Rais ni muajiriwa au muajiri?

Rais ni muajiriwa au muajiri?

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
7,281
Reaction score
7,834
UTATA WA RAIS KUWA MUAJIRIWA AU MUAJIRI UNAFANANA NA KESI YA KIPI KILIANZA KATI YA KUKU NA YAI!

Mi ninavyojua ni kuwa, sisi tunaojiita waajiri wa Rais, tunapomchagua Rais basi ni kuwa huwa tunachagua muajiri mkuu wa Taifa na, mara baada ya uchaguzi, sisi wote ni waajiriwa wake!

NI MTAZAMO TU!!!
JADILI!
 
In bongoland ni muajiri!!
 
Back
Top Bottom