Nani mwenye mamlaka ya kutoa tamko la kiserikali Tanzania?

Kwa sasahivi ni yeyote tu atakayewahi,Si umemsikia hata Chalamila nae kashatoa msimamo,kifupi ni ukoo wa Kambale.
 
Hapa wameshakorogana chalamila katoa tamko lake na nape katoa lake ubaya matamko yao wote wametofautiana katika jambo moja
 
Nimeona tamko la Nape, nikajiuliza yeye anayo mamlaka yakutoa tangazo kama lile?

Kwanini kukamatwa na kuwekwa mahabusu watuhumiwa iwe jukumu la Nape kutangaza?

Mfumo wa serikali upo vipi?
Amejitoa kafara fala yule ndio waliopendekeza huo ufala, mhaini wa kwanza NAPE na mwenzake walitembelea magoti hao mbweha
 
anaoingilia kazi za watu bila utaratibu au labda Msigwa hatoshi maana anaingiliwa sana
 
Back
Top Bottom