Mwenge unahusika vipi kwenye maendeleo ya Taifa?

Mwenge unahusika vipi kwenye maendeleo ya Taifa?

Nauliza tu maana kwa ufahamu wangu ni kama unadumaza na kudidimisha maendeleo yetu.

Una demoralize watu na utu wao kwa asilimia kubwa.

Tuzidi kuomba akili walizotuachia wakolini ziendelee kuyeyuka kwenye vizazi vyetu.
Mimi nashauri watengeneze mwenge wa kidigitali🙂huu wa sasa ushapitwa na wakati na ni ghali mno kuukimbiza 🚴‍♀️🏃🏃‍♀️na mafuta ni ghali uwe mwenge wa solar....halafu kuwe na platform mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii...mfano leo mwenge upo Didia basi watu wa Didia wana like..Comment...quote...na kuweka picha za miradi inayozinduliwa..etc.etc hali kadhalika Namabengo...Mtwivila...Moshono....Oumurushaka....Msijute....Miangalua....Chinangali...au pale Kikarara.
 
Au watengeneze limwenge kama drone hivi liwe linaruka lenyewe bila kuwapotezea watu muda na gharama......🤪🤪😁🤣😅🤣😅
 
Before sikujua faida ya Moja Kwa Moja ya mwenge mpaka nilipo pata nafasi na ukaribu na baadhi ya mambo.....

Mwenge Kwa jamii ni muhimu mnooo na hasa Kwa maendeleo ya ya jamii husika wengi wanajua kukesha nao tu ila behind Kuna watu hawalali kuweka mambo sawa (hasa ya kijamii) katika maeneo yao, ni katika mwenge wamesaidiwa hata watu local kabisa walokua na malalamiko Yako dhidi ya serikali au viongozi Fulani. So far Mwenge bado ni muhimu Kwa jamii yetu

Ila

Sikubaliani na gharama za mwenge hapa serikali inabidi kutazama namna Bora ya kupunguza gharama kuanzia kwenye posho za kamati na wakimbiza mwenge kiujumla, gharama zisizo za msingi Kwa taasisi na idara ambazo kiuhalisia hazina uhusiano wowote na mwenge ila zinapaswa kuwepo maeneo ya tukio na gharama nyingine nyingi (mafuta ya nishati Kwa sasa huenda likawa janga zaidi la kumaliza pesa)

Mabadiliko ya namna ya uendeshaji WA shughuli za mwenge ni muhimu Kwa sasa ila yanahitaji utulivu na uzalendo zaidi.

Nawasilisha na nipo tayari kupiga mawe.
 
Nauliza tu maana kwa ufahamu wangu ni kama unadumaza na kudidimisha maendeleo yetu.

Una demoralize watu na utu wao kwa asilimia kubwa.

Tuzidi kuomba akili walizotuachia wakolini ziendelee kuyeyuka kwenye vizazi vyetu.
Hii kitu nakumbuka niliuliza humu lkn ckuwah pewa jibu!!
 
Before sikujua faida ya Moja Kwa Moja ya mwenge mpaka nilipo pata nafasi na ukaribu na baadhi ya mambo.....

Mwenge Kwa jamii ni muhimu mnooo na hasa Kwa maendeleo ya ya jamii husika wengi wanajua kukesha nao tu ila behind Kuna watu hawalali kuweka mambo sawa (hasa ya kijamii) katika maeneo yao, ni katika mwenge wamesaidiwa hata watu local kabisa walokua na malalamiko Yako dhidi ya serikali au viongozi Fulani. So far Mwenge bado ni muhimu Kwa jamii yetu

Ila

Sikubaliani na gharama za mwenge hapa serikali inabidi kutazama namna Bora ya kupunguza gharama kuanzia kwenye posho za kamati na wakimbiza mwenge kiujumla, gharama zisizo za msingi Kwa taasisi na idara ambazo kiuhalisia hazina uhusiano wowote na mwenge ila zinapaswa kuwepo maeneo ya tukio na gharama nyingine nyingi (mafuta ya nishati Kwa sasa huenda likawa janga zaidi la kumaliza pesa)

Mabadiliko ya namna ya uendeshaji WA shughuli za mwenge ni muhimu Kwa sasa ila yanahitaji utulivu na uzalendo zaidi.

Nawasilisha na nipo tayari kupiga mawe.
Malalamiko dhidi ya serikali sio sawa kusubiri mwenge ufike ndio yatatuliwe. Ukisema hivi unamaanisha serikali imefeli
 
Kufukuzana na deadline

Uwe msimamizi wa mradi halafu uambiwe Mwenge utakuja kuzindua mradi uliousimamia.

Inasaidia kuwafanya Watu wameet deadlines.

Umekuwa msimamizi wa mradi na unaambiwa Mwenge utakuja,

Jamba jamba yake si ya kitoto.
 
Sisi tumekwisha uwasha mwenge, tumekwisha uwasha mwengeee!

Na kuuu uweka juu ya mlima, mlimaaa Kilimanjaro! X 2

Kuwasha mwenge, kuwasha mwengee na kuuweka kilimanjaro X 2

Umulike hata nje ya mipaka yetu ulete tumainiii, pale ambapo hakuna matumaini (upendooooo!)
Upendo mahali ambapo pana chuki na hekima ambapo pamejaaa dharauuu! X 2

Missing those old days, wakati tunakuwa, ukisikia mwenge basi ni mwenge kweliii bwana 😅, anyways to me it is a national symbol of freedom and hope,
Ila it turned out to be an opportunity kwa watu kujipigia pesa za umma, shubhaaamit!
 
Nauliza tu maana kwa ufahamu wangu ni kama unadumaza na kudidimisha maendeleo yetu.

Una demoralize watu na utu wao kwa asilimia kubwa.

Tuzidi kuomba akili walizotuachia wakoloni ziendelee kuyeyuka kwenye vizazi vyetu.
Isaya 50 verse 11
 
Siku mwenge ukifa ndipo ccm itakufa.
Hirizi Yao ipo kwenye mwenge,we check kina mpwayugu village na mapotu kutwa kulalamika kazi ngumu lakini ndio wa kwanza kuhakikisha chama chakavu hakiondoki madarakani wakiwasapoti kuiba kura
 
Back
Top Bottom