ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,110
- 49,824
Huyu alimgaragaza Mzilankende kutoka Chato hadi ikapidi Wakuu wa Kitengo wapindue Meza 🤣🤣🤣
Huyu hakuikotwa from no where kama yule mwingine Bali alikuwa Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Afrika (AU) huko United Nations Marekani.
Sio mwingine Bali ni Balozi Amina Salum Ally ,Wana ccm na Wazalendo wa Chato wanamuelewa sana huyu Kwa kile alichomfanyia Mzilankende.
====
ZANZIBAR; MWANASIASA mkongwe visiwani Zanzibar, Balozi Amina Salum Ali amesema hana mpango wa kuendelea kutia nia ya kugombea urais kwani Rais Samia Suluhu Hassan anatosha.
Mwanasiasa huyo aliyezaliwa Unguja Oktoba 24, 1957, alichukua fomu ya urais wa Zanzibar mwaka 2000 na mwaka 2015 fomu za kuomba kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Balozi Amina anasema aliomba kugombea urais ili kuvunja mfumo wa kuwa na marais wa jinsi moja.
“Mimi niligombea urais wa Zanzibar, akateuliwa Karume (Amani Abeid). Michakato yote ilikuwa migumu,” anasema Balozi Amina.
Aliongeza: “Sigombei tena, sasa yupo mama (Rais Samia Suluhu Hassan). Anafanya kazi vizuri. Tunamuunga mkono. Tunasifu kazi yake inaonekana,” alisema wakati anazungumza katika mahojiano maalumu na waandishi wa magazeti ya HabariLEO na Daily News yaliyofanyika nyumbani kwake Mbweni, Unguja.