CCM yaiteka nchi, yafanya mikutano mfululizo kila kona

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,293
9,723
Ndugu zangu watanzania,

Ni kazi juu ya kazi, ni bandika Bandua, hivyo ndivyo inavyoweza ukasema,kwa sasa CCM inashambulia kila kona ya nchi kwa mikutano mfululizo inayotoa majibu ya Masuala mbalimbali yanayogusa hisia za mamilioni ya watanzania.

Viongozi mbalimbali wa kitaifa wameendelea kupita mikoa mbali mbali hapa nchini kuzungumza na wananchi.

Wameendelea kusikiliza kero na changamoto za wananchi na kutoa maagizo kwa watendaji wa serikali ili waweze kutatua na kufika maeneo husika, CCM kama kawaida yake imeendelea kuwafuta na kuwapa matumaini watanzania kwa kuwaelezea mikakati ya serikali yao na yale ambayo serikali yao imetekeleza kupitia ilani ya uchaguzi.

Wananchi wameendelea kufurahishwa na kuvutiwa na namna CCM inavyofanya kazi kwa ukaribu zaidi na wananchi kwa kuzungumza lugha za watanzania na yale yanayogusa maisha yao.

Hii ndio sababu ya CCM mpaka leo hii kuendelea kusalia madarakani, kupigiwa kura kila uchaguzi, kupita kwa kishindo, kupendwa na mamilioni ya watanzania, kuwa na wanachama kila kona ya nchi yetu, kuwa chama cha mfano barani Afrika, kupendwa na watanzania wa rika na makundi yote pamoja na kuendelea kuiteka mioyo ya watanzania na kuwa Tumaini la wengi katika kuwawezesha kupiga hatua za kimaendeleo, kutokana na kuwa na sera na ajenda zinazokwenda na wakati na kujibu kero zao.

Hii ndio sababu CCM siku zote haipati shida ya kujinadi na kunadi wagombea wake wakati wa uchaguzi kwa kuwa inakuwa imetekeleza kazi zinazoonekana machoni pa watu, kama waswahili wasemavyo Ng'ombe hanenepi siku ya mnada na washindi huenda vitani wakiwa wameshinda, ndivyo CCM iendavyo katika kila uchaguzi ikiwa tayari imeshinda na kujihakikishia ushindi kwa kufanya yale yagusayo mioyo ya wengi.

Wakati CCM ikifanya kazi hii ya kuwa karibu na wananchi, kuzungumza nao, kutatua kero, kueleza mikakati ya serikali yao katika kuwainua kiuchumi upande wa pili wa vyama vya upinzani hauna hoja zenye kugusa hisia na matarajio ya Watanzania, havina ajenda zenye kuteka hisia za watanzania, havina hoja zenye kuchagiza upatikanaji wa milo mitatu mezani pa mtanzania au bibi wa kule Mbozi ndani vijijini kabisa huko isalalo au msanyila halafu mwisho wa siku vinataka kupata kura kutoka kwa watanzania.

Hiki ni kichekesho kikubwa maana huwezi ukavuna ikiwa huja panda mbegu ya ushindi, huwezi ukakusanya pasipo Tawanywa, huwezi ukaokota Embe chini ya mchungwa,Ndio maana vyama pinzani hapa nchini huambulia patupu kila uchaguzi, ndio maana hunyimwa kura na wananchi, ndio maana huonekana kama vyama vya msimu na vya uchaguzi tu na baada ya hapo hupotea kama moshi angani na kubakia vikidandia vimatukio vya mpito tu.

CCM itaendelea kuongoza Taifa hili kwa miaka mingi sana ijayo ,maana ndio usalama, amani na utulivu wa Taifa letu, itaendelea kuongoza Taifa hili kwa kuwa ndio mahali salama katika kukabidhi rasilimali na mali zote za Taifa letu. Ndio chama chenye kuleta matumaini na maendeleo kwa wananchi, ndio mahali na chama kilichojidhatiti na kilichoapa kwa jasho,Damu na machozi kuwa pigania watanzania na kutetea uhuru wa Taifa letu na kilicho tayari kulinda na kuendeleza umoja , mshikamano na upendo wa Taifa letu bila ubaguzi wa aina yoyote ile kwa misingi ya aina yoyote ile.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu watanzania,

Ni kazi juu ya kazi ,Ni bandika Bandua,.hivyo ndivyo unavyoweza ukasema,kwa sasa CCM inashambulia kila kona ya nchi kwa mikutano mfululizo inayotoa majibu ya Masuala mbalimbali yanayogusa hisia za mamilioni ya watanzania.viongozi mbalimbali wa kitaifa wameendelea kupita mikoa mbali mbali hapa nchini kuzungumza na wananchi.

