Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Kamishna wa Uhifadhi.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses...
Wakuu,
Hapa inadaiwa ni Kijiji Cha Nyaburundu wilaya ya Bunda ambapo kuna mgodi ambao wananchi wanachimba inasemekkana kuwa Serikali imemuuzia mchina huo mgodi
Soma Pia: Mnyika: CHADEMA...
Akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini ya hati ya ushirikiano kati ya Tanzania na Marekani kwenye Sekta ya Afya iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam, Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa...
Kuuliza si ujinga wala kutaka kujua si ujinga na kutafakari pia ni vema,
Nimekuwapo tokea kipindi cha Nyerere, ila nimejitambua zaid kipindi cha Mwinyi ,Mkapa na Kikwete,
Lakini nauliza kuna...
TAARIFA ikufikie popote ulipo kwamba Kama Kuu ya CHAMA kikuu cha SIASA Nchini Tanzania inakutana Mjini Kigoma kwenye ofisi ya Kisiasa ya Kanda ya Magharibi
USIONDOKE JF KWA TAARIFA KAMILI
Wafuasi wa chadema mkiwa jukwani/mitandaoni mnabwatuka...eti ooh chadema inapendwa, acheni kujidanganya hakuna mtu anayekipenda chama cha vibaraka wa mabeberu, chama cha matusi, chama cha matapeli...
Zamani CCM ilikuwa inategemea kundi la wanawake kama kundi lake la wapiga kura.
Lakini utafiti wangu siku za hivi karibuni nimegundua wanawake wengi hawataki kabisa kusikia habari za CCM...
Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omaramjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania
Pia soma: Luhaga Mpina: Bei ya mafuta imeshuka soko la Dunia kwa 22% lakini hatuoni bei...
Katika misururu ya misiba ya viongozi na wanachama wa chadema sehemu mbalimbali nchini, pamekuwepo na tetesi, minong'ono, tuhuma na malalamiko ya mara kwa mara dhidi ya wizi au upigaji wa fedha za...
Wakuu,
Kama mnavyoona hapa, wananchi wanachimba na kuchota maji kwenye mto uliokauka. Eneo hili linadaiwa kuwa ni Chandama, Wilaya Chemba, Mkoa Dodoma
Video hii inasambaa sana kwenye mitandao ya...
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku 'Musukuma', amesifu utendaji kazi na uthubutu wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akibainisha kuwa msimamo wake thabiti...
Tulionya kuhusu October 29 kwamba serikali kujipachika madarakani kwa kutegemea vyombo vya dola itakosa uhalali wa kisiasa na ungwaji mkono wa wananchi walio wengi sasa kiko wapi...
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu (Mb), amesema Bunge la Tanzania linaendelea kutekeleza wajibu wake wa msingi wa kuisimamia Serikali na kuhakikisha ustawi wa wananchi, huku akisisitiza kuwa...
Pongezi zenu vyombo vya nchi hii haswa jeshi la polisi na usalama mmejipanga mko attention kama siafu wanaovuka njia.
Ni wazi kwamba bila hata kuambiwa waandamanaji wamerudi nyuma sana...
Hawa magwiji wawili wa siasa na jopo lao la viongozi ndani ya CDM wamefanya CCM wote kuchanganyikiwa na kupoteza legitimacy mbele ya wananchi kwa zaidi ya asilimia 80. Ni ukweli usiopingika kwamba...
Huku Arusha nauli za dalada ziko juu kuliko mji wowote Tanzania; kutoka kituo hadi kingine abiria wanalipishwa shilingi elfu moja [tsh.1,000/=], mkuu wa mkoa yupo, LATRA wapo, sasa mamlaka hizo...
Hamjambo!
Bado nipo njia panda, Namkumbuka Captain Tesha, utulivu wake, Maneno yake, na body language yake, kisha baadaye tukuo la sauti kuvuja za kina Mafwele na kikao chao.
Baadaye kabisa...
Na GULATONE MASIGA
Katika siasa, mara nyingi ushindani hauhusu tu nani anajenga zaidi, bali pia nani anafanikiwa kujenga simulizi linaloaminika zaidi na wananchi. Ndiyo maana wakati mwingine hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.