PhD za ukweli zinatetemeshwa mchana kweupe, Msukuma(PhD) na Babu Tale(PhD) jitokezeni mumtetee msomi mwenzenu

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,351
24,248
Proffessor Maruma ametetemeshwa na wasomi wenziwe huko duniani hadi anasikitisha.
Amelowa!
Na Tanzania kiuchumi tunapigwa kisawasawa, tumepambana na Economic Hit Men.

Wasomi wengine mlioko Tanzania , Msukuma PhD, Babu Tale(PhD) hebu mjitokeze mkamwage razi huko duniani, pengine ninyi mtaeleweka.
Masikini wasomi wa Tanzania, hasara tupu.

Sasa ki nchi ndio tutajifunza kuheshimu si tu elimu bali umakini, experience na proffessionalim katika fani zote za uchumi.
La kusema kwamba , limeamuliwa na msimamo wa chama matokeo yake tunayaona tungali hai.
 
Sasa ki nchi ndio tutajifunza kuheshimu si tu limu bali umakini, experience na proffessionalim katika fani zote za uchumi.
La kwamba limeamuliwa na msimamo wa chama matokeo yake tunayaona tungali hai.
Wasomi wengine mlioko Tanzania , Msukuma PhD, Babu Tale(PhD) hebu mjitokeze mkamwage razi huko duniani, pengine ninyi mtaeleweka.
Masikini wasomi wa Tanzania, hasara tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Proffessor Maruma ametetemeshwa na wasomi wenziwe huko duniani hadi anasikitisha.
Amelowa!
Na Tanzania kiuchumi tunapigwa kisawasawa, tumepambana na Economic Hit Men.

Wasomi wengine mlioko Tanzania , Msukuma PhD, Babu Tale(PhD) hebu mjitokeze mkamwage razi huko duniani, pengine ninyi mtaeleweka.
Masikini wasomi wa Tanzania, hasara tupu.

Sasa ki nchi ndio tutajifunza kuheshimu si tu elimu bali umakini, experience na proffessionalim katika fani zote za uchumi.
La kusema kwamba , limeamuliwa na msimamo wa chama matokeo yake tunayaona tungali hai.
PhD zao ni kama tetekuanga ama kideli cha kuku, niishie tu kusema hivyo bila ya kutoa ufafanuzi zaidi.
 
Nje ya maada: Tuendelee kukubali misaada ya Kuruani za bure kutoka Uarabuni labda zitasaidia uchumi wetu, maana hamna mchango wowote kutoka Nchi za Kiarabu zaidi ya Kuruani za bure.
 
Msukuma lazima awatambie hao wazungu kwamba anawazidi pesa hivyo yeye ana elimu kubwa kuliko wao, le bush doctor bhana.
 
Proffessor Maruma ametetemeshwa na wasomi wenziwe huko duniani hadi anasikitisha.
Amelowa!
Na Tanzania kiuchumi tunapigwa kisawasawa, tumepambana na Economic Hit Men.

Wasomi wengine mlioko Tanzania , Msukuma PhD, Babu Tale(PhD) hebu mjitokeze mkamwage razi huko duniani, pengine ninyi mtaeleweka.
Masikini wasomi wa Tanzania, hasara tupu.

Sasa ki nchi ndio tutajifunza kuheshimu si tu elimu bali umakini, experience na proffessionalim katika fani zote za uchumi.
La kusema kwamba , limeamuliwa na msimamo wa chama matokeo yake tunayaona tungali hai.

Hivi usomi ni nini hasa kama huwezi kufanya ulicho kisomea! wasomi ambao hawawezi vitendo
 
Proffessor Maruma ametetemeshwa na wasomi wenziwe huko duniani hadi anasikitisha.
Amelowa!
Na Tanzania kiuchumi tunapigwa kisawasawa, tumepambana na Economic Hit Men.

Wasomi wengine mlioko Tanzania , Msukuma PhD, Babu Tale(PhD) hebu mjitokeze mkamwage razi huko duniani, pengine ninyi mtaeleweka.
Masikini wasomi wa Tanzania, hasara tupu.

Sasa ki nchi ndio tutajifunza kuheshimu si tu elimu bali umakini, experience na proffessionalim katika fani zote za uchumi.
La kusema kwamba , limeamuliwa na msimamo wa chama matokeo yake tunayaona tungali hai.
Tatizo ni ccm
 
Bado tupo nyuma sana katika kujielewa kwan sisi waTanzania Tulilogwa huko nyuma na Zaid Tukalogwa na wanaotuongoz wakiwa tayar wamelogwa

Kuna Yule alisema

Ukiw na akili Timamu kuish Tzs ni ovyooo
 
Profesa Mruma hana tatizo lolote. Amejitahidi kujibu maswali kistaarabu sana. Kiingereza chao kinajitosheleza. Tatizo ni kesi mbaya kwa serikali ya JMT. Kosa liliofanywa na serikali ni la wazi na la kijinga. Tundu Lissu alieleza vizuri sana. Hakuna namna ya kulitetea zaidi ya kufanya kausanii ili angalau kuokoa haiba ya taifa. Hakukuwa na namna. Sidhani kama watanzania wangeona raha kama kina Mruma wangekiri kosa moja kwa moja.

