Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu (Mb), amesema Bunge la Tanzania linaendelea kutekeleza wajibu wake wa msingi wa kuisimamia Serikali na kuhakikisha ustawi wa wananchi, huku akisisitiza kuwa...
2 Reactions
6 Replies
176 Views
Pongezi zenu vyombo vya nchi hii haswa jeshi la polisi na usalama mmejipanga mko attention kama siafu wanaovuka njia. Ni wazi kwamba bila hata kuambiwa waandamanaji wamerudi nyuma sana...
2 Reactions
11 Replies
247 Views
Hawa magwiji wawili wa siasa na jopo lao la viongozi ndani ya CDM wamefanya CCM wote kuchanganyikiwa na kupoteza legitimacy mbele ya wananchi kwa zaidi ya asilimia 80. Ni ukweli usiopingika kwamba...
2 Reactions
1 Replies
123 Views
Huku Arusha nauli za dalada ziko juu kuliko mji wowote Tanzania; kutoka kituo hadi kingine abiria wanalipishwa shilingi elfu moja [tsh.1,000/=], mkuu wa mkoa yupo, LATRA wapo, sasa mamlaka hizo...
10 Reactions
19 Replies
410 Views
Hamjambo! Bado nipo njia panda, Namkumbuka Captain Tesha, utulivu wake, Maneno yake, na body language yake, kisha baadaye tukuo la sauti kuvuja za kina Mafwele na kikao chao. Baadaye kabisa...
6 Reactions
96 Replies
2K Views
Na GULATONE MASIGA Katika siasa, mara nyingi ushindani hauhusu tu nani anajenga zaidi, bali pia nani anafanikiwa kujenga simulizi linaloaminika zaidi na wananchi. Ndiyo maana wakati mwingine hata...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akihojia na kituo cha Redio cha VOS Juni 25, 2026 amesema "Walioitisha Maandamano Julai 7 wana haki, CHADEMA tukiitisha tutatangaza hadharani." Heche...
4 Reactions
2 Replies
235 Views
  • Featured
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashimu Rungwe Spunda, ametangaza maamuzi ya Halmashauri Kuu ya chama hicho iliyoketi Juni 30, 2026, jijini Dar es Salaam. Katika kikao hicho...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
  • Featured
Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Benson Kigaila amesema tabia ya serikali kushiriki kuvunja sheria inatakiwa kupingwa na kila Mtanzania anayetaka utawala wa sheria...
2 Reactions
9 Replies
638 Views
Katibu Mkuu NLD na aliyekuwa Mgombea wa Urais kupitia chama hicho katika uchaguzi mkuu mwaka 2025, Doyo Hassan Doyo, akizungumza kwenye mahojiano na Wasafi Media leo Julai 2, 2026 "Ni kweli...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Ukishaelewa neno "mifumo ya dunia" basi hautakuwa mtu wa kulaumu utakuwa umejitambua na kufanya mambo yako ya kaisari muachie kaisari Mganga na mchawi ni ndugu wa baba mmoja na wote wanafanya...
2 Reactions
24 Replies
264 Views
Chama cha National League for Democracy (NLD) kitaanza kikao cha siku mbili cha Kamati Kuu kesho Jumatano, Julai 1, 2026 jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kinajiri wakati hali ya kisiasa nchini...
0 Reactions
3 Replies
126 Views
Ukishinda uchaguzi kwa kwa 98% maana yake unakubalika. Yaani wananchi wanakukubali na utendaji kazi wako unakubalika. Nashangaa huyu kiongozi wetu kushinda uchaguzi kwa 98% alafu mitaani kila...
25 Reactions
100 Replies
2K Views
Nikiri. Mie si mtabiri wal sifanyi utabiri wala kufanya hiki ninachoandika utabiri bali uoni. Ila nina hisia kuwa watajwa hapo juu, kwa namna mmoja alivyoadimika na mwingine alivyoanza kumuandaa...
4 Reactions
22 Replies
594 Views
Nakuunga juhudi zako lakini anza na uchafu barabarani kwanza ,tengeneza mitaro,na sehemu za kutupa taka. Unakuta mji mzima asubuhi umesheheni makohozi tu hata kwa kukanyaga hakuna inakulazimu...
1 Reactions
9 Replies
202 Views
Hivi majuzi tumemsikia IGP Mstaafu Omari Mahita akitamka waziwazi , tena bila kumung'unya maneno , akisema katika nafasi yake ya Mkuu wa Polisi, yeye alikataa kutumika kwa mambo dhahiri ya...
1 Reactions
7 Replies
130 Views
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rais Samia amesema Tunaishi katika zama za mataifa kukubaliana katika biashara na kwa kiasi kikubwa kupungua kwa...
1 Reactions
7 Replies
197 Views
  • Redirect
Ukiangalia mashehe uchwara aka mashehena kama Mwaipopo wanavyomwaga upupu bila kutiwa nguvuni, unagundua kuwa kumbe, chini ya Samia, tunaendeshwa na mfumo islamu. Mko wapi waislam ambao mmekuwa...
4 Reactions
– Replies
– Views
Misingi thabiti ya taifa lolote linaloendelea na lenye nia ya dhati ya kustawi inategemea nguzo kuu mbili: uongozi bora wenye maono na uwazi, pamoja na ridhaa ya wananchi ambao ndio msingi wa...
4 Reactions
3 Replies
157 Views
Moja ya Dawa, iliyokuwepo ndani kwa Dereva wa Heche ni Panadol/Paracetamol Paracetamol haiui ndani ya siku moja na ni moja ya dawa ngumu kuoverdose, kwa sababu unaruhusiwa kutumia hadi vidonge...
14 Reactions
23 Replies
682 Views
Back
Top Bottom