Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naona mlikosa wapi pa kumkosoa hayati Magufuli mkabakiza kuleta majungu yasiyokuwa na mbele wala nyuma. Hata kama pesa za kujenga uwanja wa ndege Chato hazikuidhinishwa na Bunge shida iko wapi...
9 Reactions
47 Replies
3K Views
Habari, Ukiwa unajua ulikotoka ni rahisi pia kujua unakoenda. Taifa letu limewahi kukumbwa na mauaji ya kukusudia, walengwa wakuu wakiwa ni viongozi wa Chama Cha Mapinduzi, wenyeviti wa vijiji...
6 Reactions
100 Replies
8K Views
Mamlaka ya Tanzania inapaswa kuwaachilia mara moja na bila masharti Willibrod Slaa, aliyekuwa mbunge na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Boniface Mwabukusi, mwanasheria na mwanaharakati, na Mdude...
15 Reactions
99 Replies
12K Views
Mimi kama diaspora nitaanza na mawazo mawili makubwa halafu naomba wadau muongeze 1. Nashauri Mabalozi ambao wanateuliwa wapimwe uwezo sio tu kuchagua watu ambao ni madiplomasia wa wizarani na...
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Mimi niko poa sijui watanganyika wenzangu, Japo linaweza kunikutà lolote sasa na sekunde yeyote. Serikali ya Samia imejidhihirisha kwamba haitaki ushenzi kukosolewa kwenye mambo yanayohusiana na...
1 Reactions
4 Replies
476 Views
Tembo alimuona swala akikimbia kwa mbio kubwa. Akamuuliza, swala mbona mbio hivyo? Swala akasema kijijini kwetu polisi wanakamata kila Mbuzi anayeonekana. Tembo akema wewe acha ujinga, kwani wewe...
12 Reactions
60 Replies
6K Views
TATHIMINI YA HUKUMU YA KESI YA BANDARI Kimantiki WALIOSHINDA ni wa WALALAMIKAJI kwani Mahakama Kuu imekiri Mkataba wa IGA una mapungufu kadhaa; 1. Umevunja Sheria za Natural Wealth and...
3 Reactions
3 Replies
663 Views
Takriban wafanyakazi 2,000 wa Uturuki walioajiriwa na kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapı Merkezi katika mradi wa reli nchini Tanzania wamegoma tangu Agosti 5, wakidai kulipwa mishahara yao...
12 Reactions
97 Replies
11K Views
Lazima jibu lipo mahali. Kuna mtu hasemi ukweli na katika kujitahidi kutokusema ukweli ametafuta maneno mazito matamu anayotaka yakubalike kama ukweli. Kuna watu wameshtukia na sasa wanang'aka...
16 Reactions
118 Replies
8K Views
Wakati Watanzania wakipambana na Bei kubwa za Mafuta yenye Wastani wa Bei kati ya 3,000 hadi 3,500 kwa Lita moja, Nchi ya Libya licha ya kuwa na changamoto za Kiusalama bado ndio Nchi yenye bei...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mabalozi Wateule Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=3hgz9HYOiR8...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dkt. Pindi Chana amefungua Kikao cha Faragha cha Viongozi wa Wizara na Wakuu wa Taasisi leo Agosti 16, 2023 mkoani Morogoro. Dkt. Chana amesisitiza...
0 Reactions
1 Replies
547 Views
Nimeona tamko la Nape, nikajiuliza yeye anayo mamlaka yakutoa tangazo kama lile? Kwanini kukamatwa na kuwekwa mahabusu watuhumiwa iwe jukumu la Nape kutangaza? Mfumo wa serikali upo vipi?
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Huu ni mtazamo kulingana na ukweli kuwa, Jengo hili kubwa na zuri, limejengwa pembezeni mwa barabara inayoingia mijini Dodoma (katika ya mji) huku barabara ikiwa finyu na magari teyari ni mengi na...
9 Reactions
46 Replies
6K Views
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona...
9 Reactions
116 Replies
9K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Jopo la Wanasheria limekwishatinga kwenye viunga vya Mahakama, kwa ajili ya kufungua kesi ya kulazimisha Serikali ya Tanzania kuwafikisha Mahakamani...
32 Reactions
135 Replies
9K Views
Ameandika kwenye account yake ya mtandao wa twitter: Usiku huu, Dkt. Wilbroad Peter Slaa, mashtaka yake yamebadilishwa kutoka katika matumizi ya lugha ya uchochezi sasa amepewa mashtaka ya...
26 Reactions
210 Replies
18K Views
Tumejifunza mengi kutoka kwenye munyukano wa kisheria uliotokea kwenye Mahakama Kuu ya Mbeya kuhusiana na mkataba kati ya DP World na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tulichoshuhudia ni tofauti...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakati Jeshi la Polisi likiendelea kuwashilia wanasiasa Dk Willibrod Slaa na Mpaluka Nyangali maarufu ‘Mdude’ na mwanasheria Boniface Mwabukusi, mawakili wao wamedai kuwa wateja wao wamehojiwa kwa...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Enyi vyama vya upinzani, nyote kabisa pasipokuwa na exception, huu ndiyo ulio ukweli mchungu: Tafsiri halisi kuwa: Upinzani - walio waoga (cowards) si Wafuasi Hii ni pasipo na kujali kuwa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…