Tundu Lissu: Ukiona mtu anatetea mkataba huu wa kuuzwa kwa bandari basi hana akili au amehongwa

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
950
2,866
"Hii biashara ya Rais wetu na maswaiba zake wa Dubai imekataliwa na watu wengi sana wenye akili na ambao hawajahongwa.

"Bandari zetu zimeuzwa zote zilizopo na zitakazokuwepo.

"Hao watu wanaotetea ndio wanatetea kuuzwa kwa bandari zetu, jibu ni nini, hawana akili au wamehongwa.

"Tusiruhusu watu wanaopinga uuzwaji huu kutishwa maisha yao.

"Leo asubuhi nimesikia Wakili Boniface Mwabukusi anayetetea kesi kupinga mkataba huu wa kuuzwa kwa bandari ametishiwa maisha yake, tusiruhusu hilo.

"Tusiruhusu Rais Samia aruhusu mambo ya kutekwa tekwa na kutishiwa maisha kwa kutetea rasilimali za nchi yetu.

"Tunamkumbuka kutekwa kwa Ulimboka mwaka 2012, tunakumbuka kupotea kwa Ben Saanane, mimi niliponea chupuchupu baada ya kupigwa risasi 17, tusiruhusu vitisho maana tumeona watu wakitishwa na kupotea kweli.

"Tutaendelea kupiga kelele hadi mkataba huu ufutwe Ili kuokoa bandari zetu."
 
je tutaweza?
 
Hao dipii weldi wanashupaza shingo nini wakati watanzania wamekataa huo mkataba? Ni bora wafungushe virago wakatafute nchi nyingine ya kuwekeza wakaoneshe ufanisi huko
 
Na kwanini wizara mpya ya uwekezaji imepelekwa ikulu? Kwanini isingeachwa huko nje ya ikulu...?

Tundu huyu pia aliwahilalamika takriban mwezi 1 nyuma akihoji kwanini idara ile nyeti (jiongeze kujuwa ni ipi hiyo) imepelekwa ikulu?

Hizi ni hatua za dhahir shahir kuthibitisha kuwa dhamiri za warasimu (Madalali na Mawakala) zipo za kulinda ukoloni mpya.

Taifa linajiandaa kutengeneza mashujaa wapya wa mapambano dhidi ya ukoloni mpya.

Vizazi vyetu vitasoma kwenye historia mashujaa wa kizazi cha pili cha kupambana na ukoloni wa pili.

Nani watakuwa front kujiumba Mkwawa, Abushiri, Songea, Chabruma, Mirambo, Isike, Mangi Meli, Mangi Meza, Kidaha, Mkwavinyika Mwinyigumba Mwamuyinga, Mukama.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
"Hii biashara ya Rais wetu na maswaiba zake wa Dubai imekataliwa na watu wengi sana wenye akili na ambao hawajahongwa.

"Bandari zetu zimeuzwa zote zilizopo na zitakazokuwepo.

"Hao watu wanaotetea ndio wanatetea kuuzwa kwa bandari zetu, jibu ni nini, hawana akili au wamehongwa.

"Tusiruhusu watu wanaopinga uuzwaji huu kutishwa maisha yao.

"Leo asubuhi nimesikia Wakili Boniface Mwabukusi anayetetea kesi kupinga mkataba huu wa kuuzwa kwa bandari ametishiwa maisha yake, tusiruhusu hilo.

"Tusiruhusu Rais Samia aruhusu mambo ya kutekwa tekwa na kutishiwa maisha kwa kutetea rasilimali za nchi yetu.

"Tunamkumbuka kutekwa kwa Ulimboka mwaka 2012, tunakumbuka kupotea kwa Ben Saanane, mimi niliponea chupuchupu baada ya kupigwa risasi 17, tusiruhusu vitisho maana tumeona watu wakitishwa na kupotea kweli.

"Tutaendelea kupiga kelele hadi mkataba huu ufutwe Ili kuokoa bandari zetu."
Kweli kabisa
 
Hata kwa kuwaangalia tu wanaotetea mkataba huu hawana akili
Kama hii pimbi hapa
FB_IMG_1687274664760.jpg
 
Back
Top Bottom