Mazingira ya kazi kwa watumishi wanataaluma wa serikali ni magumu sana. Viongozi wa kisiasa wanalazimisha maamuzi ya kibaradhuli yahalalishwe “kitaalamu” na watumishi. Rejea Dr Kimei alivyosema kuhusu ujenzi wa jengo la CRDB Chato. Wakifikishwa kwenye mahakama za ukweli duniani lazima wajikanyage kanyage. Huwezi kutetea ujinga kirahisi. Kule hakuna talalilla wala mbambamba. Labda mnataka watumishi wawe wakijiuzulu wakitakiwa kufanya madudu. Basi hatutakuwa na watumishi wa umma.

Ni juu yetu wananchi kuwadhibiti viongozi wa kisiasa kama tunataka wataalamu wafanye kazi kikweli kweli. Kiongozi anasema hataki upembuzi yakinifu wa mradi wala tathmini ya athari za maamuzi, sisi tunashangilia! And we still expect wonders!
 
Hata hivyo, hao hao wataalamu wakiingia kwenye siasa, au wakiwa na wanasiasa, wanajikomba na kujitoa ufahamu.
Kwa hiyo, tunahitaji wanasiasa wenye akili za kawaida zitakazothibitishwa na maneno au vitendo vyao, vinginevyo hali itaendelea kuwa hivi hivi au mbaya zaidi.
Wananchi wamekuwa wakishangilia na kufuata siasa za comedy au kujitoa ufahamu.
Kazi kubwa ni kurudisha jamii na taifa kwa ujumla kwenye reli ya kutumia akili za kihalisia.
 
Nafuatilia "yes of course" ni nyingi na "I don't know" kama ndizo lugha walizokaririshwa za kisheria
 
Prof Maluma hapaswi Kulaumiwa kabisa, Binafsi namuelewa sana shida ni Mkataba ambao unamlazimu autetee kwa Vifungu kinzani ambavyo vinazidi Nguvu ya Mkataba wake hata ungekuwa wewe ungefanyaje apo.

Tunapaswa Kumpongeza kwa Ujasiri na Uimara wake kuendelea Kutetea na Kusimamia Misimamo ya Kulitetea Taifa letu na Rasilimali zetu.
Hao wazungu ni wahuni sana na Washenzi sana tunapaswa kuwapa Nguvu wausi wenzetu na kuwatia Moyo ili wakabiliane na Wahuni wa Dunia.

Mikataba ya Mataifa na Makampuni Makubwa yakija huja na Mbinu Nyingi za Mikataba ili Kunyonya Mataifa ya Africa, Hivyo Tunapopata watetezi kwenye Mikataba hiyo ni vyema kuwatia Moyo na kuwapa Nguvu zaidi yakuendelea kuwa wazalendo kwa Taifa lao.
Tuache kuwabeza watu wetu.
 
Proffessor Maruma ametetemeshwa na wasomi wenziwe huko duniani hadi anasikitisha.
Amelowa!
Na Tanzania kiuchumi tunapigwa kisawasawa, tumepambana na Economic Hit Men.

Wasomi wengine mlioko Tanzania , Msukuma PhD, Babu Tale(PhD) hebu mjitokeze mkamwage razi huko duniani, pengine ninyi mtaeleweka.
Masikini wasomi wa Tanzania, hasara tupu.

Sasa ki nchi ndio tutajifunza kuheshimu si tu elimu bali umakini, experience na proffessionalim katika fani zote za uchumi.
La kusema kwamba , limeamuliwa na msimamo wa chama matokeo yake tunayaona tungali hai.
Wewe nao ni wale wale proffessor❌️, Professor, elimu ya kukariri ngumu sana, kama unashindwa kuandika kitu kidogo kwa ufasaha basi uelewa wako kwa mambo mengi ni wa kutiliwa shaka.
 
Nje ya maada: Tuendelee kukubali misaada ya Kuruani za bure kutoka Uarabuni labda zitasaidia uchumi wetu, maana hamna mchango wowote kutoka Nchi za Kiarabu zaidi ya Kuruani za bure.
Hizi chuki zimezidi sasa, kwahiyo huyo Prof nae alipewa msaada ya quaran?
Watu wapumbavu kama nyinyi mnao shindwa kujenga hoja za msingi ni mzigo kwa taifa hili
 
Back
Top Bottom