Wakili Mwabukusi anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2025

mkushite

JF-Expert Member
Sep 2, 2021
623
1,467
Huyu jamaa amewaacha mbali wanasiasa karibia wote.

Nikimaanisha kwamba CCM sijaona mtu mwenye ubavu wa kupambana na Mwambukusi, kawaacha mbali wapinzani wote akina Mbowe, Lissu, Lema e.tc

Ukimsikiliza Wakili Mwabukusi ni kama unamsikiliza Magufuli. Uwezo alionao Mwambukusi siyo wa kubeza, jamaa ana kitu ambacho Tanzania inaitaji kiongozi kama yeye.

Haongei blabla kama wanasiasa wengine, jamaa anaongea facts nyingi na zenye uhalisia wa kile anaongea.

Watanzania nawaambieni tumpe nchi Mwambukusi 2025, huyu ndiye mrithi wetu baada ya Magufuli.
 
Mpaka kitengo kiridhie ,ila mapapasi wa CHADEMA wasahau, wanawake tu wamewashinda itakuwa kuongoza vichwa mchungu vya waTanganyika.

Mi nawashangaa viongozi wa Chadema wanapohutubia mijimacho inawatoka ,sasa wananmtisha nani Mtanganyika?

Wengi wa viongozi wa Chadema wana asili ya Congo.

Hakuna haja ya kutoleana mijicho mnapotuhutubia , leo mnatutolea mijicho ,mkishinda ushaguzi si mtatupiga risasi hazarani.
 
Nani kakuambia kuwa na jazba ndiyo kigezo cha kuwa Rais?

Yaani Tanzania iliyovuka mikononi mwa Dikteta Magufuli irudi kwa takataka nyingine tena!!

Urais ni hekima, kipawa na mvuto. Mijitu ya namna ya Seif Shariff au Mtikila haitufai kwenye uongozi wa watu
 
Huyu jamaa amewaacha mbali wanasiasa karibia wote.

Nikimaanisha kwamba CCM sijaona mtu mwenye ubavu wa kupambana na Mwambukusi, kawaacha mbali wapinzani wote akina Mbowe, Lissu, Lema e.tc

Ukimsikiliza Wakili Mwabukusi ni kama unamsikiliza Magufuli. Uwezo alionao Mwambukusi siyo wa kubeza, jamaa ana kitu ambacho Tanzania inaitaji kiongozi kama yeye.

Haongei blabla kama wanasiasa wengine, jamaa anaongea facts nyingi na zenye uhalisia wa kile anaongea.

Watanzania nawaambieni tumpe nchi Mwambukusi 2025, huyu ndiye mrithi wetu baada ya Magufuli.
Huyu akaendeleze kazi ya udereva wa daladala kwani ndo kazi stahiki yake. Haya mengine awaachie wenye uwezo kwani uwezo huo hana.
 
Huyu jamaa amewaacha mbali wanasiasa karibia wote.

Nikimaanisha kwamba CCM sijaona mtu mwenye ubavu wa kupambana na Mwambukusi, kawaacha mbali wapinzani wote akina Mbowe, Lissu, Lema e.tc

Ukimsikiliza Wakili Mwabukusi ni kama unamsikiliza Magufuli. Uwezo alionao Mwambukusi siyo wa kubeza, jamaa ana kitu ambacho Tanzania inaitaji kiongozi kama yeye.

Haongei blabla kama wanasiasa wengine, jamaa anaongea facts nyingi na zenye uhalisia wa kile anaongea.

Watanzania nawaambieni tumpe nchi Mwambukusi 2025, huyu ndiye mrithi wetu baada ya Magufuli.
Alishindwa Ubunge Mbeya Vijijini 2020. Atauweza Urais wa Tanzania?
 
Huyu jamaa amewaacha mbali wanasiasa karibia wote.

Nikimaanisha kwamba CCM sijaona mtu mwenye ubavu wa kupambana na Mwambukusi, kawaacha mbali wapinzani wote akina Mbowe, Lissu, Lema e.tc

Ukimsikiliza Wakili Mwabukusi ni kama unamsikiliza Magufuli. Uwezo alionao Mwambukusi siyo wa kubeza, jamaa ana kitu ambacho Tanzania inaitaji kiongozi kama yeye.

Haongei blabla kama wanasiasa wengine, jamaa anaongea facts nyingi na zenye uhalisia wa kile anaongea.

Watanzania nawaambieni tumpe nchi Mwambukusi 2025, huyu ndiye mrithi wetu baada ya Magufuli.
Kujua kuongea sana sio kuwa kiongozi Bora, hivi huyu si ndio alihusika na migogoro ya NCCR? Subiri tu anyimwe fomu na CHADEMA za kugombea ubunge ndio utaelewa ni mtu wa aina gani.
 
Back
Top Bottom