Figisu za kuiba kura huanzia ofisi hizi hapa

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Watendaji wengi wa CCM huwa wanaapa kabisa kuwa CCM lazima ishinde.

Na kwa kulijua hilo basi CCM huwajaza upepo kuwa lazima CCM ishinde maana wapinzani watarudisha maendeleo yao nyuma.

Ebu tazameni ofisi za baadhi ya viongozi hao hata baada ya miaka 60+ ya uhuru.

Watanzania wenzetu jamani fungukeni wacheni kulishwa sumu za kuchukia upinzani.
Screenshot_20230811-190409_Instagram.jpg
 
Watendaji wengi wa ccm huwa wanaapa kabisa kuwa ccm lazima ishinde.

Na kwa kulijua hilo basi ccm huwajaza upepo kuwa lazima ccm ishinde maana wapinzani watarudisha maendeleo yao nyuma.

Ebu tazameni ofisi za baadhi ya viongozi hao hata baada ya miaka 60+ ya uhuru.

Watanzania wenzetu jamani fungukeni wacheni kulishwa sumu za kuchukia upinzani. View attachment 2714663
Wanakulitafuta wacha walipate😂😂😂.Wanastahili hali hiyo kwa ujinga wao🏃🏃
 
Watendaji wengi wa ccm huwa wanaapa kabisa kuwa ccm lazima ishinde.

Na kwa kulijua hilo basi ccm huwajaza upepo kuwa lazima ccm ishinde maana wapinzani watarudisha maendeleo yao nyuma.

Ebu tazameni ofisi za baadhi ya viongozi hao hata baada ya miaka 60+ ya uhuru.

Watanzania wenzetu jamani fungukeni wacheni kulishwa sumu za kuchukia upinzani. View attachment 2714663
Onyesha ya chama chako chenye umri wa miaka 31
 
wanaojenga misingi ya ccm kushinda wote wana maisha ya kikenge sana,sio hao wenyeviti wala polisi.
 
Back
Top Bottom