Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,426
Miongoni mwa Wabunge wa Tanzania waliobahatika kuteuliwa kufanya ziara ya siri huko Dubai, yumo mbunge wa Jimbo la Msalala la Mkoani Shinyanga.
Taarifa zinaonyesha kwamba Mbunge huyu alivyorudi tu yeye hakutaka kununua gari la kuandika jina lake kama alivyofanya Musukuma, bali yeye ameamua kugawa nyama ya ng'ombe kila kijiji, ambako kijiji kimoja kimeambulia ng'ombe kubwa mbili.
Ikumbukwe kwamba Jimbo la Msalala lina kata 18, ambapo kila kata ina vijiji 6, unadhani wabunge walioenda kule walilipwa bei gani kila mmoja na kwanini walipwe vitita vyote hivyo?
Toa Maoni yako.
===
JamiiForums imefanyia kazi suala hili, Soma: Mbunge wa Jimbo la Malala adaiwa kugawa ng'ombe wawili kila kijiji