Mungu aliamua Magufuli afe ili Tanzania ipone

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Salaam Wakuu,

Uchaguzi wa 2020 ulilkuwa ni Uchafuzi

Watu walikusanyika kumuombea Tundu Lissu apone, wakakamatwa na kufungwa miaka 4 kwa Uchochezi huku Magufuli akisema anatumbua.

Watu wenye maduka ya kubadilisha fedha wakanyang'anywa fedha zao nchi nzima eti ni mafisadi.

Wanyama wa Serengeti na Mikumi wakahamishiwa Chato eti Watalii waende.

Akamtumia Wakala wa Shetani Musiba kuwachafua Kinana na Membe ili wafukuzwe CCM baada ya kuambiwa afuate katiba na kanuzi za CCM. Pia Nape akafuatwa na watu wenye Silaha akaokolewa na kitenge.

Watu wamenyang'anywa hela kwa kesi za kubambikizia ili waombe msamaha waambie toa pesa.

Watu ambao hawakukubakiana naye hasa CHADEMA, walifungwa maisha kwa makosa ya kubambikiza ya wizi, unyang'anyi wa kutumia silaha na ubakaji.

Magufuli alitabasamu Maalim seif wa ACT alipokufa akijua eti Zanzibar ndo itatulia,. Baada ya kifo cha Seif Mungu akaingilia kati.

Sababu Mzilankende alikufa bila kutubu dhambi, kwa sasa yupo na moto ulao
Screenshot_20221116-190313.png

Screenshot_20221116-190527.png

Screenshot_20221116-191121.png
Screenshot_20221116-191227.png

Pole sana Tundu Lissu, Watesi wako hatutawasahu wao na vizazi vyao. Watanzania cheo dhamana, usimtendee ubaya binadamu kisa cheo chako. Hili ni fundisho
Pia soma;
Shinyanga: Viongozi wa CHADEMA Simiyu waliofungwa maisha waachiwa huru
Screenshot_20221116-191752.png

Asante Mungu kwa kumuongezea Uhai Tundu Lissu, sasa yu mzima anatabasamu
FB_IMG_1668616139232.jpg

Wananchi wakimuombea Tundu Lissu apone baada ya kukatazwa kwenda kuchangia damu alipo pigwa risasi bila kosa, kisa kakataa kujiunga CCM. Sijaona picha ya Wananchi wakimuombea jamaa yule Magufuli apone.
Screenshot_20221116-193738.png

Polisi walielekezwa kuwazuia watu wanaomuombea Tundu Lissu apone. Wakileta jeuri wabambikiziwe kesi. Hata walioenda kuchangia damu walikamatwa. Hii thread ni kumbukumbu kwa miaka mingi ijayo kwa vizazi vya Tanzania kwamba tulikuwa na Magufuli na wafuasi wake wenye vitendo kama vyake
FB_IMG_1668658778352.jpg

Huyu ndo Hayati John Pombe Magufuli ambaye Wafuasi wake wanadai hajafa. Eti atafufuka🤣🤣. Wengine wanadai eti ameuliwa wengine wanadai eti hakuwa Fisadi, Mbaguzi na alikuwa hapendelei kwao Usukumani. Wengjne wanasema hajanyang'anya watu pesa zao, wengine wanadai aliwapenda matajiri. Hakika Mungu ni Mkuu, hakuna asilo liweza. Ukiomba kwa bidii yote yanawezekana
 
Salaam Wakuu,

Uchaguzi wa 2020 ulilkuwa na Uchafuzi

Watu walikusanyika kumuombea Tundu Lissu apone, wakakamatwa na kufungwa miaka 4 kwa Uchochezi huku Magufuli akisema anatumbua.

Watu wenye maduka ya kubafilishia fedha wakanyang'anywa fedha zao nchi nzima eti ni mafisadi.

Wanyama wa Serengeti na Mikumi wakahamishiwa Chato eti Watalii waende.

Akamtumia Wakala wa Shetani Musiba kuwachafua Kinana na Membe ili wafukuzwe CCM baada ya kuambiwa afuate katiba na kanuzi za CCM. Pia nape akafuatwa na watu wenye Silaha akaokolewa na kitenge.

Watu wamenyang'anywa hela kwa kesi za kubambikizia ili waombe msamaha waambie toa pesa.

