Jeshi la Wananchi JWTZ liendelee kuimarishwa

passioner255

JF-Expert Member
Apr 22, 2019
5,888
11,369
Kila mtu anaona dunia imekuwa sio Sehemu salama tena na hata Tanzania haipo salama tena.Nashauri jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ liimarishwe zaidi kwa kupewa silaha za kisasa zaidi kama vifaa vya ulinzi wa anga (Air defence systems za kisasa), mamia ya ndege vita za kisasa makombora ya masafa marefu Nk.

Sidhani kama tunauwezo wa kuzuia makombora mengi kama Israel. Tuwatumie marafiki zetu kama Russia, China Nk kuchukua utaalamu, jeshi lisiwe jeshi la ovyo.
 
Tanganyika haijazungukwa na maadui kutoka nje, ila kuna pengo kubwa kati ya maskini walio wengi na matajiri walio wachache wanao wakandamiza.. Huu ni mlipuko na hakuna ADS yoyote itakayoweza izuia siku ikifyatyuka.
Kuna nchi huwa tunagombana nao kisa mipaka wanaweza kujipanga na wao.hakuna nchi ambayo ipo salama.
 
1696878347617.png
 
Tanganyika haijazungukwa na maadui kutoka nje, ila kuna pengo kubwa kati ya maskini walio wengi na matajiri walio wachache wanao wakandamiza.. Huu ni mlipuko na hakuna ADS yoyote itakayoweza izuia siku ikifyatyuka.
We badala utafute pesa unakumbatia umasikini afu eti pengo la walionacho na masikini
 
Tanganyika haijazungukwa na maadui kutoka nje, ila kuna pengo kubwa kati ya maskini walio wengi na matajiri walio wachache wanao wakandamiza.. Huu ni mlipuko na hakuna ADS yoyote itakayoweza izuia siku ikifyatyuka.
Unasahau pia kuna magaidi kibao wanaizunguka Tanzania.badala ya kupeleka wanajeshi unawapelekea tu drone tu.maeneo kama haya tunatakiwa tuwe vizuri.
 
Kila mtu anaona dunia imekuwa sio Sehemu salama tena na hata Tanzania haipo salama tena.Nashauri jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ liimarishwe zaidi kwa kupewa silaha za kisasa zaidi kama vifaa vya ulinzi wa anga (Air defence systems za kisasa), mamia ya ndege vita za kisasa makombora ya masafa marefu Nk.

Sidhani kama tunauwezo wa kuzuia makombora mengi kama Israel. Tuwatumie marafiki zetu kama Russia, China Nk kuchukua utaalamu, jeshi lisiwe jeshi la ovyo.
Jeshi letu lianzishe kikosi cha drone operators, kuanzia zile ndogo mpaka hata bayraktar. Umuhimu wa drone unaonekana kwenye vita vya Ukraine.
 
Kila mtu anaona dunia imekuwa sio Sehemu salama tena na hata Tanzania haipo salama tena.Nashauri jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ liimarishwe zaidi kwa kupewa silaha za kisasa zaidi kama vifaa vya ulinzi wa anga (Air defence systems za kisasa), mamia ya ndege vita za kisasa makombora ya masafa marefu Nk.

Sidhani kama tunauwezo wa kuzuia makombora mengi kama Israel. Tuwatumie marafiki zetu kama Russia, China Nk kuchukua utaalamu, jeshi lisiwe jeshi la ovyo.
Hatuna maadui wakubwa.....labda magaidi kama wale wa KIBITI....
 
Back
Top Bottom