Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
DEREVA WA JOHN HECHE AKUTWA AMEKUFA DAMU ZIMETAPAKAA KWENYE SAKAFU. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Assalam alaykum Kila mtu anafahamu kuwa nchi inapita kwenye mapito magumu mno kutokana na mzozo wa vyama hivi na kutunishiana misuli CCM wanatumia dola huku CHADEMA wakiwekeza katika harakati...
7 Reactions
55 Replies
723 Views
Wakuu, Huyu Clemence Mwandambo walivyomkamata polisi walimfanya nini? Hii hapa ni video akizungumzia kuhusu maandamano yanayopangwa kufnaywa Siku ya Tarehe 7 mwezi wa 7: "Unawachochea watoto za...
1 Reactions
6 Replies
159 Views
  • Redirect
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, Mheshimiwa John Heche Suez amekutwa amefariki leo...
0 Reactions
– Replies
– Views
Angalia kilichofanyika Tuninisia na Egypt kipindi cha Arab springs miaka ya 2010. Tawala za madikteta waliokuwa wakitafuna mali za umma na familia zao ziliangushwa na kufurushwa kwa kupitia...
3 Reactions
5 Replies
100 Views
Anatuhumiwa kushirikiana na Katibu Mkuu Salum Mwalimu aliyekalia kuti kavu kuunga Mikono ccm pamoja na kutafuna hela za Chama Tulionya Mapema sana kuhusu madhara ya laana ya Usaliti lakini...
29 Reactions
62 Replies
1K Views
  • Redirect
Sasa Amefika Mkoa wa Mara Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 📆 1 Julai, 2026. 🕰️ 5:00 Asubuhi. Lengo la Ziara: 1. Kukagua Jengo la Utawala - H/W ya...
1 Reactions
– Replies
– Views
Huyu mbunge wa Arusha, nadhani aligombea ubunge akilenga uwaziri and nothing else. Mambo ya muhimu hafanyi. You can imagine hakuna direct flight toka Arusha kwenda Dodoma. Huyu mbunge hana...
3 Reactions
30 Replies
420 Views
Nimesikikiza mara nyingi tu lkn Sioni walipo sema wamekosea na kuomba radhi Watanzania. Naomba tumsikikize ili nasi tujue nini kilisababisha Hawa watu kuyaongea Haya kwa kujiamini Tena bila ya...
0 Reactions
2 Replies
131 Views
Hivi neno uzalendo mnajua maana yake? Mbatuambia tuipende nchi yetu huku nyie wenyewe mkiishi kwenye dimbwi la anasa na watoto wenu. Bei ya mafuta Huko duniani imeshuka Kwa kiwango cha chini...
14 Reactions
23 Replies
310 Views
This is not just a story about poverty. It is a story about survival, a mother's sacrifice, and a child's determination to find hope in the darkest moments. Will this young boy escape the village...
1 Reactions
0 Replies
72 Views
Hello watanzania. Kwa sasa ata kama we ni chawa ni dhahili anguko la Samia unaliona, Samia wa 2021-2023, sio Samia huyu. Samia wa enzi zile alikuwa anapendwa na watanzania japo sio wote na...
14 Reactions
27 Replies
660 Views
Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya, amesema hakuna Mtanzania ambaye anatamani kuona matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Amesema matukio hayo yaliathiri na...
3 Reactions
27 Replies
447 Views
Kwa nijuavyo, hatujawahi kuwa na waziri wa fedha mzenj tangia Nyerere hadi Magu. Najua Fedha si suala la muungano huenda ndiyo maana wote wenye akili timamu waliamua kutokuwa na mawaziri wa fedha...
0 Reactions
23 Replies
343 Views
Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimetoa shukrani zake za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia magari mawili (Toyota Land Cruiser...
3 Reactions
13 Replies
213 Views
Leo, shinganya waumini wa KKKT wamekataa upuuzi wa kutumika imani yao na kanisa kumsafisha Samia. Kulikuwa na kampeni kubwa sana imeandaliwa na michango ya mabilioni ya fedha kutoka kwa serikali...
12 Reactions
19 Replies
525 Views
Ndugu zangu Watanzania, Wale wanaharakati uchwara waliokuwa wanafanya uchochezi, kuchochea machafuko ,kutoa kauli za kupandikiza chuki , uchonganishi na uzushi wa kila aina ili kuwahamasisha...
2 Reactions
17 Replies
289 Views
Kwa sasa, hakuna mtu mwenye kusikika na kusababisha utata kama mwana wa mfalme Muhoozi Keinerugaba. Anakamata wale wanaopinga. Anafungia vyombo vya habari. Anatoa matamshi kana kwamba yeye ndiye...
2 Reactions
12 Replies
265 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amedai kuwa alifuatiliwa na watu aliowatambua kuwa ni askari wa polisi waliokuwa wameficha nyuso zao na kubeba silaha za moto wakati wa safari yake kutoka...
25 Reactions
55 Replies
1K Views
Back
Top Bottom