Watu ambao hawakukubakiana naye hasa CHADEMA, walifungwa maisha kwa makosa ya wizi, unyang'anyi wa kutumia silaha na ubakaji.

Magufuli alihakikisha Maalim seif wa ACT anakufa akijua eti Zanzibar ndo itatulia,. Baada ya kifo cha Seif Mungu akaingilia kati.
Sababu alikufa bila kutubu dhambi, kwa sada yupo na moto ulao
View attachment 2418759
View attachment 2418766
Una tatizo, Afya ya akili.
 
Kwangu mimi katika post za mwaka huu hii inaongoza. asante sana kutukumbusha shetani muovu
 
Andiko la kijinga sana hili inawezekana kabisa una upungufu wa akili na 'trauma' ya kupanga njama za kumwua zinakuandama mpaka utakuja kutaja tu.

Kwa hiyo unataka kuwaaminisha wananchi kwamba mliktoa kafara kutengua maagano ya kuvurugikiwa uharifu uliokuwa unaofanya?

Mlikuwa wangapi mlipopanga njama za kumwua?

Nani alitekeleza?

Hata shetani naye hujiita mungu wa kuzimu kama wewe ulivyo wakala

Wanaotenda mema kwa manufaa ya wengi huwa hawadumu kwa sababu maalum na ili matokeo ya kuota mimea yenye afya yatokee ni sharti mbegu izikwe, ioze kisha iote kwa matunda yenye uwezo mpana zaidi.

Mmelamba asali sasa mmeshavimbiwa mnaropoka kufuru.....................

Laiti kama JPM angekuwepo sasa hivi ujinga unaoendelea hapo Tanzania usingekuwepo kabisa na ikiwezekana wewe ungekuwa umeshahukumiwa kunyongwa na wenzako kadhaa
 
Jiwe alikuwa shetani, acha Mungu aliulie kwa mbali! Where is Be, Mawazo, Azory, and mamny many others! Andiko lako ndilo la kijinga tangu mwaka uanze. Jiwe hakuna mtu kabisa, aliwatesa wengi! aliwaua wengi etc etc
hII PICHA UNAIFURAHIA?
1668615873295.png
 
Salaam Wakuu,

Uchaguzi wa 2020 ulilkuwa na Uchafuzi

Watu walikusanyika kumuombea Tundu Lissu apone, wakakamatwa na kufungwa miaka 4 kwa Uchochezi huku Magufuli akisema anatumbua.

Watu wenye maduka ya kubafilishia fedha wakanyang'anywa fedha zao nchi nzima eti ni mafisadi.

Wanyama wa Serengeti na Mikumi wakahamishiwa Chato eti Watalii waende.

Akamtumia Wakala wa Shetani Musiba kuwachafua Kinana na Membe ili wafukuzwe CCM baada ya kuambiwa afuate katiba na kanuzi za CCM. Pia nape akafuatwa na watu wenye Silaha akaokolewa na kitenge.

Watu wamenyang'anywa hela kwa kesi za kubambikizia ili waombe msamaha waambie toa pesa.

Watu ambao hawakukubakiana naye hasa CHADEMA, walifungwa maisha kwa makosa ya wizi, unyang'anyi wa kutumia silaha na ubakaji.

Magufuli alihakikisha Maalim seif wa ACT anakufa akijua eti Zanzibar ndo itatulia,. Baada ya kifo cha Seif Mungu akaingilia kati.
Sababu alikufa bila kutubu dhambi, kwa sada yupo na moto ulao
View attachment 2418759
View attachment 2418766
View attachment 2418769View attachment 2418770
Pole sana Tundu Lissu, Watesi wako hatutawasahu wao na vizazi vyao. Watanzania cheo dhamana, usimtendee ubaya binadamu kisa cheo chako. Hili ni fundisho
Pia soma;
Thread 'Shinyanga: Viongozi wa CHADEMA Simiyu waliofungwa maisha waachiwa huru' Shinyanga: Viongozi wa CHADEMA Simiyu waliofungwa maisha waachiwa huru
View attachment 2418776
Asante Mungu kwa kumuongezea Uhai Tundu Lissu, sasa yu mzima anatabasamu
Aah kumbe we ni chadema
 
Back
Top Bottom