Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naona kama watanganyika tumesha zoea hili la serikali kuua watu, yani wala hatujali tunaona kawaida tuu, na wala hatuoni kama ni mjadala tena, yani ni kama tumesha kuwa polarised kwa matukio ya...
1 Reactions
7 Replies
133 Views
JWTZ mambo yote yanayofanywa na serikali ya kiraia (CCM ) mnayaona mnayafumbia macho kwasasa usalama wa taifa na polisi ni matawi ya CCM ila nyie JWTZ mmeanza kudharauliwa mno kwasasa ile heshima...
22 Reactions
54 Replies
945 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu gazeti la mwananchi la leo, Tarehe kama ya leo, Julai, 1, 1996, ndipo Mamlaka ya Mapato Tanzania, TRA, ilianzishwa rasmi, hivyo leo, Tarehe 1, July, 2026, TRA...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Mandeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu, atawahoji kwa maswali ya dodoso Kamishna Mkuu wa Magereza pamoja na Mkuu wa Gereza la Ukonga tarehe 1 hadi 3 Julai 2026...
7 Reactions
10 Replies
481 Views
Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Juma Mwenda, amesema Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato, ambapo kwa mwaka wa fedha 2025/26 imekusanya jumla ya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nawapa neno moja kwa leo, Pindi polisi mnapokuwa Depo huwa kuna mtihani wa kulenga shabaha na kuna kuwa na maksi mnazowapa. Sasa niwaulize wale waliopata 0% kwenye shabaha huwa mnawapa silaha...
2 Reactions
7 Replies
220 Views
Hakuna mtu mwenye hisa ya kuishi milele Duniani hapa tuheshimu maisha ya watu na kazi ya Mungu. Nawatakieni usiku mwema
1 Reactions
2 Replies
103 Views
Mpaka sasa haijulikani Polepole alipo. Ametekwa au ameuwawa. Haijulikana hata kijana ambae alikuwa hana impact yoyote kwenye siasa za Tanzania. Ambae inasadiki2a kuwa alitekwa baada ya kutoka...
2 Reactions
5 Replies
122 Views
Habari wakuu, Kwa kasi ya wachina kujenga na kununua apartment baada ya miaka saba sehemu hizi hazitakuwa sehemu ya Tanzania, mbaya zaidi sasa wameanza kujaza makontena, Kwa sasa ile hadhi ya...
7 Reactions
46 Replies
991 Views
Hamjambo wote! Kuna kitu machawa na wapambe wengi hawakijui kuhusu siasa na mambo ya utawala. Na leo mtibeli nitawajuza. Unapoona serikali. Sijui mawaziri, wabunge, Usalama wa taifa, Majeshi...
10 Reactions
22 Replies
351 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 27, 2026 akizungumza na wananchi wa Ikungi, Mkoani Singida ametoa amri kwa Vyombo vya usalama kutoogopa wala kutomchekea Mtu yeyote anayetaka kuvunja...
4 Reactions
41 Replies
634 Views
Serikali sikivu, serikali yenye huruma, serikali ya watu. 😁😂😃😀😅
4 Reactions
12 Replies
254 Views
Ndugu IGP, siku hizi kila ikifika jioni saa kumi na moja mpaka saa moja jioni kuna foleni ya kutisha njia hii. Watu wanakaa hata masaa mawili.kutoka Morocco kufika Mwenge. Watu wanakushutumu wewe...
8 Reactions
16 Replies
253 Views
Habari za wakati huu wanachama wa jamiiforums Baada ya kuapishwa kuwa katibu mkuu kiongozi, mzee Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana wetu...
5 Reactions
218 Replies
22K Views
Kupitia akaunti yake ya X, Hilda ametoa taarifa akidai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mwanza amekamatwa ============= Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mwanza Adam Chagulani amekamatwa na Polisi...
8 Reactions
37 Replies
715 Views
Polisi wenye silaha za moto watanda Tanzania.
10 Reactions
53 Replies
1K Views
Kauli za shehe Mwaipopo na yote yanayomzunguka kuyafanya zitunzwe vema Kwa future use. Tutakapopata serikali yenye akili mtu huyu atafikishwa vizuri tu mbele ya Sheria na wote wanaomtuma na...
9 Reactions
12 Replies
179 Views
Wakuu hii ndiyo hotuba ya Kambi ya Upinzani Bungeni, Katiba na Sheria, inayosomwa bungeni na Waziri Kivuli Wizara ya Katiba na Sheria, Tundu Lissu; 1. Soma na utaona msimamo wa CHADEMA juu ya...
54 Reactions
224 Replies
21K Views
Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Alphonce Misime akieleza hali ya Ulinzi na Usalama katika maonyesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), amezumgumzia Amani ila hakuzungumzia haki...
4 Reactions
11 Replies
270 Views
Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi amemwagiza IGP Wambura kuanza kuwahoji watu mbalimbali ambao wamekuwa waziwazi na ushahidi na vielelezo wakichochea uvunjaji wa amani katika...
3 Reactions
21 Replies
402 Views
Back
Top Bottom