Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekuwa nikiwaza, kimyakimya.... Hivi siasa ni nini na dini ni nini? Hivi ni wapi dini inachanganywa na siasa na ni wapi siasa inachanganywa na dini? Hivi majukumu ya dini ni yapi na majukumu...
3 Reactions
86 Replies
6K Views
Rais John Magufuli akipiga push-up akionesha jinsi alivyofiti mbele ya umati wa Watanzania waliohudhuria kwenye uzinduzi wa jengo la tatu la abiria (Terminal III). Leo Agosti 01,2019 Rais wa...
12 Reactions
84 Replies
13K Views
Wengi mnamkumbuka aliyekuwa Rais wa Zanzibar, Salmin Amour kwa utawala wake wa mkono wa chuma, kiasi cha kupachikwa jina la 'Komandoo' Wapinzani wake walikiona cha mtema kuni, hadi baadhi yao...
16 Reactions
36 Replies
5K Views
Katika mambo ya ushindani kuna kanuni zake ndio sababu sisi wengine hatukufurahishwa kwa namna zoezi la Kuunga juhudi lilivyokuwa linaendeshwa na Komredi Polepole Leo pale Makao makuu ya Chadema...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Iko hivi, vikao vya chama mambo yamekuwa magumu, wanachama hawaaminiani, hadi kwenye jimbo langu, Mwenyekiti wangu yupo mguu ndani mguu nje, helewi nini kinandelea. Anasema hiki sio chama...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Hili kila mtu anapaswa kulielewa , na kwa kweli Chadema inapaswa kupongezwa kwa hili . Nadhani hata Vipofu wameanza kuona Chama Cha Wezi ni kipi .
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Mda huu nakuandika habari hii saa 23:56 Dar Es Salaam! Radar zinaonyesha ndege ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliondoka nchini Tanzania saa 15:56 ila ilipotezwa kwenye radar dakika...
46 Reactions
209 Replies
27K Views
Huyu umwonaye hapo☝️☝️☝️katikati ya umati (mwenye kapelo) ni mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini [CCM] maarufu kama Prof. Jumanne Kishimba.. Leo (kama anavyoonekana pichani alikuwa miongoni mwa...
7 Reactions
32 Replies
5K Views
Rais amemfukuza kazi mkuu wa wilaya na Mkurugenzi kwa kile kinachodaiwa wana CCM wamerejesha kadi na kujiunga upinzani; amesema hatoweza kuvumilia kuona wanaccm wanahama chama. Kauli hii ni nzuri...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna mdau mmoja katika moja ya nyuzi zangu ali comment hivi "Ukitaka kuishi kwa furaha Afrika kubali kuwa mjinga". Yule member alikuwa sahihi kabisa ukitaka kuishi kwa furaha Afrika mfano...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
UKABILA NA UKANDA Hakufanya alichofanya hayati Kenyatta..... Baba wa taifa hakumilikisha WAZANAKI na watu wa kanda ya ziwa raslimali za nchi...... Iko hoja ya kudai kuwa aliwajaza wazanaki...
3 Reactions
11 Replies
929 Views
Nakupongeza sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kufanya uamuzi wa kuwatimua kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya (DED) na Mkuu wa Wilaya (DC) wa Wilaya...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Tuliambiwa mwezi wa 8 mtaongezwa Mshahara, na bila shaka imekuwa hivyo, sasa mbona mmenyamaza kimya? Ni kweli kwamba Nyongeza hizo ni haki yenu, lakini hamkupewa kwa muda wote wa Uongozi wa...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameingia Kahama na kupokelewa na Umati wa Wananchi . Lissu kama kawaida yake ameendelea kutoa elimu kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya na Mkataba Mbovu wa...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuhusu swala la bandari wewe mwananchi ndiye ulaumiwe kwanini hupendi kuwa kiongozi na hupendi kushiriki siasa Wapo watu wanajidai wanaweza kuongoza nchi lakini ni waoga balaa hata kugombea...
1 Reactions
4 Replies
448 Views
Mwamba wa siasa za Tanzania , Freeman Mbowe anaendelea kuchanja Mbuga , kwenye kampeni ya Chama Chake ya 255 katiba Mpya Okoa Bandari zetu , Hii hapa ni Kata ya Lyabukande
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Lhttps://youtu.be/bGhJUwcaSCE?si=iGsZTB8KoqJ3pnpx Kwa mtindo huu wa serikali kushupaza shingo dhidi ya Wananchi na wapiga kura wake! Kwa mtindo huu wa Chama kutekwa na kufanyiwa Mapinduzi na...
7 Reactions
8 Replies
2K Views
Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya, kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, imefanya operesheni maalum katika mkoa wa Iringa na kufanikiwa kukamata jumla ya...
1 Reactions
1 Replies
674 Views
Hata mimi nina threads kadhaa za kuuponda mkataba wa DP World na Tanzania kutokana na vipengere visivyo na manufaa kwa nchi yetu. Kimsingi kila mwananchi kwa sasa amekuwa bingwa wa mikataba na...
1 Reactions
11 Replies
760 Views
👍👍nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini...
37 Reactions
72 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…