Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro...
27 Reactions
174 Replies
10K Views
SWALI ni hilo hapo juu. Maana chungu kimeishiwa kabisa , sana sana uchaguzi ni hao wawili
0 Reactions
2 Replies
115 Views
  • Redirect
Na George Michael Uledi Mei 11, 2026 Hivi karibuni, Rais William Ruto wa Kenya alitoa kauli iliyozua mjadala mzito baada ya kutangaza kuwa ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta ghafi cha...
0 Reactions
Replies
Views
Muwe na Usiku mwema.
1 Reactions
1 Replies
91 Views
Ninathibitisha kwamba Chadema ndio CHAMA kikuu cha SIASA Nchini Tanzania, Kama unabisha fuatilia Mkutano wa CHAMA hicho muda huu kwenye viwanja vya Soko kuu Ilikuwa vema mno kwa CCM kumtumia Anna...
14 Reactions
53 Replies
986 Views
Kweli kabisa mitandao inabaini mapema kabisa! Ktk kupanga bajeti za nchi, bajeti inaongezwa kutegemea nani ni waziri, na anapangiwa makatibu wakuu wa aina fulani. Trend hii ilijionesha kwa Bashe...
2 Reactions
2 Replies
174 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limethibitisha kupokea taarifa ya kifo cha mwanamke aliyefahamika kwa jina la Aisha Miraji, mkazi wa Nzasa Temeke, ambaye mwili wake ulipatikana kwenye...
1 Reactions
9 Replies
298 Views
Kwa sheria ya mabadiliko ya katiba, bunge lina nafasi kubwa ya kurekebisha katiba. Wananchi tulio wengi tumeona MAMA ANATOSHA AONGEZEWE MUDA. Bunge lifanya kitu kabla ya 2030 ili mama aendelee...
3 Reactions
33 Replies
453 Views
Mbunge wa Jimbo la Kisarawe mkoani Pwani, Dkt. Selemani Jafo ametilia mkazo suala la wajibu wa kila mtanzania kulinda amani ya nchi akieleza kuwa ajenda ya amani haina mbadala hivyo inapaswa...
1 Reactions
8 Replies
315 Views
Mbunge, Taletale amependekeza kuwa Serikali ije na SGR ambulance kwa kuwa kuna wagonjwa wanakiwa wanahitaji huduma ya magari ya wagonjwa kutoka Morogoro kwenda Muhimbili ila hawana uwezo hivyo kwa...
1 Reactions
5 Replies
204 Views
Akichangia hoja Bungeni leo, Mei 12 MbungeTaletae amesema kuwa Licha ya wagonjwa kuwa wengi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ina magari mawili tu ya kubeba wagonjwa.
0 Reactions
1 Replies
112 Views
YA WARIOBA, MANGE NA KHALIFA: TANZANIA MOJA, ULIMWENGU MITATU TOFAUTI Tanzania ya leo inaishi katika mgawanyiko ambao hauonekani kwa macho, lakini unasikika kwenye kila mjadala wa kisiasa, kila...
1 Reactions
0 Replies
173 Views
Wakuu, Baada ya mwili wa Temba kuopolewa huko Tabata uliibuka mwili mwingine maeno ya Daraja la Salender, ukionekana kuwa ni wa mwanaume, polisi walifika na kuchukua mwili na kuondoka nao. Mpaka...
4 Reactions
16 Replies
287 Views
Rais Samia akamilisha ujenzi wa Uwanja wa Ndege Tabora Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan imefanikisha kukamilika kwa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa...
1 Reactions
0 Replies
135 Views
Nimeona video clip ya mbunge mmoja akichangia kwa Kiswahili na kiingereza. Baadaye akanogewa, nahisi kwa panic fulani, akaanza kuzungumza kwa kiarabu na kifaransa. Nijuavyo lugha za Bunge ni...
5 Reactions
39 Replies
693 Views
Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema kuna mtandao unaokwamisha juhudi za kuanzisha viwanda vya dawa nchini, akidai kuwa baadhi ya viongozi wanahujumu sekta hiyo kwa masilahi binafsi huku...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Tatu wa Uganda Mhe. Rukia Isaya Nakadama mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege...
2 Reactions
19 Replies
346 Views
Ndugu zangu Watanzania , Kiukweli Rais Samia amejaliwa Moyo wa Huruma na upendo sijapata kuona. Ni Mama Mwenye Kuguswa na shida za watu. Ni Mama na Rais Mwenye Upendo wa Agape . Maisha ya Rais...
3 Reactions
22 Replies
836 Views
Akichangia hoja Bungeni leo Mei 12, 2026, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Jesca Mbogo, ameiomba serikali kuwapa kipaumbele vijana ambao wamekuwa wakijitolea kwa muda mrefu kwenye sekta ya...
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Hivi karibuni mwanzoni mwa mwezi ujao nitazindua kampuni yangu Mpya ya Uchwara Media Group...tutaanza na Online Digital Tv na Radio. Uchwara Media Group itakuwa ni platform kwa watangazaji wote...
3 Reactions
14 Replies
312 Views
Back
Top Bottom