Mwabukusi na kundi lake walikuwa dhaifu sana katika ujenzi wa hoja za kisheria

Michael Uledi

Senior Member
Mar 29, 2023
132
322
George Michael Uledi.
August 10,2023.
07:20 AM.M

mi sio Mwanasheria lakini ni suala la kutumia reasoning na logic tu kwamba uwezekano wa Jamhuri kuwabwaga wakina Mwabukusi na kundi la Mawakili wenzake ni mkubwa sana.Kama ni asilimia natoa 60% kwa Serikali,30% kwa Waleta hoja na 10% naiachia Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya.

Jana nilijipa usiku mzima kupitia hoja za waleta shauri chini ya Wakili Mpoki na wenzake.Hoja yao ilikuwa backed kwa asilimia 70% na Sheria ya Natural Wealth & Resource (Parmanent Sovereignty )ya 2017 ambayo pamoja na mambo mengine inatamka umuhimu wa kuzitumia rasilimali za Taifa kwa manufaa ya Watanzania.

Watoa hoja wanadai kuwa Mkataba wa IGA kuhusu Uwekezaji ndani ya Bandari ya Dar unakiuka Sheria hiyo pamoja na Sheria za Kimataifa hivyo kuiomba Mahakama kutoa tafsiri za kisheria kuhusu Mkataba husika.

I.Je,Watoa hoja wapo tayari kupokea tafsiri ya Mahakama Kuu kuhusu Mkataba wa IGA kati ya Dubai na Tanzania?Ni.wazi kuwa so far hakuna Mkataba wowote ambao umesainiwa ambao unaenda kinyume na Sheria ya Natural Wealth & Resource(Parmanent Sovereignty )ya 2017.

II.Mkataba wa kati ya DP World na TPA bado haujasainiwa popote kwahiyo kwa vyovyote watoa hoja hawakuwa na hoja yoyote ya kujibiwa kuhusu ulinzi wa rasilinali za Taifa.IGA ile kwa vyovyote haina nguvu yoyote ya kisheria kwamba mtu anaweza kusimama na kuihoji na akashinda.Huu ni udhaifu namba moja wa hoja wa waleta shauri.

III.Swali la msingi hapa ni Je,IGA ile so far inahatarisha maslahi ya Tanzania kwenye ulinzi wa rasilimali zake?Je,watoa hoja waliweza kuishawishi Mahakama katika msingi huo?kama hawakuweza basi ni wazi kuwa submissions za jamaa "Wanyakyusa" wale Mpoki,Lusako na Mwabukusi zilikuwa dhaifu sana.

IV.Ni wazi naona kuwa Mawakili wale hawawezi kupoteana mazima hasa katika eneo la kuhusu Mamlaka ya Kikatiba kwamba Dubai ni Nchi au sio Nchi?Nauliza swali pia je,Zanzibar ni Nchi au sio Nchi?Ni wazi kuwa Zanzibar ina mambo ambayo hata wao wanafanya independently bila kushirikisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.United Arab Emirate ni Muungano wa Nchi za Kifalme za Kiarabu,kama Zanzibar inaweza ikafanya baadhi ya mambo pekee yake kwa maoni yangu hata Dubai inaweza kufanya hivyo.

Narudia tena kusema kuwa hoja za waleta hoja zilikuwa dhaifu sana japo kuna maeneo ambayo nadhani pia Mahakama itatoa tafsiri nzuri kwamba kuna maeneo watoa hoja walikuwa na hoja za msingi.

Haya ni maoni tu tusubilie maamuzi ya Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya lakini naona wazi kuwa wale "Nyaksi" wenzangu Lusako,Mpoki na Mwabukusi walikuwa weupe sana sana katika Subnissions zao.

+255746726484.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
CCM hukumu mmeshaijua
Acha uoga.Mahakama hiyo hiyo ilimchomoa mdude mwaka 2021 kwenye msala.wake wa madawa.

Mahakama kuu hiii hii imetoa hukumu ya kuwakataa wakurugenzi wa halmshauri na majiji wasiwe wasimamizi wa Uchaguzi wa tume ya uchaguzi.

Mahakama hii hii imeshawahi kutoa ruling ya ushindi katika shauri la Mgombea binafsi lililoletwa na Marehemu Mtikila.Sasa wasiwasi wa nini???

Serikali kwa maana ya Jamhuri imeshamwagwa several times na watoa hoja na wala haijawahi kulalalamika,kubakini matokeo yoyote yanayokuja leo kaka.

Wanategemea mihemko,sauti kubwa na kujitutumua kama wanawake wanachambana kwamba ndio itawasaidia? 😂😂😂
 
Huwa nawaelewa sana wawekezaji, wameshajua hatuna mahakama, hivyo kesi zao hupeleka mahakama za kimataifa maana wanajua hapa ni upuuzi mtupu. Huyo mchambuzi sio kwamba amepitia chochote, bali anajua hukumu kwenye mahakama zetu lazima zifuate itakacho serikali. Hivyo hapa mekuja na uchambuzi uchwara ili ionekane anajua mambo.
 
Acha uoga.Mahakama hiyo hiyo ilimchomoa mdude mwaka 2021 kwenye msala.wake wa madawa.

Mahakama kuu hiii hii imetoa hukumu ya kuwakataa wakurugenzi wa halmshauri na majiji wasiwe wasimamizi wa Uchaguzi wa tume ya uchaguzi.

Mahakama hii hii imeshawahi kutoa ruling ya ushindi katika shauri la Mgombea binafsi lililoletwa na Marehemu Mtikila.Sasa wasiwasi wa nini???

Serikali kwa maana ya Jamhuri imeshamwagwa several times na watoa hoja na wala haijawahi kulalalamika,kubakini matokeo yoyote yanayokuja leo kaka.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Jitahidi kuweka namba zako za simu Kila bandiko lako
 
Back
Top Bottom