Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt. Samia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya CCM Ikulu, Dodoma

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 17 Agosti 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

2,.jpg

2,.,.jpg

2 (1).jpg
 
View attachment 2720012
View attachment 2720014
View attachment 2720015
Asante kwa taarifa, ila hili la vikao vya chama chetu CCM, kuendeshewa kwenye Ikulu yetu, japo hakuna kosa lolote wala hakuna sheria yoyote iliyovunjwa, lakini halijakaa vizuri, it has something to do with morality, kwenye hili, tutamshauri Mama.

Hata JPM alianza hivi hivi, tukamshauri na akapokea ushauri wetu Pongezi Dkt. Magufuli kutenganisha shughuli za Chama na Serikali, Utabarikiwa na Tanzania itabarikiwa!
P
 
Ni heri katika majadiliano yao wapate kutambua kuwa pumba ni zipi, na pia unga ni upi. Kuzidi kung'ang'ania mkataba wa DPW, hakika litakuwa ni anguko lao kubwa.
 
Asante kwa taarifa, ila hili la vikao vya chama chetu CCM, kuendeshewa kwenye Ikulu yetu, japo hakuna kosa lolote wala hakuna sheria yoyote iliyovunjwa, lakini halijakaa vizuri, it has something to do with morality, kwenye hili, tutamshauri Mama.

Hata JPM alianza hivi hivi, tukamshauri na akapokea ushauri wetu Pongezi Dkt. Magufuli kutenganisha shughuli za Chama na Serikali, Utabarikiwa na Tanzania itabarikiwa!
P

Mkuu Pascal Mayalla , wewe ni a 'learned brother' ambapo natarajia uwe ni mtu wa haki.

Lakini kuhusu hili la CCM KUFANYIA VIKAO VYAKE IKULU, umekuwa hautendi haki. Yaani mzani wako wa haki haubalance!

Kwa marais waliopita, umekuwa mara zote ukielekeza lawama zako kwa Hayati Magufuli tu pekee as if yeye ndiye muasisi wa utaratibu huo!

Sijajua ni chuki tu binafsi inakusumbua dhidi ya marehemu Magufuli, ama something else.

Mkuu wangu nilishawahi kukueleza, humu humu jf, kuwa tangu Uhuru CCM imekuwa ikiendesha VIKAO VYAKE at IKULU premises, from regime to regime. Nikakuwekea na picha kwa ushahidi.

Leo tena ndg Pascal, nakueleza kwamba tangu awamu ya kwanza ya utawala wa CCM, chama hiki kimekuwa kikifanyia VIKAO VYAKE at IKULU. Acha kumlaumu Magufuli pekeake, unamuonea. Laumu pia na watangulizi wake walioanzisha huo utaratibu.

1) Rais NYERERE akiongoza KIKAO CHA CCM at IKULU, Julai 11 1986:
images (17).jpeg

2) Rais KIKWETE akiongoza KIKAO CHA CCM at IKULU, Februari 28 2015:
IMG_20230817_221654.jpg

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom