Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,977
- 4,912
Ninachojiuliza, kwanini viongozi wa serikali hawataki kubadilisha mapungufu hayo ya mkataba wa DP world au kuufuta kabisa na wanaendelea kuaminisha umma mambo ya uongo?
Hivi wabunge hawa wanaamini wataishi peponi tofauti na Tanzania tuliyonayo au Rais na viongozi wake wa chini wanaotetea mkataba hatari wa aina hiyo?
Serikali sikivu ni serikali inayojali maslahi ya nchi. Mama futa mkataba huo wa kinyonyaji, walioko nyuma yako ni watu hatari, hawakushauri vizuri.