Viongozi wengi wa CHADEMA na upinzani Walikuwa wakifanya Vitendo Vya Kihaini pasipo wao kuelewa

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,300
9,727
Ndugu zangu watanzania,

Kwa muda mrefu na kwa kipindi kirefu na kwa nyakati Tofauti na siku tofauti tofauti na kwa matukio Tofauti tofauti viongozi wa Chadema na upinzani kwa ujumla walikuwa wakifanya Vitendo vya kihaini pasipo wao kujuwa au kuelewa.

Mara nyingi sana wakiwa majukwaani walitumia majukwaa yao ya kisiasa katika kushawishi,kuchochea ,kupanga ,kuratibu na hata kufadhili Vitendo vya kihaini dhidi ya serikali yetu halali kabisa iliyochaguliwa na watanzania kupitia sanduku la kura.

Jiulize ndugu yangu ni mara ngapi mmesikia kauli za kuwashawishi na kuwachochea watanzania wafanye maandamano yasiyo na kikomo ili kuipindua serikali yetu? Mara ngapi mmesikia sauti za kuwa nchi haitatawalika? Mnakumbuka kauli kama nchi haitatawalika imewahi kutolewa kutoka katika kinywa na mdomo wa Dkt Slaa? Au mmesahau kama ilivyo kawaida yetu watanzania? Mara ngapi kupitia vyombo vya habari ,majukwaani na hata kupitia mitandao ya kijamii tumesikia viongozi wa CHADEMA wakitoa vitisho dhidi ya serikali yetu,Bunge na hata mahakama?

Ni mara ngapi CHADEMA imepanga maandamano japo yalikuwa hayafanikiwa kutokana na watanzania kuwapuuza? Je kama watanzania wangesema wawasikilize bila kuwapuuza tungekuwa tunaandika nini hapa juu ya historia ya Taifa letu kisiasa? Chadema hao tuliona hadi wakishirikiana na wanaojiita wanaharakati kutaka serikali yetu iondoshwe madarakani kwa nguvu bila kufuata njia za kidemokrasia.

Ilikuwa ni huruma tu lakini wengi sana ilipaswa wawe wameshitakiwa kwa uhaini wa kutaka kuipindua serikali yetu.ilikuwa ni ukomavu wa kisiasa uliopigwa na kufikiwa na Taifa letu ambapo mara nyingi serikali iliwaita mezani na kukaa nao na kuwaelekeza na kuwafundisha athari za kauli zao na kile kinachoweza wakuta ikiwa sheria itachukua mkondo wake. Serikali iliamuaga mara nyingi kumaliza mambo mezani tu ili tusonge mbele kwa pamoja kama Taifa japo upinzani na wapinzani walihisi ni kama wanaogopwa na kwamba wanaweza kufanya chochote kile pasipo kuchukuliwa hatua za kisheria .

Lakini sasa inaonyesha watu wenye akili ndogo kama akina Mdude nyagali waliokosa adabu ,hekima,staha na malezi bora kutoka kwa wazazi wao na walio zibuka kiakili walihisi kama wanaogopwa sana,walihisi kama ni miamba isiyoguswa wala kutikiswa.walilewa misifa na kuona wapo juu ya sheria .sasa sheria imechukua mkondo wake,sasa serikali imeamua kusimamia sheria .sasa wanahaha wakiwa wenyewe ndani,waliowapa kiburi na kichwa na kuwajaza upepo wamewasahu kabisa na kuendelea na kazi zao na kufurahi na familia zao.

Jiulizeni ndugu zangu hivi mtu kama Mdude na Boniface Mwabukusi Ni vipi unaweza waunga mkono kwa kauli zao chafu na za kuchefua zilizokuwa zikitoka katika vinywa vyao? Ni vipi mtu kama dkt Slaa unaweza mtetea kwa kauli zake zile zilizokuwa hatarishi kwa usalama wa Taifa na umoja wetu watanzania? Naamini huu ni mwanzo tu na serikali yetu kwa sasa haitamvumilia yeyote atakayeleta kauli za kichochezi na hatarishi kwa usalama wa Taifa letu,naamini serikali yetu itaendelea kuwasomba na kuwatupa ndani watakao fanya ,kushiriki,kupanga ,kuchochea na kushawishi kufanyika Vitendo vya kihaini dhidi ya serikali yetu iliyopo kihalali madarakani..

Rai yangu kwa wana siasa ni kuwa wajitahidi kujizuia mihemuko yao wawapo majukwaani,wajitahidi kuchunga na kuchuja kauli zao kabla ya kuzungumza mbele ya hadhira na hadhara ,wajitahidi kuzungumza bila kuwa na hisia za kibaguzi kwa misingi ya aina yoyote ile. Hakuna anayepinga ukosoaji lakini hayupo aliye tayari kusikia watu wakipanda majukwaani huku wakifanya matendo ya kihaini kwa njia ya kupanga ,kuchochea na kushawishi.watanzania hatupo tayari na hatutawaunga mkono na badala yake watu wa aina hiyo tutawachukulia kama maadui wa Taifa letu kiusalama na tutawapinga kwa nguvu zetu zote.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Hivi unajua tafsiri halisi ya neno UHAINI .....na je una ushahidi na haya unayo yasema?
 
Sio kwa sababu anapendwa ila huwa anaauliziwa kujua ameenda kutuuza wapi maana kila akitoka yeye ni kutupiga mnada tu
 
Chama ni kimoja tu ni CCM tu ndio iliyo Tumaini la watanzania na inayoaminika na kukubalika mbele za watanzania.