Wameendelea kusikiliza kero na changamoto za wananchi na kutoa maagizo kwa watendaji wa serikali ili waweze kutatua na kufika maeneo husika, CCM kama kawaida yake imeendelea kuwafuta na kuwapa matumaini watanzania kwa kuwaelezea mikakati ya serikali yao na yale ambayo serikali yao imetekeleza kupitia ilani ya uchaguzi.wananchi wameendelea kufurahishwa na kuvutiwa na namna CCM inavyofanya kazi kwa ukaribu zaidi na wananchi kwa kuzungumza lugha za watanzania na yale yanayogusa maisha yao.

Hiki ndio sababu ya CCM mpaka leo hii kuendelea kusalia madarakani,kupigiwa kura kila uchaguzi,kupita kwa kishindo,kupendwa na mamilioni ya watanzania,kuwa na wanachama kila kona ya nchi yetu ,kuwa chama cha mfano barani Afrika ,kupendwa na watanzania wa rika na makundi yote pamoja na kuendelea kuiteka mioyo ya watanzania na kuwa Tumaini la wengi katika kuwawezesha kupiga hatua za kimaendeleo, kutokana na kuwa na sera na ajenda zinazokwenda na wakati na kujibu kero zao.

Hii ndio sababu CCM siku zote haipati shida ya kujinadi na kunadi wagombea wake wakati wa uchaguzi kwa kuwa inakuwa imetekeleza na kufanya kazi zinazoonekana machoni pa watu,kama waswahili wasemavyo Ng'ombe hanenepi siku ya mnada na washindi huenda vitani wakiwa wameshinda,ndivyo ccm iendavyo katika kila uchaguzi ikiwa Tayari imeshinda na kujihakikishia ushindi kwa kufanya yale yagusayo mioyo ya wengi.

Wakati CCM ikifanya kazi hii ya kuwa karibu na wananchi,kuzungumza nao,kutatua kero,kueleza mikakati ya serikali yao katika kuwainua kiuchumi upande wa pili wa vyama vya upinzani hauna hoja zenye kugusa hisia na matarajio ya Watanzania,havina ajenda zenye kuteka hisia za watanzania,havina hoja zenye kuchagiza upatikanaji wa milo mitatu mezani pa mtanzania au bibi wa kule Mbozi ndani vijijini kabisa huko isalalo au msanyila halafu mwisho wa siku vinataka kupata kura kutoka kwa watanzania.

Hiki ni kichekesho kikubwa maana huwezi ukavuna ikiwa huja panda mbegu ya ushindi,huwezi ukakusanya pasipo Tawanywa,huwezi ukaokota Embe chini ya mchungwa .Ndio maana vyama pinzani hapa nchini huambulia patupu kila uchaguzi,ndio maana hunyimwa kura na wananchi,ndio maana huonekana kama vyama vya msimu na vya uchaguzi tu na baada ya hapo hupotea kama moshi angani na kubakia vikidandia vimatukio vya mpito tu.

CCM itaendelea kuongoza Taifa hili kwa miaka mingi sana ijayo ,maana ndio usalama ,amani na utulivu wa Taifa letu , itaendelea kuongoza Taifa hili kwa kuwa ndio mahali salama katika kukabidhi rasilimali na mali zote za Taifa letu,Ndio chama chenye kuleta matumaini na maendeleo kwa wananchi,ndio mahali na chama kilicho jidhatiti na kilichoapa kwa jasho ,Damu na machozi kuwa pigania watanzania na kutetea uhuru wa Taifa letu na kilicho tayari kulinda na kuendeleza umoja , mshikamano na upendo wa Taifa letu bila ubaguzi wa aina yoyote ile kwa misingi ya aina yoyote ile.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu watanzania,

Ni kazi juu ya kazi ,Ni bandika Bandua,.hivyo ndivyo inavyoweza ukasema,kwa sasa CCM inashambulia kila kona ya nchi kwa mikutano mfululizo inayotoa majibu ya Masuala mbalimbali yanayogusa hisia za mamilioni ya watanzania.viongozi mbalimbali wa kitaifa wameendelea kupita mikoa mbali mbali hapa nchini kuzungumza na wananchi.

