ya wazazi wenu. Usijitutumue tu kwa sababu umeamua kujitutumua; tuliza akili. Watoto wa JK, Nyerere, Kinana, Mkapa wametulia kwenye hoja ya DP world Kwa sababu awajajua itaishia wapi; wao wanasubiri good news to siyo contradictory news....

Msando bado ujasema
 
Back
Top Bottom