Ulilala na ndugu zako mpaka unajisahau, wewe ndiye muhaini kwa kuvunja katiba ya nchi kwa makusudi mazima! Kima wee
 
Embu soma ulichoandika na nilichoandika uone kama vinaendana
Nasema hivi hakuna mwenye akili timamu anayempenda mama Abdul huwa tunamuulizia ili kujua ameenda kudalalia wapi. Eti nisome ulichoandika na nilichoandika nione kama vinaendana yaani Mimi niandike kitu kinachoendana na wewe ili nionekane sina akili kama wewe😂😂
 
Ndugu zangu watanzania,

Kwa muda mrefu na kwa kipindi kirefu na kwa nyakati Tofauti na siku tofauti tofauti na kwa matukio Tofauti tofauti viongozi wa Chadema na upinzani kwa ujumla walikuwa wakifanya Vitendo vya kihaini pasipo wao kujuwa au kuelewa.

Mara nyingi sana wakiwa majukwaani walitumia majukwaa yao ya kisiasa katika kushawishi,kuchochea ,kupanga ,kuratibu na hata kufadhili Vitendo vya kihaini dhidi ya serikali yetu halali kabisa iliyochaguliwa na watanzania kupitia sanduku la kura.

Jiulize ndugu yangu ni mara ngapi mmesikia kauli za kuwashawishi na kuwachochea watanzania wafanye maandamano yasiyo na kikomo ili kuipindua serikali yetu? Mara ngapi mmesikia sauti za kuwa nchi haitatawalika? Mnakumbuka kauli kama nchi haitatawalika imewahi kutolewa kutoka katika kinywa na mdomo wa Dkt Slaa? Au mmesahau kama ilivyo kawaida yetu watanzania? Mara ngapi kupitia vyombo vya habari ,majukwaani na hata kupitia mitandao ya kijamii tumesikia viongozi wa CHADEMA wakitoa vitisho dhidi ya serikali yetu,Bunge na hata mahakama?

Ni mara ngapi CHADEMA imepanga maandamano japo yalikuwa hayafanikiwa kutokana na watanzania kuwapuuza? Je kama watanzania wangesema wawasikilize bila kuwapuuza tungekuwa tunaandika nini hapa juu ya historia ya Taifa letu kisiasa? Chadema hao tuliona hadi wakishirikiana na wanaojiita wanaharakati kutaka serikali yetu iondoshwe madarakani kwa nguvu bila kufuata njia za kidemokrasia.

Ilikuwa ni huruma tu lakini wengi sana ilipaswa wawe wameshitakiwa kwa uhaini wa kutaka kuipindua serikali yetu.ilikuwa ni ukomavu wa kisiasa uliopigwa na kufikiwa na Taifa letu ambapo mara nyingi serikali iliwaita mezani na kukaa nao na kuwaelekeza na kuwafundisha athari za kauli zao na kile kinachoweza wakuta ikiwa sheria itachukua mkondo wake. Serikali iliamuaga mara nyingi kumaliza mambo mezani tu ili tusonge mbele kwa pamoja kama Taifa japo upinzani na wapinzani walihisi ni kama wanaogopwa na kwamba wanaweza kufanya chochote kile pasipo kuchukuliwa hatua za kisheria .

Lakini sasa inaonyesha watu wenye akili ndogo kama akina Mdude nyagali waliokosa adabu ,hekima,staha na malezi bora kutoka kwa wazazi wao na walio zibuka kiakili walihisi kama wanaogopwa sana,walihisi kama ni miamba isiyoguswa wala kutikiswa.walilewa misifa na kuona wapo juu ya sheria .sasa sheria imechukua mkondo wake,sasa serikali imeamua kusimamia sheria .sasa wanahaha wakiwa wenyewe ndani,waliowapa kiburi na kichwa na kuwajaza upepo wamewasahu kabisa na kuendelea na kazi zao na kufurahi na familia zao.

Jiulizeni ndugu zangu hivi mtu kama Mdude na Boniface Mwabukusi Ni vipi unaweza waunga mkono kwa kauli zao chafu na za kuchefua zilizokuwa zikitoka katika vinywa vyao? Ni vipi mtu kama dkt Slaa unaweza mtetea kwa kauli zake zile zilizokuwa hatarishi kwa usalama wa Taifa na umoja wetu watanzania? Naamini huu ni mwanzo tu na serikali yetu kwa sasa haitamvumilia yeyote atakayeleta kauli za kichochezi na hatarishi kwa usalama wa Taifa letu,naamini serikali yetu itaendelea kuwasomba na kuwatupa ndani watakao fanya ,kushiriki,kupanga ,kuchochea na kushawishi kufanyika Vitendo vya kihaini dhidi ya serikali yetu iliyopo kihalali madarakani..

Rai yangu kwa wana siasa ni kuwa wajitahidi kujizuia mihemuko yao wawapo majukwaani,wajitahidi kuchunga na kuchuja kauli zao kabla ya kuzungumza mbele ya hadhira na hadhara ,wajitahidi kuzungumza bila kuwa na hisia za kibaguzi kwa misingi ya aina yoyote ile. Hakuna anayepinga ukosoaji lakini hayupo aliye tayari kusikia watu wakipanda majukwaani huku wakifanya matendo ya kihaini kwa njia ya kupanga ,kuchochea na kushawishi.watanzania hatupo tayari na hatutawaunga mkono na badala yake watu wa aina hiyo tutawachukulia kama maadui wa Taifa letu kiusalama na tutawapinga kwa nguvu zetu zote.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
CCM mpaka Bungeni wanaapa kuua watu akina Bulembo wale uvccm wa Chato,!!
 
Back
Top Bottom