Mbeya: Wakili Mwabukusi aitwa tena Polisi kwa madai ya kufanya Mkusanyiko usio halali

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Jeshi la Polisi limemtaka Wakili Boniface Mwabukusi kuripoti katika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa huku likitaja sababu ni kuhutubia Mkusanyiko usio halali

Ikumbukwe, Oktoba 8, 2023 Wakili Mwabukusi na Dkt. Wilbroad Slaa walipanga kuhutubia Mkutano ambao ulizuiwa na Polisi na baadaye alielekea Kijiji cha Kandete ambako amedaiwa kuhutubia bila kuwa na Kibali

Leo Oktoba 9, 2023 Wakili huyo alitangaza kufanya Mkutano na Waandishi wa Habari hata hivyo Wakili anayemtetea Mwabukusi, Philip Mwakilima amesema Mkutano hautafanyika baada ya Wahusika kuitwa Ofisi ya Upelelezi.

======
 
Rabbon , nimekuita.......
 
HAKI ya kukusanyika ni ya wananchi, Si ya vyama vya siasa pekee.
Kuna sheria inayoongoza mikusanyiko ya wananchi........ tuwe wakweli na si ushabiki. Mimi ni muumini mkubwa sana wa upinzani..... siitaki CCM katu! lakini I am always objective, siyo ushabiki.

sheria: Unaandika barua kuitaarifu polis (si kuomba ruhusa), unaendelea na harakati zako, watakushika (arrest), watakusumbua utawashinda mahakamani..... . sasa wao hawajaitaarifu polisi, itawasumbua sana....
 
Jeshi la Polisi limemtaka Wakili Boniface Mwabukusi kuripoti katika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa huku likitaja sababu ni kuhutubia Mkusanyiko usio halali

Ikumbukwe, Oktoba 8, 2023 Wakili Mwabukusi na Dkt. Wilbroad Slaa walipanga kuhutubia Mkutano ambao ulizuiwa na Polisi na baadaye alielekea Kijiji cha Kandete ambako amedaiwa kuhutubia bila kuwa na Kibali

Leo Oktoba 9, 2023 Wakili huyo alitangaza kufanya Mkutano na Waandishi wa Habari hata hivyo Wakili anayemtetea Mwabukusi, Philip Mwakilima amesema Mkutano hautafanyika baada ya Wahusika kuitwa Ofisi ya Upelelezi.

======
Polisi si wa mwache afanye
 
Mwabukusi na Slaa wanahitaji utulivu na maarifa ili kufanikisha jambo lao. Kile wanachokisimamia na kukiamini ni kitu kizuri sana kimaudhui, kimantiki, na kimuktadha, isipokuwa kinakosa uratibu mzuri.

Ajenda wanayoibeba inahitaji "support" kubwa sana kutoka vyama vya upinzani. Lakini inaonekana wao wanataka kuwa wabinafsi na kuibeba kama ni wao wanaimiliki, ili waweze kuwaburuza wengine kisha kupenyeza ajenda zao nyingine..

Suala zima la uratibu na uendeshaji wa maandamano yasiyokuwa kikomo nchi nzima katika mazingira ya siasa za Kitanzania, si jambo dogo hata kidogo, linapaswa kuhusisha ridhaa ya viongozi wa vyama makini vilivyosajiriwa rasmi kisheria. Vyama hivi vinaona kuna kila dalili ya kutaka kutumiwa vibaya kwa hila, na kisha kujikuta vimeingia katika misukosuko mikubwa ya kisheria, hasa tuelekeapo mwaka 2024 & 2025..
 
Kuna sheria inayoongoza mikusanyiko ya wananchi........ tuwe wakweli na si ushabiki. Mimi ni muumini mkubwa sana wa upinzani..... siitaki CCM katu! lakini I am always objective, siyo ushabiki.

sheria: Unaandika barua kuitaarifu polis (si kuomba ruhusa), unaendelea na harakati zako, watakushika (arrest), watakusumbua utawashinda mahakamani..... . sasa wao hawajaitaarifu polisi, itawasumbua sana....
Hiki ndicho kizingiti kitakachowabana hawa wapiganaji waziwazi kabisa.

Laiti kama pangekuwepo na nguvu ya ziada ya wananchi nyuma ya waTanzania hawa, hilo lisingekuwa tatizo, kwa sababu watu wangekusanyika tu 'spontaneously' popote pale na wakati wowote.
Jambo ambalo lingeonyesha wazi kuwa hakuna nguvu yoyote ya kimabavu toka huko serikalini inayoweza kuzuia hilo.
 
Jeshi la Polisi limemtaka Wakili Boniface Mwabukusi kuripoti katika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa huku likitaja sababu ni kuhutubia Mkusanyiko usio halali

Ikumbukwe, Oktoba 8, 2023 Wakili Mwabukusi na Dkt. Wilbroad Slaa walipanga kuhutubia Mkutano ambao ulizuiwa na Polisi na baadaye alielekea Kijiji cha Kandete ambako amedaiwa kuhutubia bila kuwa na Kibali

Leo Oktoba 9, 2023 Wakili huyo alitangaza kufanya Mkutano na Waandishi wa Habari hata hivyo Wakili anayemtetea Mwabukusi, Philip Mwakilima amesema Mkutano hautafanyika baada ya Wahusika kuitwa Ofisi ya Upelelezi.

======
Shingo haipiti kichwa
 
Kuna sheria inayoongoza mikusanyiko ya wananchi........ tuwe wakweli na si ushabiki. Mimi ni muumini mkubwa sana wa upinzani..... siitaki CCM katu! lakini I am always objective, siyo ushabiki.

sheria: Unaandika barua kuitaarifu polis (si kuomba ruhusa), unaendelea na harakati zako, watakushika (arrest), watakusumbua utawashinda mahakamani..... . sasa wao hawajaitaarifu polisi, itawasumbua sana....
Unasema sheria ni kuitaarifu polisi, polisi wanasema wakupe ruhusa! Tufuate lipi?
 
Uwe unasoma kwa makini. soma hii tena
A notification must be provided to the police 48 hours before holding a demonstration. The police can deny an assembly if it considers the assembly is likely to "cause a breach of the peace, prejudice the public safety or public order, be used for any unlawful purpose, or for failure to notify in the required time period." The Police Force and Auxiliary Service Act 2002 also establish that an assembly of three or more people, who do not obey orders to disperse when requested, would be classified as an “unlawful assembly”. In practice, sometimes security forces used excessive force to disperse peaceful protestors and even arrest protest organisers.
 
Katiba inasemaje kuhusu mikutano, je, ni jukumu la polisi kutoa ruhusa ya chama kufanya mkutano? Au chama kinatoa taarifa(si ombi) ya kufanya mkutano, weka katiba inavyosema.
 
Back
Top Bottom