Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mhe. Florent Kyombo, tarehe 26 Julai, 2023 ameendelea na ziara yake ya Jimbo.
Katika ziara yake amehudhuria Mkutano wa ndani wa CCM Kata ya Nsunga na kugawa vitendea kazi kwa Viongozi wa CCM Kata ikiwemo Kalamu, Karatasi (Ream paper), Bendera za Chama, Sare za WanaChama kwa Viongozi wote wa Kata na Mipira ya Miguu kwa matawi yote katika kata ya Nsunga.
Pia Mhe. Florent Kyombo amefanya Mkutano wa hadhara na kusikiliza kero za Wananchi wa Kata ya Nsunga.
Mara baada ya Mkutano wa Hadhara Kata ya Nsunga Mhe. Florent Kyombo amepokea zawadi ya Ng'ombe, Mbuzi na Kuku n.k kutoka kwa Wananchi wa kata hiyo ikiwa ni pongezi za Uwakilishi mzuri anaofanya Bungeni.