Watu Wanapigana Vita Kulinda Ardhi yao Sisi Tunafukuza Wamasai Kuwapa Waarabu

Mshangai

JF-Expert Member
Feb 16, 2008
468
1,086
Nimetafakari na kutoa machozi.
Wakati huko Mashariki ya kati vinapiganwa vita ambavyo ukichunguza kwa makini ni sababu ya kupigania ardhi yao kila mmoja akiamini ni urithi wao hivyo wako tayari kupoteza maisha lakini kulinda urithi huo, sisi huku kwetu tuna wafukuza Wamasai kutoka Loliondo na Ngorongoro ili kuwapa Waarabu waishi na kufanya shughuli zao.

Ndipo tunapokuja kujiuliza hivi hawa watawala wetu CCM wao wana akili za namna gani kugawa ardhi yetu ambayo ni urithi wa vizazi vijavyo kwa wageni?

Hivi hawajui kuwa huko ni kukaribisha vita katika nchi yetu wenyewe?

Hata kwa hili nalo hawawezi kujifunza kutoka middle east?

CCM ni wahaini na tunapaswa kuwaadhibu kama wahaini.
 
CCM ni janga la taifa namba moja. Ndio maana taifa limekuwa shamba la Bibi, wahamiaji haramu wengi sana huku viongozi wakiwa busy kwenye nchi zao kutembeza bakuli.
Nyinyi wenye mawazo ya namna hii ndio mnaotusababishia umaskini Tanzania, Tatizo lenu kubwa ni kupinga uwekezaji kwa kwa kivuli cha kulinda ardhi, Hebu niambieni tunapata faida gani kwa kua na ardhi kubwa halafu tunakosa chakula? au wafugaji na wakulima wanapigana na kuuwana, au kuwa na mbuga nyingi halafu tunakosa watalii na ajira kwa vijana wetu? Nchi hii inahitaji ukombozi wa kifikra, tumeharibu bure hela za wazazi wetu kwa kwenda shule!
 
Nimetafakari na kutoa machozi.
Wakati huko Mashariki ya kati vinapiganwa vita ambavyo ukichunguza kwa makini ni sababu ya kupigania ardhi yao kila mmoja akiamini ni urithi wao hivyo wako tayari kupoteza maisha lakini kulinda urithi huo, sisi huku kwetu tuna wafukuza Wamasai kutoka Loliondo na Ngorongoro ili kuwapa Waarabu waishi na kufanya shughuli zao.

Ndipo tunapokuja kujiuliza hivi hawa watawala wetu CCM wao wana akili za namna gani kugawa ardhi yetu ambayo ni urithi wa vizazi vijavyo kwa wageni?

Hivi hawajui kuwa huko ni kukaribisha vita katika nchi yetu wenyewe?

Hata kwa hili nalo hawawezi kujifunza kutoka middle east?

CCM ni wahaini na tunapaswa kuwaadhibu kama wahaini.
Jamani tuondokane na mfumo ccm kwa haraka sana la sivyo watatumaliza.
 
Sawa lakini si anatokea Zanzibar na wana Rais wao? Arusha/Mwanza/Dar kuna Rais?
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeundwa na Mataifa mawili kuungana ndio maana ikaitwa Jamhuri ya "Muungano" 👈 very important.

Raia wanaoishi kwenye Jamhuri hii wanaitwa "WATANZANIA"👈 very important

Mwanza na Mbeya ni Regions ndani ya sehemu moja ya "Muungano"👈 yaani Tanganyika very important.
 
Ngorongoro ni TURATHI ya dunia....

Turathi gani ambayo matajiri wa Kikenya wanafugia maelfu wa mifugo yao humo......

Hili hulielewi?!!!
 
Back
Top Bottom