Ansbert Ngurumo: Swala na Tembo waanze kushituka na kukimbia

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,010
Tembo alimuona swala akikimbia kwa mbio kubwa. Akamuuliza, swala mbona mbio hivyo? Swala akasema kijijini kwetu polisi wanakamata kila Mbuzi anayeonekana. Tembo akema wewe acha ujinga, kwani wewe ni mbuzi? Mbuzi akasema kwa mfumo wa sheria ninao uona kijijini, itanichukua miaka 20 kuwashawishi polisi kuwa mimi siyo Mbuzi. Na Tembo akaanza kukimbia mbio kubwa.

Tafsiri:
Mbuzi, Tembo, na kila mnyama wanze kukimbia..........Lisu, Mbowe and Co Ltd! waanze kukimbia! This is debatable, highly debatable

Msikllize Ansbert ngurumo

View: https://youtu.be/iq4g2lT81Ps
 
Serikali haiwezi kuwafunga wote isipokuwa hao watatu wametumika kuwanyamazisha hao wengine.

Kwa hali iliyopo, ni wazi hata hizo kelele haziwezi kuwafanya jamaa wasichukue hizo bandari kwa maana inaonesha kama ni mpunga ulishatolewa kitambo hivyo iwe mvua ama jua lazima DPW achukue hizo bandari.

Turufu iliyobaki ni kwa Wananchi wenyewe kuukataa, maana watu wa Usalama walishafanya kazi yao ya kuuvujisha kupitia kwa akina Mbowe and Co. sasa kama Wananchi wenyewe wataendelea kunyamaza basi hatuna Jinsi.
 
Tembo alimuona swala akikimbia kwa mbio kubwa. Akamuuliza, swala mbona mbio hivyo? Swala akasema kijijini kwetu polisi wanakamata kila Mbuzi anayeonekana. Tembo akema wewe acha ujinga, kwani wewe ni mbuzi? Mbuzi akasema kwa mfumo wa sheria ninao uona kijijini, itanichukua miaka 20 kuwashawishi polisi kuwa mimi siyo Mbuzi. Na Tembo akaanza kukimbia mbio kubwa.

Tafsiri:
Mbuzi, Tembo, na kila mnyama wanze kukimbia..........Lisu, Mbowe and Co Ltd! waanze kukimbia!

Msikllize Ansbert ngurumo

View: https://youtu.be/iq4g2lT81Ps

Hao wengine ni dhahiri shahiri watakimbia but the Patriot and Statesman Freeman Aikaeli Mbowe will never ever do that. Huyu ndio pekee haishi kama hao swala na tembo wanadanganyana na kuuziana uoga
 
Serikali haiwezi kuwafunga wote isipokuwa hao watatu wametumika kuwanyamazisha hao wengine.

Kwa hali iliyopo, ni wazi hata hizo kelele haziwezi kuwafanya jamaa wasichukue hizo bandari kwa maana inaonesha kama ni mpunga ulishatolewa kitambo hivyo iwe mvua ama jua lazima DPW achukue hizo bandari.

Turufu iliyobaki ni kwa Wananchi wenyewe kuukataa, maana watu wa Usalama walishafanya kazi yao ya kuuvujisha kupitia kwa akina Mbowe and Co. sasa kama Wananchi wenyewe wataendelea kunyamaza basi hatuna Jinsi.
Kwa mantiki hiyo ni kuwa CCM will never accept defeat in elections to come, maana wakitoka madarakani, watashitakiwa na kupewa adhabu kali regardless of the kinga eti rais hashitakiwi, ataundiwa mahakama ya kijeshi au special court kwa ajili yake tu na wale waliojiwekea kinga ya kutoshitakiwa.
 
Tembo alimuona swala akikimbia kwa mbio kubwa. Akamuuliza, swala mbona mbio hivyo? Swala akasema kijijini kwetu polisi wanakamata kila Mbuzi anayeonekana. Tembo akema wewe acha ujinga, kwani wewe ni mbuzi? Mbuzi akasema kwa mfumo wa sheria ninao uona kijijini, itanichukua miaka 20 kuwashawishi polisi kuwa mimi siyo Mbuzi. Na Tembo akaanza kukimbia mbio kubwa.

Tafsiri:
Mbuzi, Tembo, na kila mnyama wanze kukimbia..........Lisu, Mbowe and Co Ltd! waanze kukimbia!

Msikllize Ansbert ngurumo

View: https://youtu.be/iq4g2lT81Ps

Swala na tembo wakimbie mapema, wabaki Simba , Farasi,Faru, nungunungu, tai nk nk!!

Uliona wapi walemavu na wanawake au watoto wakipelekwa front line?
 
Never die in History!
Ikiwa heroes watakimbia, nani aongize Mapambano?

Kama ni mbwa Koko, watie haraka mikia Yao kunako walaze mshale!!

Lakini Farasi kamwe hajawahi kukimbia vita, akinusa harufu au kusikia kelele za vita na sauti za Mapambano huinua KICHWA na kuelekea huko Kwa Kasi!!
 
Tembo alimuona swala akikimbia kwa mbio kubwa. Akamuuliza, swala mbona mbio hivyo? Swala akasema kijijini kwetu polisi wanakamata kila Mbuzi anayeonekana. Tembo akema wewe acha ujinga, kwani wewe ni mbuzi? Mbuzi akasema kwa mfumo wa sheria ninao uona kijijini, itanichukua miaka 20 kuwashawishi polisi kuwa mimi siyo Mbuzi. Na Tembo akaanza kukimbia mbio kubwa.

Tafsiri:
Mbuzi, Tembo, na kila mnyama wanze kukimbia..........Lisu, Mbowe and Co Ltd! waanze kukimbia!

Msikllize Ansbert ngurumo

View: https://youtu.be/iq4g2lT81Ps

Kama huwezi kuchambua fumbo linalojieleza je lililofichama utaweza? Waliolengwa hapo sio kina mbowe ni hao viongozi wa CCM na wengine Kama wewe mnaodhani hammo wakiwamaliza akina mbuzi watawafuata nyie kina swala na tembo.
 
Kwa mantiki hiyo ni kuwa CCM will never accept defeat in elections to come, maana wakitoka madarakani, watashitakiwa na kupewa adhabu kali regardless of the kinga eti rais hashitakiwi, ataundiwa mahakama ya kijeshi au special court kwa ajili yake tu na wale waliojiwekea kinga ya kutoshitakiwa.
Kwa system iliyopo Tanzania ni ngumu Chama cha Upinzani kupewa Nchi, kuna muunganiko wa moja kwa moja kati ya CCM na Serikali.

Kuna utatu mkubwa kati ya Chama na Serikali kuanzia DED, DSO, DC, Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri, Polisi n.k, Hawa kwa sehemu kubwa ndiyo wapanga mipango ya nani awe Diwani, Mbunge ama Rais wa Nchi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom