CHADEMA mna nia kweli ya kuchukua utawala wa hii nchi au mnatutumia wananchi kwa matumbo yenu?

Poa 2

JF-Expert Member
Jul 7, 2019
1,294
1,288
Mimi niko poa sijui watanganyika wenzangu,

Japo linaweza kunikutà lolote sasa na sekunde yeyote. Serikali ya Samia imejidhihirisha kwamba haitaki ushenzi kukosolewa kwenye mambo yanayohusiana na bandari.

Mama Samia sisi wakosoaji wako tunakuambia sawa tu, tunyonyoe utavyopenda lakini huwezi kuvuna pamba kwenye shamba la karafuu. CCM endeleeni na hii amani!

2015 na 2020 CHADEMA iliibiwa uchaguzi vibaya sana, katiba ikiwa Ile Ile, tume ya uchaguzi ikiwa Ile Ile, mfumo wa polisi ukiwa ule ule na uchama Dola uko vile vile na Leo mnatushawishi tuende kwenye uchaguzi tukiwa vile vile! Hivi na nyie CHADEMA mnatuonaje tunaowaunga mkono?

Kwa kweli kabisa Dkt. slaa amewaumiza sana kama chama hasa uchaguzi uliopita alitumia kama kondomu lkn kwa huu ukweli anao usimamia Leo kuhusu bandari zetu ni lazima tuangalie namna ya kumuunga mkono............. NINA MENGI SANA YA KUSEMA LKINI ITOSHE KUSEMA.

Kutumia njia zile zile zilizoshindwa huku tunategemea matokeo tofauti ni ujuha.
 
Kumkata kichwa kobe kunataka timing. Kama chama CDM hawawezi kutoa kauli za kukurupuka.
 
Histrii ishaandikwa.. 2023 Ngao Kachua Mnyama.

Sasa haya yanayotengenezwa Mara oo haijacheza Vizuri...!

Mara oo Robertino timu imemshindwa..!!

Yana Madhara Makubwa Sana..!
'Wananchi' Wanaweza kudhani ni Kweli Chadema Wanawatumia kwa ajili ya Matumbo Yao,

na Kwa kuwa Rangi za Chadema ni Nyeupe na Nyekundu ndugu wa Kijani Wakagoma Kuwapigia kura wagombea Wa Chama tawala na Wanachadema Waka revenge kuacha kuwapigia kura hawa Wa Kijani hivyo Slaa na Mwambukusi Kuvaa Heshima kubwa kama ile ya Nelson Mandera..!

Kama hamjaelewa Shikeni neno moja tu....

Mama aache Kuuza Bandari yetu...

Chonde chonde .. aachane na Mikataba ya mchongo...!

Uwezaji haugomewi...Vifungu ndani ya Mkataba ndo vinagomewa..! Hoja zijibiwe kwa hoja..Kifungu kwa kifungu
 
Back
Top Bottom