2025 tuchague kwa uwazi CDM huisaliti CCM kwa husuda

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Oct 7, 2020
1,391
1,258
Team!
# Kuchagua kwa siri ni tukio baya sana - kutoichagua CCM ni kuionea kwa sababu hizi:-
* CCM imejenga Miundombinu - "barabara, viwanja vya ndege, meli, reli" kibao kwa ajili ya watanzania wote (CCM, CDM, CUF, NCCR nk)

* Elimu ya Juu - sijasikia wkt wa mikopo kwa watoto wetu ikitolewa kwa upendeleo wa kisiasa au dini. CCM, CDM, NCCR, CUF nk wote hupata mikopo na hunufaika; sasa kutoichagua CCM ni kuionea!

* Mbolea za ruzuku - wakulima wote bila ubaguzi wa vyama hupata pembejeo na kunufaika na program ya Serikali inayoongozwa na Rais Samia;

* Ajira kwa vijana - tena sijasikia vijana wetu wakichujwa kwa sababu eti wao au wazazi wao ni CCM, CDM, ACT, CUF, NCCR, nk. Sasa 2025 Kuchagua kwa siri na kumnyima Rais Samia kura yako ni kumhujumu;

Umeme - kila kaya leo inanufaika na uwepo wa umeme (familia za kisomi hutumia nishati hii kwa faida nyingi sana, wanavijiji nao hawako nyuma ktk kunufaika na umeme - hakuna mwananchi anayesafiri umbali mrefu kusaga mahindi nk). Sasa CDM, NCCR, CUF, ACT, CCK, Umoja, nk ni kuihujumu CCM na Rais Samia;

Kwa ufupi sana ifahamike kwamba CCM imefanya mambo mengi yenye tija kwa kila mtanzania - upigaji kura uwe wa wazi na kamwe tusimhujumu Rais wetu!
 
Hakuna kitu CCM inaogopa kama upigaji kura wa haki. Wanajua kabisa huyo Samia wao ataambulia kura za familia yake tu.

Bila ya nguvu ya Polisi na dhulma CCM hawawezi kutoboa hata jimbo moja la kura.
 
Team!
# Kuchagua kwa siri ni tukio baya sana - kutoichagua CCM ni kuionea kwa sababu hizi:-
* CCM imejenga Miundombinu - "barabara, viwanja vya ndege, meli, reli" kibao kwa ajili ya watanzania wote (CCM, CDM, CUF, NCCR nk)

* Elimu ya Juu - sijasikia wkt wa mikopo kwa watoto wetu ikitolewa kwa upendeleo wa kisiasa au dini. CCM, CDM, NCCR, CUF nk wote hupata mikopo na hunufaika; sasa kutoichagua CCM ni kuionea!

* Mbolea za ruzuku - wakulima wote bila ubaguzi wa vyama hupata pembejeo na kunufaika na program ya Serikali inayoongozwa na Rais Samia;

* Ajira kwa vijana - tena sijasikia vijana wetu wakichujwa kwa sababu eti wao au wazazi wao ni CCM, CDM, ACT, CUF, NCCR, nk. Sasa 2025 Kuchagua kwa siri na kumnyima Rais Samia kura yako ni kumhujumu;

Umeme - kila kaya leo inanufaika na uwepo wa umeme (familia za kisomi hutumia nishati hii kwa faida nyingi sana, wanavijiji nao hawako nyuma ktk kunufaika na umeme - hakuna mwananchi anayesafiri umbali mrefu kusaga mahindi nk). Sasa CDM, NCCR, CUF, ACT, CCK, Umoja, nk ni kuihujumu CCM na Rais Samia;

Kwa ufupi sana ifahamike kwamba CCM imefanya mambo mengi yenye tija kwa kila mtanzania - upigaji kura uwe wa wazi na kamwe tusimhujumu Rais wetu!
vipi malipo uliyokuwa unalialia humu sijui makatibu wenezi wa CCM wanalipwa kidogo kwa mwezi yaliongezwa??akili nyingine ni zaidi ya za Maka....ni
 
Back
Top Bottom