Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sekretarieti ya Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA imewasilisha waraka Maalumu kwa Kamati kuu ya Chama hicho ya kutokuwa na imani na Katibu Mkuu wa CHAUMMA na mgombea Urais wa Chama hicho katika...
7 Reactions
13 Replies
346 Views
Wakili Peter Kibatala amelionya Jeshi la Polisi kuwa linaweza kuendelea kupoteza imani ya umma iwapo halitachukua hatua za kisheria dhidi ya Mzee Clemence Mwandambo, kufuatia kusambaa kwa video...
9 Reactions
30 Replies
811 Views
Hamjambo! Bado najiuliza nini kinaendelea. Wanaopanga na kuchochea maandamano kisaikolojia hawatishwi na mtu yeyote Yule isipokuwa vyombo vya Dola. Fikiria watu wanaomtukana Rais, amiri jeshi...
4 Reactions
6 Replies
159 Views
Ndugu zangu Watanzania, CCM ndio yenye serikali,ndio chama kilicho chaguliwa na kupewa ridhaa na watanzania ya kuunda serikali, ndio chama kilicho na haki za kikatiba na kisheria kujua kila kitu...
1 Reactions
30 Replies
304 Views
Sio vitisho ila mambo yanaweza kuwa hivyo Itaonekana kwamba waandamanaji wamelipua biashara za watu na wao kwa wao wameuana na kujeruhiana.
4 Reactions
32 Replies
656 Views
Vyanzo vyangu vya Taarifa vimejihakikishia hakuna Kunguni yoyote aliyetoka leo baada ya Katazo la Waziri wa Mambo ya Ndani Mheshimiwa sana Patrobas Katambi. Mikutano ya Chuki, Matusi, Uzandiki na...
6 Reactions
23 Replies
479 Views
John Heche POPOTE ulipo ulaaniwe na Mungu Baba wa Mbinguni kwa kutizalia poyoyo kwenye siasa, Katambi wewe ndo ulilichoa Nafasi ya mwenyekiti Taifa Bavicha ona yanayo jili Sasa. Nyinyi wewe na...
1 Reactions
4 Replies
152 Views
Chalamila wewe ni tajiri mwenye uwezo wa kumiliki landikruza la bilioni japo umepewa na serikali, inasikitisha mtu anakopa mamilioni ya shilingi ili asafirishe wananchi wewe tajiri unaliita...
10 Reactions
21 Replies
416 Views
Katambi anataka mkimbilie MAHAKAMA, Ku buy time ya Kupooza Maandamano. Sasa basi, kwakua DUNIANI kote Hali ni chafu ,kumechafuka. Zuio la Katambi Leo ni kutusogeza mbele, katipa Back Up ya...
14 Reactions
31 Replies
739 Views
Wakati wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakiendelea na pilikapilika zao za kila siku, hali ya ulinzi na usalama imeimarishwa katika maeneo mbalimbali, huku askari wa Jeshi la Polisi wakionekana...
2 Reactions
24 Replies
849 Views
Mmeruhusu Malori yanayomilikiwa kwa Ubia na viongozi wenu kupita kila njia bila utaratibu Habari ya kusingizia Mabasi ya abiria ya Shekilango ni UONGO wa wazi kabisa Hakuna gari inayopaki...
7 Reactions
25 Replies
386 Views
Zipo fununu kwamba kuna mpango wa kujenga barabara ya kibaguzi ya mabasi ya mwendokasi kutoka mjini kuelekea Mbagala , yanayotokea kwenye ruti ya Mbezi -Kimara - Kariakoo, ya wajawazito...
20 Reactions
132 Replies
16K Views
Serikali ya CCM inayojiita serikali sikivu ilivunja nyumba zetu, maduka yetu, hoteli zetu, bar zetu, makanisa yetu na misikiti yetu bila ya kutulipa fidia yoyote. Leo kwenye ardhi zetu...
9 Reactions
27 Replies
361 Views
Najua mpo mtakao sema aliyepo Ikulu vs aliyepo ukonga, Mimi Sina maana hiyo jamanI wenye smartphone nawaombeni mtafute maelezo ya wakili Madereka na KAULI za Katambi aise Ina umiza sana sana sana...
1 Reactions
1 Replies
78 Views
  • Featured
Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katamb ameagiza Jeshi la Polisi kusitisha vibali vya mikutano ya siasa kwa kipindi kisichojulikana. Moto umekuwa mkali na uwanja umeinama kwa upande...
29 Reactions
372 Replies
7K Views
Wana jamvi naomba tumsikikize Mbunge wetu kupitia chama tawala. Inanipa shida kuamini kama anajua maana ya vijana au wazee. Kwangu mimi ningemshauri arudi darasani badala ya kurudi jimboni Kwale...
0 Reactions
3 Replies
129 Views
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala amesema anapenda kuona Haki ya msingi ya Kikatiba ya Kujieleza ikiheshimiwa Kigwangala amedai yeye binafsi ataipigania na kuitetea Haki ya msingi ya Mange...
17 Reactions
134 Replies
14K Views
Nafasi ya amani Afrika Chanzo cha picha,ABI Kwa mujibu wa Global Peace Index 2026, Tanzania ipo katika nafasi ya 17 barani Afrika kwa kiwango cha amani, huku ikiwa ya 98 duniani. Inazidiwa hadi...
6 Reactions
20 Replies
418 Views
Kama mnavyolalamika TLS kusema inatumiwa na chadema ndo ilivyo kwa miaka yote Chadema wanadai au kulalamika kwamba taasisi zote za serikali zimekuwa zikitumiwa na CCM au kupokea maagizo kutoka CCM...
6 Reactions
28 Replies
295 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…