Serikali iruhusu kilimo cha bangi na ipunguze masharti ya uingizaji wa fedha nchini ili kukabili uhaba wa dola

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Kwanza Niwaambie nyie wananchi inawezekana ndani ya Miezi sita ijayo Kwa hali inavyoendelea fedha zenu mlizoweka bank na kwenye vibubu zitashuka thamani na zitakukuwa na uwezo mdogo wa kufanya manunuzi.

Hali hii inatokana na Shilingi ya Tanzania kuendelea kushuka thamani kadri siku zinavyosogea, hali hii inatokea nchi nyingi hasa zinazoendelea, ambazo nyingi zinamatumizi hasi ya Fedha za kigeni (trade imbalance).

Serikali Sasa inabidi ifanye juhudi za kuongeza Fedha za kigeni , na naishauri iruhusu Kilimo Cha Bangi ambayo itauzwa nchi za nje na kuongeza Fedha za kigeni, hata hivyo Tanzania ni walimaji wakubwa wa Bangi Kwa Siri lakini Huwa zinaishia kuuzwa Uganda na Malawi ambao wao wanaziuza ulaya na kujipatia Fedha za kigeni.

Kwanza niiambie Serikali watanzania wengi si wavutaji wa sigara kama ilivyo nchi za kiarabu na Asia, hivyo hata kama Bangi itaruhusiwa haitaleta athari katika jamii Kwa maana wengi si wavutaji bali wengi ni wanywa pombe.

Njia nyingine wanayofanya nchi za wenzetu katika kuongeza fedha za kigeni au Fedha kiujumla ni kutoweka masharti magumu ya Maingizo ya Fedha zisizojulikana zijulikanazo kama Fedha haramu, mana Kuna watu wengine ni wahalifu wanafedha nyingi za dola na wanatabia ya kuziweka katika nchi ambazo wanaruhusiwa kwa Tanzania haturuhusu.

Kama ilivyo ukiona familia yako inakufaa njaa hata kuiba utaiba, utadanga usiku kama wewe mdada, ilimradi uiokoe familia yako.

Pia soma:

Bangi ihalalishwe, Sheria zinazotumika kuhusu Bangi. Ziende kudhibiti Ushoga

Kamishna wa Kudhibiti dawa za Kulevya: Bangi ya Tanzania haifai kwenye Masoko ya Kimataifa

Kassim Majaliwa: Bangi ya 'Cha Arusha' pamoja na 'Skanka' inafanya watumiaji kuwa vichaa
 
Kwanza Niwaambie nyie wananchi inawezekana ndani ya Miezi sita ijayo Kwa hali inavyoendelea fedha zenu mlizoweka bank na kwenye vibubu zitashuka thamani na zitakukuwa na uwezo mdogo wa kufanya manunuzi.

Hali hii inatokana na Shilingi ya Tanzania kuendelea kushuka thamani kadri siku zinavyosogea, hali hii inatokea nchi nyingi hasa zinazoendelea, ambazo nyingi zinamatumizi hasi ya Fedha za kigeni (trade imbalance).

Serikali Sasa inabidi ifanye juhudi za kuongeza Fedha za kigeni , na naishauri iruhusu Kilimo Cha Bangi ambayo itauzwa nchi za nje na kuongeza Fedha za kigeni, hata hivyo Tanzania ni walimaji wakubwa wa Bangi Kwa Siri lakini Huwa zinaishia kuuzwa Uganda na Malawi ambao wao wanaziuza ulaya na kujipatia Fedha za kigeni.

Kwanza niiambie Serikali watanzania wengi si wavutaji wa sigara kama ilivyo nchi za kiarabu na Asia, hivyo hata kama Bangi itaruhusiwa haitaleta athari katika jamii Kwa maana wengi si wavutaji bali wengi ni wanywa pombe.

Njia nyingine wanayofanya nchi za wenzetu katika kuongeza fedha za kigeni au Fedha kiujumla ni kutoweka masharti magumu ya Maingizo ya Fedha zisizojulikana zijulikanazo kama Fedha haramu, mana Kuna watu wengine ni wahalifu wanafedha nyingi za dola na wanatabia ya kuziweka katika nchi ambazo wanaruhusiwa kwa Tanzania haturuhusu.

Kama ilivyo ukiona familia yako inakufaa njaa hata kuiba utaiba, utadanga usiku kama wewe mdada, ilimradi uiokoe familia yako
Naunga mkono hoja

View: https://www.instagram.com/reel/CyLjJw3qzlf/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Back
Top Bottom