MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,488
- 20,444
Aliyekuwa MD Tanesco ndugu Maharage nimesikiliza redioni mida hii akimshukuru rais kumteua kuwa boss mpya Posta.
Amedai kuwa anaenda kufanya maajabu Posta Kama alivyobadilisha Tanesco katika kipindi kifupi alichokuwepo.
"Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta, ufanisi umeongezeka,uzalishaji,usambazaji pamoja na ukisasa umeongezeka , Moto huohuo naupeleka Posta, nashukuru Sana rais kwa kuniona nafaa" Alisema Chande.
Wakuu yapi maoni yenu.