Rais Samia Kagusa TANESCO, TTCL, REA, POSTA. Mbona EWURA hajagusa?

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Katika sehemu au shirika lililoboronga EWURA ni namba moja, ikifuatiwa na TANESCO, ILA Mabadiliko yaliyofanyika hayajagusa kabisa EWURA, na sisi wananchi tunashangaa jambo hili.

Tulitegemea EWURA nao waguswe, ila wameguswa wengine, Kuna Nini hapa , mana hata sielewi kabisa, Kilichomponza maharage si kwamba ni mtendaji mbaya Bali ni Kwa sababu ya ukaribu wake na Makamba ambaye naye anawindwa vikali na Sukuma Gang.
 
Nchi ina Mihimili mingapi? Basi hapo ni sehemu mojawapo ya "Mihimili" ya nchi
 
Katika sehemu au shirika lililoboronga EWURA ni namba moja, ikifuatiwa na TANESCO, ILA Mabadiliko yaliyofanyika hayajagusa kabisa EWURA, na sisi wananchi tunashangaa jambo hili.

Tulitegemea EWURA nao waguswe, ila wameguswa wengine, Kuna Nini hapa , mana hata sielewi kabisa, Kilichomponza maharage si kwamba ni mtendaji mbaya Bali ni Kwa sababu ya ukaribu wake na Makamba ambaye naye anawindwa vikali na Sukuma Gang.
Yaani unataka aguse muhimili wa Bunge?
 
🐒🐒🐒
902309242102.jpg
 
KAULI YA samia YA UKARABATI WA MASHINE NI YA UONGO NA ANAPASWA ATUBU HAIWEZEKANI LEO AONGEE HABARI YA SERVICE WAKATI NDIO KITU WATANZANIA TULIJUA KINAFANYOWA KAZI KIPINDI CHOTE CHA MIAKA MIWILI YA HAO VIJANA WAKE WALIOSHINDWA NA KUHAMISHIWA SEHEMU NYINGINE😕
 
Katika sehemu au shirika lililoboronga EWURA ni namba moja, ikifuatiwa na TANESCO, ILA Mabadiliko yaliyofanyika hayajagusa kabisa EWURA, na sisi wananchi tunashangaa jambo hili.

Tulitegemea EWURA nao waguswe, ila wameguswa wengine, Kuna Nini hapa , mana hata sielewi kabisa, Kilichomponza maharage si kwamba ni mtendaji mbaya Bali ni Kwa sababu ya ukaribu wake na Makamba ambaye naye anawindwa vikali na Sukuma Gang.
Serikali ya ukoo
 
Alieshindwa ni Samia sio vijana wake
 
Amesema Maharage amefanya kazi nzuri. Swali, kwanini amtoe aliyefanya kazi nzuri amlete ambaye hatujuiuwezo wake?
Mbona maharage anatafutiwa sehemu ya kupachikwa kwa nguvu zote?
Maharage nae ana ukaribu na familia Kama MCHENGERWA?
 
Katika sehemu au shirika lililoboronga EWURA ni namba moja, ikifuatiwa na TANESCO, ILA Mabadiliko yaliyofanyika hayajagusa kabisa EWURA, na sisi wananchi tunashangaa jambo hili.

Tulitegemea EWURA nao waguswe, ila wameguswa wengine, Kuna Nini hapa , mana hata sielewi kabisa, Kilichomponza maharage si kwamba ni mtendaji mbaya Bali ni Kwa sababu ya ukaribu wake na Makamba ambaye naye anawindwa vikali na Sukuma Gang.
Mume wa Tulia ni kibaraka wa familia fulani mtawala wa kale, familia hiyo inafanya biashara nyingi, miongoni mwa biashara hizo ni ya mafuta.

Vituo vya mafuta vya familia hiyo vinaibuka kila kukicha vikiwa na rangi ya blùe ZÌWA MAFUTA
 
Katika sehemu au shirika lililoboronga EWURA ni namba moja, ikifuatiwa na TANESCO, ILA Mabadiliko yaliyofanyika hayajagusa kabisa EWURA, na sisi wananchi tunashangaa jambo hili.

Tulitegemea EWURA nao waguswe, ila wameguswa wengine, Kuna Nini hapa , mana hata sielewi kabisa, Kilichomponza maharage si kwamba ni mtendaji mbaya Bali ni Kwa sababu ya ukaribu wake na Makamba ambaye naye anawindwa vikali na Sukuma Gang.
EWURA kwa mume wa yule ajuza mikataba mibovu itapitaje bungeni?
 
Back
Top Bottom