Sijui hata ni kwanini ilikuwa hivo.
Makampuni makubwa yanayotikisa dunia yanaongozwa na watu smart sana.
Hata hapa bongo, makampuni yanayofanya vyema yanaongozwa na watu smart. Kampuni...
Mdhibiti na mkaguzi wa fedha za umma amekuwa anatoa ripoti za ukaguzi wa matumizi na mapato ya serikali na matumizi ya serikali.
Kila ripoti imejaa ushahidi tena wa kitaalam namna ambavyo fedha...
1. Mwaka jana walituambia kwamba uzalishaji wa umeme nchini umefikia 1,872 MW, wa gesi ukiwa 1,350 MW sawa na asilimia 65% na ule wa maji ukiwa 450 MW sawa na asilimia 35%. Umeme wa maji hasa...
Baadhi ya wafanyakazi wa TANESCO wamepinga graphics zinazosambaa za kumpongeza Maharage na mwenyekiti wa Bodi. Wanahoji hizo pongezi wamezitoa wakiwa wapi?
Imedaiwa ni kikundi cha watu...
Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeendelea kutekeleza miradi ya kuboresha bandari zake katika ukanda wa...
Huu mtindo wa wateule kuja hadharani na kujisifia kwa teuzi wanazopata unazidi kushika kasi.
Wao wanajisifia kulamba teuzi huku sisi wakiendelea kutuhimiza kujiajiri!
Wengine hadi (rejea Naibu...
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara wa kimataifa, Mwekezaji na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph Mbilinyi , leo amefika kwenye kanisa la KKAM , Parish ya Isanga na...
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amelalamikia kuwa si Haki kumteua Mwenyekiti wa CCM kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ambaye kimsingi Ndiye Msimamizi wa Uchaguzi
Mnyika ameongea maneno makali...
Rais Magufuli anazindua mradi mkubwa wa maji huko Nansio Ukerewe.mradi huu umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 10.9 na unatarajiwa kuzalisha lita 8,647,00 ambayo ni maradufu ya mahitaji ya eneo...
Sikia tu kitu kinaitwa balozi tena nchi yetu sehemu mbalimbali zilipo. Wapo tu kusubiri wageni sio wewe umetoka zako tz ukazani wata kusaidia. Labda wapige kelele ndugu zako waliopo nje na ndani...
Katika kusherehekea sikukuu ya Uzinduzi wa Mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa iliyofanyika Ikulu ya Magogoni , huko Mjini Mbeya, Mbunge wa zamani wa Jimbo hilo, Mwekezaji na Mfanyabiashara wa...
Tumeongozwa na Hayati Nyerere, Mzee Mwinyi, Hayati Mkapa, mzee Kikwete na Hayati Magufuli lakini Rejea na Ufananisho wa Kazi zote za Maendeleo huelekezwa kwa Shujaa Magufuli pekee
Ina maana...
Ni kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.
Huu sasa ndio muda muafaka Wizara ya Nishati kumulikwa kwa kuundwa Tume Huru ya Kibunge kuchunguza matatizo yaliyopo.
Waziri aliyehamishwa wakati anaingia wizara hiyo alitoa kila aina ya sababu...
Mtu sahihi anayeweza kuiongoza nchi hii kwa upande wa CCM ni kassimu Majaliwa waziri mkuu ,.
Ni mtu pekee anayeweza kwenda kwa vitendo na kasi ya maendeleo na kuweza kuwasimamia watendaji...
Ukistaajabu ya ukosefu wa dola za marekani kwenye bank na bureau Tanzania utayaona ya ukataji wa umeme maduka ya underground kariakoo.
Kuna maeneo ya kukata umeme na kuna maeneo ya kuyaacha huru...
Kipindi huyu Mwalimu anapewa vibali na Katibu Mkuu ofisi ya Rais ofisi yako haikuweka Tangazo kuupa umma taarifa.
Hili tangazo umelitoa kwa msukumo wa kisiasa ukiamini unawafurahisha wakubwa...
Kuna watu wanadhani mgao wa umeme umesababishwa na baadhi ya Viongozi wanaobebwa tu
Niseme tu Viongozi wengi wanaobebwa ama na Wazazi Wao Wastaafu au magodifaza wao lakini kwenye Siasa hiyo ni...
Bila ya kuzungukazunguka, kuna mawaziri, kama vile January, Ridhiwani na Nape, wapo kwenye nafasi walizopo, siyo kwa sababu ya uwezo wa ku-deliver results, bali kwa sababu tu ya majina ya wazazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.