Alipokuwa anatangaza tume ya kuchunguza mauaji ya Marehemu D. Mwangosi, Nchimbi aliulizwa endapo yuko tayari kujiuzulu kama itabainika kwamba polisi ndio wanahusika na mauaji haya, akasema tena...
KAMATI iliyoundwa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi, kuchunguza mauaji ya mwanahabari, Daudi Mwangosi, imekamilisha kazi yake, huku ikitoa siri nzito.
Siri hiyo ambayo huenda...
KAULI YA AWALI YA VINCENT NYERERE (MB) WAZIRI KIVULI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI KUHUSU RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MAUAJI YA MWANDISHI WA HABARI WA CHANNEL TEN, DAUDI MWANGOSI
SERIKALI...
Mkataba wa usimamizi wa bandari kati ya Tanzania na kampuni ya Dubai unampa Rais Samia Suluhu na Chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukosa usingizi usiku huku upinzani ukiendeleza kampeni za...
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameiagiza menejimenti ya kiwanda cha sukari cha Mkulazi Holding Company Limited (MHCL) ambacho ni kiwanda cha ubia kati ya Shirika la...
Ndugu zangu watanzania,
Baada ya muda mrefu kwa CHADEMA kuifanya Mbeya kama uwanja wake wa mazoezi ,uwanja wa fujo,mahali pa kufanyia vurugu, mahali pa kuvuruga shughuli za kibiashara na...
Wakili msomi Ipilinga Panya amesema Maandamano siyo Njia sahihi ya kupinga Maamuzi ya Mahakama
Panya amesema Maamuzi ya Mahakama huwa challenged kwa utaratibu uliowekwa kisheria na anajua...
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema Bandari zote za nchi Hii zilijengwa na Wajerumani wakaziendesha kwa miaka 30 kisha Waingereza wakaziendesha kwa miaka 41 Wakatuachia...
Jeshi la Polisi Tanzania, limetoa onyo kali watu wanaotangaza mpango wa kuiangusha serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia akibainisha kuwa huu ni uhaini na hatua kali za kisheria...
Wanaotaka kujisifu kwa sifa bandia waendelee kujisifu lakini ukweli ni kwamba kuna viashiria vya uchumi kutepeta.
Moja ya viashiria vya uchumi kutepeta, ni kushuka kwa thamani ya sarafu na mfumko...
Ni karibu miaka 50 mpo mfululizo chama kinacho ongoza serikali, matokeo ya jumla yanaonyesha mmefeli sana.
Imani ya wananchi wengi na hata wanachama wengi imeshuka sana juu yenu na karibu kila...
Watendaji wengi wa CCM huwa wanaapa kabisa kuwa CCM lazima ishinde.
Na kwa kulijua hilo basi CCM huwajaza upepo kuwa lazima CCM ishinde maana wapinzani watarudisha maendeleo yao nyuma.
Ebu...
Katika mila na desturi za Kiafrika kuna maswala ambayo yamehodhi jadi za matukio ambayo yaliakisi Makabila hayo kujinasibisha na mahala kuwa makazi yao ya asili kutokana na fursa zilokuwepo.
Na...
Huyu jamaa amewaacha mbali wanasiasa karibia wote.
Nikimaanisha kwamba CCM sijaona mtu mwenye ubavu wa kupambana na Mwambukusi, kawaacha mbali wapinzani wote akina Mbowe, Lissu, Lema e.tc...
George Michael Uledi.
August 10,2023.
07:20 AM.M
mi sio Mwanasheria lakini ni suala la kutumia reasoning na logic tu kwamba uwezekano wa Jamhuri kuwabwaga wakina Mwabukusi na kundi la Mawakili...
Kila taasisi, kila muhimili, kila chombo cha umma au binafsi, na mtu mmoja mmoja, kila mmoja kwa nafasi yake, ana wajibu wa msingi wa kulinda maslahi ya Taifa.
Na kila kinachotakiwa kulinda...
RAIS SAMIA AMREJESHA NYUMBANI BALOZI NCHIMBI, AHAMISHA VITUO VYA KAZI MABALOZI 4
Balozi Emmanuel J. Nchimbi amerejeshwa nyumbani kutoka Ubalozi wa Tanzania Nchini Misri na nafasi yake...
Nauliza tu maana kwa ufahamu wangu ni kama unadumaza na kudidimisha maendeleo yetu.
Una demoralize watu na utu wao kwa asilimia kubwa.
Tuzidi kuomba akili walizotuachia wakoloni ziendelee...
Kwanini viongozi wetu hawataki kujifunza makosa ya nchi zingine zilizowahi kuingia mikataba ya aina hii na DP World.
Mwaka 2008 Yemeni waliingia mkataba wa miaka 30 kwa bandari yao ya Aden Port...
Mwabukusi anasema kuwa mahakama imejielekeza vibaya katika hukumu yake na kwa maana hiyo wanaenda kukata rufaa.
Mwabukusi anasema professionally anaipokea hukumu, lakini legally wateja wake...