Babuwatanga
Member
- Oct 29, 2022
- 8
- 5
G.O.A.T
Mambo mawili yanabaki kuwa alama ya uzalendo wa Waziri M. Mchengerwa kwa taifa lake!
Mosi: Agizo lake akiwa OR Utumishi alipokuwa anaapisha Bodi ya Nne ya Sekretalieti ya Ajira kuwa,
"Kuanzia leo (siku hiyo) ajira zote za umma zipitie utumishi ili kuondoa upendeleo na kuweka usawa kwani taasisi zikiajiri zenyewe ni ngumu kwa watoto wa wanyonge kupata fursa"!
Nani asiyejua toka hili lifanyiwe kazi maelfu ya watoto wasio na “Godfather” wameajiriwa kwenye taasisi nyeti ambazo ni ngumu kupata ajira kama huna "refarii"!
Nimeshuhudia kwa macho yangu vijana wakisema hawakudhani kama siku moja kwenye maisha yao wangeweza kuwa maafisa BOT, TRA na maeneo mengine nyeti nchini.
Ni dhahiri hili ni moja ya maamuzi magumu kuwahi kufanywa na Waziri TZ.
Pili: Ni kero yetu maarufu watumishi, "kutopandishwa madaraja, kutolipwa malimbikizo na stahiki zetu," kweli Mchengerwa (Mwamba) ni mtu kazi hasa (MMK) na wanyonge wengi wanamuelewa na ukitaka kujua hili nenda tazama "comments" zao kwenye social media hasa kwenye akaunti za wizara husika!
Sasa ni zamu ya TAMISEMI na kazi imeanza kuonekana; MMK; kazi juu ya kazi hakuna kulala hadi tukae kwenye mstari!