Komredi Kawaida Apokelewa Mkoani Kagera kwa Ziara ya Kikazi

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,898
942

KOMREDI KAWAIDA APOKELEWA MKOANI KAGERA KWA ZIARA YA KIKAZI

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa na Mjumbe wa kamati kuu ya CCM Taifa Mohammed Kawaida amewasili mkoani Kagera kuhitimisha Ziara maalumu ya vinaja wanaonufaika na mradi wa Jenga kesho Bora BBT unaosimamiwa na wizara ya kilimo.

Lengo la ziara hiyo ni kuangazia Maendeleo ya utekelezaji wa mradi ambapo kwasasa wanufaika wanaendelea kupata Mafunzo yaliyoanza Machi 21, Mwaka huu na kwa mkoa wa Kagera mradi huo unatekelezwa katika Chuo Cha utafiti Maruku kilichopo Halmashauri ya wilaya Bukoba.

Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA Mohammed Kawaida akiwa mkoani Kagera ameambatana na Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Rehema Sombi na Katibu Mkuu Kenani Kihongosi pamoja na wakuu wa idara za UVCCM
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2023-05-09 at 14.20.21.jpeg
    WhatsApp Image 2023-05-09 at 14.20.21.jpeg
    56.6 KB · Views: 6
  • WhatsApp Image 2023-05-09 at 14.20.20.jpeg
    WhatsApp Image 2023-05-09 at 14.20.20.jpeg
    94.3 KB · Views: 5
  • WhatsApp Image 2023-05-09 at 14.20.22.jpeg
    WhatsApp Image 2023-05-09 at 14.20.22.jpeg
    93.4 KB · Views: 5
  • WhatsApp Image 2023-05-09 at 14.20.24.jpeg
    WhatsApp Image 2023-05-09 at 14.20.24.jpeg
    91 KB · Views: 7
  • WhatsApp Image 2023-05-09 at 15.01.42.jpeg
    WhatsApp Image 2023-05-09 at 15.01.42.jpeg
    88.1 KB · Views: 6
  • WhatsApp Image 2023-05-09 at 14.20.28.jpeg
    WhatsApp Image 2023-05-09 at 14.20.28.jpeg
    86.6 KB · Views: 6

KOMREDI KAWAIDA APOKELEWA MKOANI KAGERA KWA ZIARA YA KIKAZI

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa na Mjumbe wa kamati kuu ya CCM Taifa Mohammed Kawaida amewasili mkoani Kagera kuhitimisha Ziara maalumu ya vinaja wanaonufaika na mradi wa Jenga kesho Bora BBT unaosimamiwa na wizara ya kilimo.

Lengo la ziara hiyo ni kuangazia Maendeleo ya utekelezaji wa mradi ambapo kwasasa wanufaika wanaendelea kupata Mafunzo yaliyoanza Machi 21, Mwaka huu na kwa mkoa wa Kagera mradi huo unatekelezwa katika Chuo Cha utafiti Maruku kilichopo Halmashauri ya wilaya Bukoba.

Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA Mohammed Kawaida akiwa mkoani Kagera ameambatana na Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Rehema Sombi na Katibu Mkuu Kenani Kihongosi pamoja na wakuu wa idara za UVCCM
Huyu kawaida ni wakwaida sana ,huku bara kiongozi yeyote wa Zanzibar huonekana kama kilaza tu hata akitutumue vipi?

USSR
 
Komredi maana yake nini? Nilianza kusoma hili neno kwenye magazeti ya Sani
 
KOMREDI KAWAIDA APOKELEWA MKOANI KAGERA KWA ZIARA YA KIKAZI

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa na Mjumbe wa kamati kuu ya CCM Taifa Mohammed Kawaida amewasili mkoani Kagera kuhitimisha Ziara maalumu ya vinaja wanaonufaika na mradi wa Jenga kesho Bora BBT unaosimamiwa na wizara ya kilimo.

Lengo la ziara hiyo ni kuangazia Maendeleo ya utekelezaji wa mradi ambapo kwasasa wanufaika wanaendelea kupata Mafunzo yaliyoanza Machi 21, Mwaka huu na kwa mkoa wa Kagera mradi huo unatekelezwa katika Chuo Cha utafiti Maruku kilichopo Halmashauri ya wilaya Bukoba.

Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA Mohammed Kawaida akiwa mkoani Kagera ameambatana na Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Rehema Sombi na Katibu Mkuu Kenani Kihongosi pamoja na wakuu wa idara za UVCCM
Viva kamarada Kawaida

#SiempreCCM
 
Huyu kawaida ni wakwaida sana ,huku bara kiongozi yeyote wa Zanzibar huonekana kama kilaza tu hata akitutumue vipi?

USSR
Komredi kuna wakati unaonekana kilaza sana?!!!

Unatusemea watu wa bara ?!!! Umefanya tafiti ipi kuonesha kuwa wabara tunawaona viongozi kutoka Zanzibar ni vilaza?!!!

Acha chuki koko na kutolipenda taifa lako vyema kwani mwenye mapenzi na Tanzania kamwe hathubutu kuwa mbaguzi kwa raia mwenzake yeyote.....somo la uraia lilikupitia mgongoni?!!!

#SiempreJMT
 
zanzibar ni zanziba na bara ni bara.zanzibar ni nchi kamili inayojitegemea.ina rais,makamu,mawaziri na baraza lake.
 
Huyu kawaida ni wakwaida sana ,huku bara kiongozi yeyote wa Zanzibar huonekana kama kilaza tu hata akitutumue vipi?

USSR
Hama chama acha kulialia mmezoea kuswagana kama mbuzi huko bara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom