Wabunge wameongezewa Posho
Wabunge wamepitisha mkataba wa bandari bila maoni ya wapigaji kura wao majimboni
Wabunge wamekuwa wasemaji wa DP WORLD wanapita na mkutano wa Chongolo kuunadi huo...
Mama yetu Janeth Magufuli alikuwa mwajiriwa WA serikali Mwalimu; baada ya Magufuli kuteuliwa kuwa mgombea Urais na baadaye Rais kazi ya ualimu ilisita japo kwenye utumishi WA umma sijui kama kuna...
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Lt. Jen. (Mst) Yacoub Hassan Mohamed amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida rais Samia ameeleza kupokea ombi kutoka kwa mmoja wa marais wa nchi za SADC akimwomba rais Samia ambadilishe balozi wa Tanzania aliyeko nchini “kwake” kutokana na...
•Tathimini yangu binafsi;
Kimantiki WALIOSHINDA ni WALALAMIKAJI kwani Mahakama Kuu imekiri Mkataba wa IGA una mapungufu kadhaa;
1. Umevunja Sheria za Natural Wealth and Resources, Sura za 449 na...
Naskia huko Mwanza kuna Bar moja imefungiwa kwa kukwepa Kodi kwa miaka miwili na ipo kwenye halmashauri ya Ilemela. Basi nikajiuliza miaka miwili wameweza vp kukwepa ila kumbe ishu nyuma ya pazia...
Takriban miezi 2 kufika leo media zote zilijaa mambo ya upotoshaji kutoka kwa akina Mwabukusi, Dr. Slaa, Mdude, Nshala, Lissu etc. Hawa walikuwa wanatumia lugha ya vitisho na matusi dhidi ya...
Inasemekana Hawa mabwana wanafikishwa Kizimbani Leo kujibu mashtaka ya uchochezi na uhaini.
Taarifa zinasema Balozi Dkt. Wilbroad Slaa, wakili wa kujitegemea Boniface Mwabukusi na Mpaluka Nyagali...
Ndugu zangu watanzania,
Kwa muda mrefu na kwa kipindi kirefu na kwa nyakati Tofauti na siku tofauti tofauti na kwa matukio Tofauti tofauti viongozi wa Chadema na upinzani kwa ujumla walikuwa...
Ijumaa limekuwa tatizo.
Aliyepelekwa China sijajua hata ataanzia wapi? Aliyekuwepo China amefanya makubwa na uwekezaji uliongezeka.
Siku ya Ijumaa sijajua ataanzia wapi na ana uwezo mdogo...
BUNGE
BUNGE ni uti wa mgongo wa demokrasia ya uongo iliyopo kwenye ulimwengu wa sasa. Bunge sio uwakilishi wa watu na mfumo wa mabunge sio suluhu katika matatizo ya demokrasia.
Bunge kwa asili...
Taarifa kutoka kwa Phillipo Mwakilima Wakili wa Watuhumiwa wa Uhaini , inaeleza kwamba zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kumtetea Dkt. Slaa na wenzake kwenye kesi ya uhaini inayowakabili.
Tayari...
Kwa mara nyingine Tena, Mahakama ya Africa ya Haki za Binaadamu (African Union Court of Human and People's Rights) imetoa tamko juu ya adhabu ya kifo iliyopo kwenye sheria za makosa ya jinai ya...
Tumesikia hawa watuhumiwa wamekataa kutoa vielelezo vifuatavyo kama ushahidi.
1. Maelezo yao ya onyo
2. Wamekataa kurekodiwa sauti
3. Waandishi wa habari online na live hakuna aliyehojiwa...
Nimeona niseme hapa jambo muhimu.
Iwapo kama siyo Mungu hakuna anayeweza lolote, basi aliye juu aangalie asijeanguka.
Ujumbe kwa watawala upo katika Ufunuo wa Yohana 3: 11.
Naam atakuja...
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa Bujumbura, tarehe 4, Februari 2023. Picha na Tchandrou Nitanga / AFP.
Polisi nchini Tanzania wamewakamata wakili mmoja na mwanasiasa wa upinzani...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Machapisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kutoka kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati wa Kikao...
Tathmini ya maeneo ya Kata ya Nyatwali, Wilaya ya Bunda ilifanyika mwezi Januari, 2023 na wananchi kuahidiwa kuwa watalipwa siyo zaidi ya mwezi. Mpaka sasa malipo hayajafanyika licha ya...