Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TUENDELEE KUJADILI MAPUNGUFU YA MKATABA. Baina ya Tanzania na Dubai wa uwekezaji wa Kampuni ya DPW katika bandari zetu zote. Tusitolewe kwenye mstari na kukubali Kujadili Udini. Naomba...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi karibuni, kampuni ya maendeleo ya mali isiyohamishika ya Uingereza imedai fidia ya dola bilioni moja (sawa na Trilioni 2.45) dhidi ya Tanzania kupitia Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi...
21 Reactions
175 Replies
16K Views
Kwanza kabisa ili kuweza kuelewa dhana hii kwa ufasaha, ni LAZIMA upate fursa japo kwa uchache kusoma nyaraka zifuatazo 1. Katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977(The...
0 Reactions
2 Replies
633 Views
Nimesikiliza kupitia BBC na VOA taarifa kuwa Rais Samia alisafiri kwenda Nairobi kwa minajili ya kuwapatanisha mahasimu wa siasa za Kenya ambao ni Rais Ruto na Raila Odinga. Sijajua undani kama...
13 Reactions
51 Replies
4K Views
Tukiwagusa Acacia tutashitakiwa MIGA alisikika Lissu msomi aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania lakini badala yake tukaja kulipwa billion 700 na Acacia ikafutwa na ikaundwa kampuni mpya ya Twiga...
15 Reactions
121 Replies
9K Views
"Hii biashara ya Rais wetu na maswaiba zake wa Dubai imekataliwa na watu wengi sana wenye akili na ambao hawajahongwa. "Bandari zetu zimeuzwa zote zilizopo na zitakazokuwepo. "Hao watu...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Fuatilia hapa kile kinachoendelea huku Urusi na viongozi wetu
2 Reactions
0 Replies
1K Views
KESI YA KIKATIBA NA.5/2023: Majaji wameingia ukumbi Na. 04 muda huu saa 6:05 MAWAKILI WANAJITAMBULISHA UPANDE WA SERIKALI: 1. Mark Muluambo - Wakili wa Serikali mkuu 2. Edson Mweyunge 3. Alice...
5 Reactions
63 Replies
11K Views
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mhe. Florent Kyombo, tarehe 26 Julai, 2023 ameendelea na ziara yake ya Jimbo. Katika ziara yake amehudhuria Mkutano wa ndani wa CCM Kata ya Nsunga na kugawa vitendea...
0 Reactions
0 Replies
585 Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Antipas Lissu atawasili nchini leo mchana na moja kwa moja ataelekea Ofisini kwa DCI kuitika wito wa Polisi. Tumuombee 😀
10 Reactions
73 Replies
5K Views
Ndugu zangu watanzania, Ni kazi juu ya kazi, ni bandika Bandua, hivyo ndivyo inavyoweza ukasema,kwa sasa CCM inashambulia kila kona ya nchi kwa mikutano mfululizo inayotoa majibu ya Masuala...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Kuna campaign nchi nzima na mikutano ya usiku na mchana kutetea uwekezaji Bandari ya Dar es salaam na uwekezaji wa baadae kwa Bandari zote za Tanzania kwa kampuni Moja tu ya DP World. Hizi pesa...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Charles Makongoro Nyerere, Wilayani Kalambo tarehe 27 Julai, 2023.
1 Reactions
0 Replies
953 Views
Proffessor Maruma ametetemeshwa na wasomi wenziwe huko duniani hadi anasikitisha. Amelowa! Na Tanzania kiuchumi tunapigwa kisawasawa, tumepambana na Economic Hit Men. Wasomi wengine mlioko...
12 Reactions
33 Replies
3K Views
NDUGU MARY CHATANDA - PUUZENI WAPINZANI WANAOICHAFUA CCM JUU SUALA LA BANDARI Mwenyekit wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Mary Chatanda na Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndugu...
0 Reactions
9 Replies
964 Views
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mhe. Florent Kyombo akipokea zawadi ya Ng'ombe, Mbuzi na Kuku kutoka kwa Wananchi wa Kata ya Nsunga mara baada ya Mkutano wa hadhara uliofanyika tarehe 26 Julai, 2023.
0 Reactions
6 Replies
808 Views
Kadiri teknolojia inavyoendelea kusonga mbele na dunia inavyozidi kukua kidigitali, umuhimu wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha unazidi kuongezeka. Hili ni jambo muhimu sana, hasa katika...
0 Reactions
0 Replies
536 Views
Viongozi wa serikali ya Tanzania wameamua kujitoa ufahamu ili kuibeba kampuni ya DP world. Yaani sote tunajua shughuli za bandari zinahitaji usalama wa hali ya juu na madhubuti kwa sababu ya...
10 Reactions
19 Replies
1K Views
Alberto Mdando naona amekazana kuwajibu watu wanaopinga mkataba kisheria zaidi vizuri na anasema ni hoja kwa hoja. Mtazamo. Mtandao sio ofisi ya kazi ya wakili yoyote, ofisi ya wakili ni...
0 Reactions
0 Replies
477 Views
Mnamo tarehe 19.05.2023 Makamu wa Rais Dkt. Mpango uliweka Jiwe la msingi kwa ujenzi wa barabara kiwango cha lami Mianzini mpaka Ngaramtoni yenye urefu wa kilomita 18 Wilaya ya Arumeru Mkoani...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom