Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 879
- 4,125
Mama yetu Janeth Magufuli alikuwa mwajiriwa WA serikali Mwalimu; baada ya Magufuli kuteuliwa kuwa mgombea Urais na baadaye Rais kazi ya ualimu ilisita japo kwenye utumishi WA umma sijui kama kuna kipengele kinachotoa ajira automatic Kwa mke wa kiongozi. Na kama kipo je ni ajira zote?
Kutokana na contradiction hiyo Ndipo swali langu linapokuja kuzaliwa, je mama Janeth amestaafu? Je, kama ajastaafu , akifika umri wa kustaafu kisheria taratibu zinakuwaje?
Lakini Kwa nafasi yake anapaswa kuwa na taasisi anayoisimamia ambayo inaweza kumsaidia kuendelea kutoa huduma Kwa jamii ya Watanzania.
Mwenye kujua procedure zipo vipi baada ya first lady ambaye ajastaafu utumishi WA umma Mme wake anapomaliza muda wake WA utawala au anaposhindwa kuendelea kuwa Rais?