Wameendelea kusikiliza kero na changamoto za wananchi na kutoa maagizo kwa watendaji wa serikali ili waweze kutatua na kufika maeneo husika, CCM kama kawaida yake imeendelea kuwafuta na kuwapa matumaini watanzania kwa kuwaelezea mikakati ya serikali yao na yale ambayo serikali yao imewatelekeza kupitia ilani ya uchaguzi.wananchi wameendelea kufurahishwa na kuvutia na namna CCM inavyofanya kazi kwa ukaribu zaidi na wananchi kwa kuzungumza lugha za watanzania na yale yanayogusa maisha yao.

Hiki ndio sababu ya CCM mpaka leo hii kuendelea kusalia madarakani,kupigiwa kura kila uchaguzi,kupita kwa kishindo,kupendwa na mamilioni ya watanzania,kuwa na wanachama kila kona ya nchi yetu ,kuwa chama cha mfano barani Afrika ,kupendwa na watanzania wa rika na makundi yote pamoja na kuendelea kuiteka mioyo ya watanzania na kuwa Tumaini la wengi katika kuwawezesha kupiga hatua za kimaendeleo kutokana na kuwa na sera na ajenda zinazokwenda na wakati na kujibu kero zao.

Hii ndio sababu CCM siku zote haipati shida ya kujinadi na kunadi wagombea wake wakati wa uchaguzi kwa kuwa inakuwa imetekeleza kazi zinazoonekana machoni pa watu,kama waswahili wasemavyo Ng'ombe hanenepi siku ya mnada na washindi huenda vitani wakiwa wameshinda,ndivyo ccm iendavyo katika kila uchaguzi ikiwa Tayari imeshinda na kujihakikishia ushindi kwa kufanya yale yagusayo mioyo ya wengi.

Wakati CCM ikifanya kazi hii ya kuwa karibu na wananchi,kuzungumza nao,kutatua kero,kueleza mikakati ya serikali yao katika kuwainua kiuchumi upande wa pili wa vyama vya upinzani hauna hoja zenye kugusa hisia na matarajio ya Watanzania,havina ajenda zenye kuteka hisia za watanzania,havina hoja zenye kuchagiza upatikanaji wa milo mitatu mezani pa mtanzania au bibi wa kule Mbozi ndani vijijini kabisa huko isalalo au msanyila halafu mwisho wa siku vinataka kupata kura kutoka kwa watanzania.hiki ni kichekesho kikubwa maana huwezi unavuna ikiwa huja panda mbegu ya ushindi,huwezi ukakusanya pasipo Tawanywa,huwezi ukaokota Embe chini ya mchungaji.Ndio maana vyama pinzani hapa nchini huambulia patupu kila uchaguzi,ndio maana hunyimwa kura na wananchi,ndio maana huonekana kama vyama vya msimu na uchaguzi tu na baada ya hapo hupotea kama moshi angani na kubakia vikidandia vimatukio vya mpito tu.

CCM itaendelea kuongoza Taifa hili kwa miaka mingi sana ijayo ,maana ndio usalama ,amani na utulivu wa Taifa letu , itaendelea kuongoza Taifa hili kwa kuwa ndio mahali salama katika kukabidhi rasilimali na mali zote za Taifa letu,Ndio chama chenye kuleta matumaini na maendeleo kwa wananchi,ndio mahali na chama kilichojidhatiti na kilichoapa kwa jasho ,Damu na machozi kuwa pigania watanzania na kutetea uhuru wa Taifa letu na kilicho tayari kulinda na kuendeleza umoja , mshikamano na upendo wa Taifa letu bila ubaguzi wa aina yoyote ile kwa misingi ya aina yoyote ile.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Walio iteka ni wale chawa kausha damu wa ile rangi mbaya,mbovu chafu🏃🍀
 
Ndugu zangu watanzania,

Ni kazi juu ya kazi ,Ni bandika Bandua,.hivyo ndivyo unavyoweza ukasema,kwa sasa CCM inashambulia kila kona ya nchi kwa mikutano mfululizo inayotoa majibu ya Masuala mbalimbali yanayogusa hisia za mamilioni ya watanzania.viongozi mbalimbali wa kitaifa wameendelea kupita mikoa mbali mbali hapa nchini kuzungumza na wananchi.

