Balozi John Nchimbi aondolewa Misri arejeshwa nyumbani

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
RAIS SAMIA AMREJESHA NYUMBANI BALOZI NCHIMBI, AHAMISHA VITUO VYA KAZI MABALOZI 4

Balozi Emmanuel J. Nchimbi amerejeshwa nyumbani kutoka Ubalozi wa Tanzania Nchini Misri na nafasi yake inachukuliwa na Balozi Meja Jenerali Richard M. Makanzo.

Ali J. Mwadini anakuwa Balozi wa Tanzania Nchini Ufaransa akichukua nafasi ya Balozi Dkt. William Shelukindo aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje.

Abdallah S. Possi anakuwa Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania - Umoja wa Mataifa Geneva Uswisi akichukua nafasi ya Balozi Maimuna Tarishi aliyemaliza Mkataba wake.

Dkt. John S. Simbachawene anakuwa Balozi wa Tanzania Nchini Uganda akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Aziz P. Mlima aliyestaafu.

View attachment 2714642
IMG_20230811_182908_851.jpg
 
Showtime, mtu wa kazi ngumu . Balozi karibu tena nyumbani baada ya mapumziko marefu.
 
RAIS SAMIA AMREJESHA NYUMBANI BALOZI NCHIMBI, AHAMISHA VITUO VYA KAZI MABALOZI 4

Balozi Emmanuel J. Nchimbi amerejeshwa nyumbani kutoka Ubalozi wa Tanzania Nchini Misri na nafasi yake inachukuliwa na Balozi Meja Jenerali Richard M. Makanzo.

Ali J. Mwadini anakuwa Balozi wa Tanzania Nchini Ufaransa akichukua nafasi ya Balozi Dkt. William Shelukindo aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje.

Abdallah S. Possi anakuwa Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania - Umoja wa Mataifa Geneva Uswisi akichukua nafasi ya Balozi Maimuna Tarishi aliyemaliza Mkataba wake.

Dkt. John S. Simbachawene anakuwa Balozi wa Tanzania Nchini Uganda akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Aziz P. Mlima aliyestaafu.

View attachment 2714642View attachment 2714643
Mwambie Possi akija Geneva aheshimu watu asilete ushenzi kama aliokuwa anafanya Ujerumani ashike adabu kabisa la sivyo atafundishwa kuheshimu watu
 
RAIS SAMIA AMREJESHA NYUMBANI BALOZI NCHIMBI, AHAMISHA VITUO VYA KAZI MABALOZI 4

Balozi Emmanuel J. Nchimbi amerejeshwa nyumbani kutoka Ubalozi wa Tanzania Nchini Misri na nafasi yake inachukuliwa na Balozi Meja Jenerali Richard M. Makanzo.

Ali J. Mwadini anakuwa Balozi wa Tanzania Nchini Ufaransa akichukua nafasi ya Balozi Dkt. William Shelukindo aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje.

Abdallah S. Possi anakuwa Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania - Umoja wa Mataifa Geneva Uswisi akichukua nafasi ya Balozi Maimuna Tarishi aliyemaliza Mkataba wake.

Dkt. John S. Simbachawene anakuwa Balozi wa Tanzania Nchini Uganda akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Aziz P. Mlima aliyestaafu.

View attachment 2714642View attachment 2714643
Naona Jumapilli wao wamepangiwa vituo vya Afrika ila Ijumaa ni Europe na Asia.
 
Back
Top Bottom