Billal Saadat
Senior Member
- Nov 30, 2022
- 169
- 356
Tuliwaambia ushirika wa wachawi haudumu viongozi waandamizi wa CHADEMA na kikundi cha sauti ya watanzania wameanza kutupiana shutuma za kutafuna fedha za zilizotolewa kwa nia Ovu ya kufanya upotoshaji.
Kama tulivyowaeleza hapo awali suala la bandari kuna watu wengi they just benefiting from the current status ya bandari yetu wamekuwa wakitoa Pesa kwa Dkt. Slaa, Mbowe, Maria Sarungi na wengine wanaopotosha ili waendelee kunufaika na hali ya bandari kutokufanya vizuri.
Baadhi ya watu wamekuwa wakitoa mafungu ya Pesa wakichangia upotoshaji wa mkataba kati ya Tanzania na Dubai wameanza kuzungukana na siri zimeanza kutoka hadharani kuwa viongozi wa CHADEMA na Wanaharakati hupewa hela kwa ajili ya kufanya upotoshaji huo na kazi kufanyika kinyume na matarajio ya wafadhili hao.
Yapo makundi matatu ambayo ni wanufaika na hali ya Bandari wakiongozwa na TICTS pamoja na makampuni yanayotaka kupewa tenda ya kuendesha bandari pamoja na taasisi fulani ya dini na fedha hizo zimekuwa zikipitia kwa Dkt. Slaa, Mbowe na Maria Sarungi.
Makundi haya yamejaribu kutoa Pesa kwa CHADEMA ili kufanya iwe national issue kwa kuitumia CHADEMA kama Jukwaa lao na kuwalipa hela ya kufanya upotoshaji huo. Lakini mambo yameonekana kukwama jambo la kwanza ni maandamano kupinga ubinafsishwaji wa bandari yaliyoandaliwa na BAVICHA na lingine mkutano wa Buliyaga-Temeke ulioandaliwa na Chadema.
Katika mpango uliovuja wa sauti za shutuma za fedha wanazozitoa kwa ajili ya upotoshaji zinatumika kwa maslahi binafsi, zipo hela zilizochangwa kwenda umoja wa Wanawake Chadema zimeliwa na Catherine Ruge na kuna ugomvi mkali unaendelea na kumtaka Catherine kurejesha fedha hizo haraka.
Hela zilizotolewa kwenye maandamano na kupewa Maria Sarungi zimeliwa huku Vijana wakitekelezwa kwa kupewa support ya mitandaoni tu kiasi cha dola elfu 45,000 kilitumwa kwa Maria Sarungi. Inasemekana vijana wamepata shilingi laki 500,000 tu ambayo ilitumika kuprint mabango na Tshirt wanazotuma Vijana wa CHADEMA.
Baadhi ya Vijana wamekuwa wakimlamikia Maria Sarungi kutokupokea simu zao wakati aliwahaidi angewalipa shilingi milioni tano ya kuratibu maandamano hayo. John Pambalu mwenyekiti wa wa BAVICHA Taifa alisikika Juzi akiwa Ukerewe kuwa wanawatumia kwa maslahi yao binafsi na wao hawafaidiki na ipo siku atafanya maamuzi magumu muda wowote kuanzia sasa.
Kiwango kingine ambacho wametaka kujua matumizi yake ni Pesa zilizochangwa kwenda kwa Dkt Slaa zaidi ya Dola laki 150,000 ambazo zilikuwa kwa ajili ya Logistics za mkutano wa Buliyaga Temeke na mkutano kushindwa vibaya katika matarajio waliyoyataka..? Na Dkt. Slaa ameomba fedha nyingine ya kuunganisha nguvu na Chadema kikao kimefanyika.
Kiasi kingine ambacho hakijafahamika kimetolewa kwa ajili ya kutumika kanda ya Victoria kwa Mikoa ya Kagera na Mwanza hakijawekwa wazi dondoo tulizozipata ni kuwa Viongozi wa CHADEMA wameanza kuwa blackmail wafadhili kwa kutisha kuvujisha siri kwenye vyombo vya dola kuwa wanahusika kwenye uhaini and this is too much alisikika mmoja wafadhili hao anayetokea mkoa wa Kagera.
Hali ya mkutano wa Kagera inawezekana yakatokea kama ya mkutano wa Temeke, Juzi ulifanyika mkutano mkuu hapa kagera wa Chadema ambao haukuisha vizuri baada ya wanachama kugawanyika pande mbili vilevile mfadhili mkuu ambaye kutoka TICTS anataka kuficha yeye siyo mfadhili hivyo ametoa support lakini juu chini anapinga ufanyikie hapo.