Wameendelea kusikiliza kero na changamoto za wananchi na kutoa maagizo kwa watendaji wa serikali ili waweze kutatua na kufika maeneo husika, CCM kama kawaida yake imeendelea kuwafuta na kuwapa matumaini watanzania kwa kuwaelezea mikakati ya serikali yao na yale ambayo serikali yao imetekeleza kupitia ilani ya uchaguzi.wananchi wameendelea kufurahishwa na kuvutiwa na namna CCM inavyofanya kazi kwa ukaribu zaidi na wananchi kwa kuzungumza lugha za watanzania na yale yanayogusa maisha yao.

Hiki ndio sababu ya CCM mpaka leo hii kuendelea kusalia madarakani,kupigiwa kura kila uchaguzi,kupita kwa kishindo,kupendwa na mamilioni ya watanzania,kuwa na wanachama kila kona ya nchi yetu ,kuwa chama cha mfano barani Afrika ,kupendwa na watanzania wa rika na makundi yote pamoja na kuendelea kuiteka mioyo ya watanzania na kuwa Tumaini la wengi katika kuwawezesha kupiga hatua za kimaendeleo, kutokana na kuwa na sera na ajenda zinazokwenda na wakati na kujibu kero zao.

Hii ndio sababu CCM siku zote haipati shida ya kujinadi na kunadi wagombea wake wakati wa uchaguzi kwa kuwa inakuwa imetekeleza na kufanya kazi zinazoonekana machoni pa watu,kama waswahili wasemavyo Ng'ombe hanenepi siku ya mnada na washindi huenda vitani wakiwa wameshinda,ndivyo ccm iendavyo katika kila uchaguzi ikiwa Tayari imeshinda na kujihakikishia ushindi kwa kufanya yale yagusayo mioyo ya wengi.

Wakati CCM ikifanya kazi hii ya kuwa karibu na wananchi,kuzungumza nao,kutatua kero,kueleza mikakati ya serikali yao katika kuwainua kiuchumi upande wa pili wa vyama vya upinzani hauna hoja zenye kugusa hisia na matarajio ya Watanzania,havina ajenda zenye kuteka hisia za watanzania,havina hoja zenye kuchagiza upatikanaji wa milo mitatu mezani pa mtanzania au bibi wa kule Mbozi ndani vijijini kabisa huko isalalo au msanyila halafu mwisho wa siku vinataka kupata kura kutoka kwa watanzania.

Hiki ni kichekesho kikubwa maana huwezi ukavuna ikiwa huja panda mbegu ya ushindi,huwezi ukakusanya pasipo Tawanywa,huwezi ukaokota Embe chini ya mchungwa .Ndio maana vyama pinzani hapa nchini huambulia patupu kila uchaguzi,ndio maana hunyimwa kura na wananchi,ndio maana huonekana kama vyama vya msimu na vya uchaguzi tu na baada ya hapo hupotea kama moshi angani na kubakia vikidandia vimatukio vya mpito tu.

CCM itaendelea kuongoza Taifa hili kwa miaka mingi sana ijayo ,maana ndio usalama ,amani na utulivu wa Taifa letu , itaendelea kuongoza Taifa hili kwa kuwa ndio mahali salama katika kukabidhi rasilimali na mali zote za Taifa letu,Ndio chama chenye kuleta matumaini na maendeleo kwa wananchi,ndio mahali na chama kilicho jidhatiti na kilichoapa kwa jasho ,Damu na machozi kuwa pigania watanzania na kutetea uhuru wa Taifa letu na kilicho tayari kulinda na kuendeleza umoja , mshikamano na upendo wa Taifa letu bila ubaguzi wa aina yoyote ile kwa misingi ya aina yoyote ile.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
MBONA UNARUDIA RUDIA!!
 
CCM kwa Sasa hawategemei sanduku la kura, sanduku lao la kura ni TISS na Polisi, bila hao, kesho tu asubuhi hawapo.
 
Back
Top Bottom