Ufukwe wa Coco Beach Umeuzwa?

moyafricatz

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
2,900
4,865
Habari Wakuu,
Kuna fencing imewekwa hapa kuzuia. Watu wasiingie sambamba na tangazo kubwa la Manispaa ya Kinondoni likipiga marufuku.
Ni nini kinaendelea hapo?
Wajuzi karibuni.View attachment 2776452
IMG-20231009-WA0042.jpg
 
Back
Top Bottom