Bila ya CCM, Tanzania ingepoteana

Bila ya CCM, Tanzania ingepoteana

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,011
Reaction score
32,907
Salaam Wana JF

Nilikuwa nasafiri kuelekea mkoa fulani hivi, kwakweli kama nchi tumejitahidi kufanya Maendeleo, kila baada ya umbali kadhaa unaona miradi ya Barabara inaendelea. Kuelekea nchi ya ahadi japo kuna watu wanaponda juhudi za serikali lazima tujue kuwa hata Roma haikujengwa kwa siku moja, development is a process.

Ukija kwenye suala la amani serikali chini ya mwamvuli wa CCM imejitahidi kujenga misingi ya undugu kwakuwa hakuna ukabila wala aina zozote za kubaguana. Kwa hili CCM wanahitaji pongezi kubwa japokuwa kuna changamoto kubwa kutoka kwa watu mbali mbali.

Tukubali tu kuwa vyama vya upinzani bado sana kupata ukomavu wa kuongoza nchi hii sababu wana siasa za vurugu, hakuna democracy with themselves + siasa za kugawa nchi. Yote kwa yote CCM tuwape maua yao.

NB: Kama kusingekuwa na CCM basi nchi ingekuwa kama Somali, Sudan, CAR etc. Je, kama Mtanzania unaonaje hili?

Nakala waione;

Mshana Jr
Erythrocyte
 
Kwanza fahamu CCM sio Algorithm ya kuendesha Nchi, bali ni kikundi cha watu wenye kutaka uongozi. Tanzania ina idadi ya watu wengi sana ambao wanaweza kuongoza nchi vizuri kuliko hata hao CCM endapo wakipewa nafasi

Nchi kama Zambia na nyinginezo za kusini mwa Afrika zimeendelea vizuri tu bila vyama vyao vilivyosaidia kupata uhuru...wewe kwa akili zako zote inahisi Tanzania ya watu milioni 60, viongozi wazuri wapo CCM tu? Semq tu ni kwamba manaiba kura na kufinya demokrasia, bila hivyo CCM ingekuwa ishatoka madarakani kitambo
 
Una maana huu ni mwendelezo ule ule wa kujitoa ufahamu?

Kujikomboa kutoka CCM, uwe tayari kujitoa ufahamu
 
Kwanza fahamu CCM sio Algorithm ya kuendesha Nchi, bali ni kikundi cha watu wenye kutaka uongozi. Tanzania ina idadi ya watu wengi sana ambao wanaweza kuongoza nchi vizuri kuliko hata hao CCM endapo wakipewa nafasi

Nchi kama Zambia na nyinginezo za kusini mwa Afrika zimeendelea vizuri tu bila vyama vyao vilivyosaidia kupata uhuru...wewe kwa akili zako zote inahisi Tanzania ya watu milioni 60, viongozi wazuri wapo CCM tu? Semq tu ni kwamba manaiba kura na kufinya demokrasia, bila hivyo CCM ingekuwa ishatoka madarakani kitambo
Ukienda mtaani ndipo utaelewa jinsi CCM inavyopendwa
 
Salaam Wana JF

Nilikuwa nasafiri kuelekea mkoa fulani hivi, kwakweli kama nchi tumejitahidi kufanya Maendeleo, kila baada ya umbali kadhaa unaona miradi ya Barabara inaendelea. Kuelekea nchi ya ahadi japo kuna watu wanaponda juhudi za serikali lazima tujue kuwa hata Roma haikujengwa kwa siku moja, development is a process.

Ukija kwenye suala la amani serikali chini ya mwamvuli wa CCM imejitahidi kujenga misingi ya undugu kwakuwa hakuna ukabila wala aina zozote za kubaguana. Kwa hili CCM wanahitaji pongezi kubwa japokuwa kuna changamoto kubwa kutoka kwa watu mbali mbali.

Tukubali tu kuwa vyama vya upinzani bado sana kupata ukomavu wa kuongoza nchi hii sababu wana siasa za vurugu, hakuna democracy with themselves + siasa za kugawa nchi. Yote kwa yote CCM tuwape maua yao.

NB: Kama kusingekuwa na CCM basi nchi ingekuwa kama Somali, Sudan, CAR etc. Je, kama Mtanzania unaonaje hili?

Nakala waione;

Mshana Jr
Erythrocyte
Nabii Tito alishacha ule mchezo wenu mbaya wewe utacha lini,mtoto wa kiume huna tofauti na Shilole
 
Ukienda mtaani ndipo utaelewa jinsi CCM inavyopendwa

Hata huyu ndugu alisikika akiongea kama wewe:

Screenshot_20231017-081427.jpg

Ndugu mwingine hakumung'unya maneno:

IMG_1567.jpg

Habari ndiyo hiyo.
 
Kivpi mkuu

Click hapo kuona. Uzi uko wazi. Unajadili lipi la maana na huyu ambaye, kivyao vyao, ruksa na bila aibu?

1. Magoli ya mkono
2. Wizi wa chaguzi.
3. Kukimbia na masunduku ya kura mchana mchana.
4. Kuongeza kura kwenye masanduku.
5. Kuengua wapinzani.
6. Kununua wapinzani.
7. Kununua wasimamizi.
8. Kulazimisha refa kuwa wao.
9. Kulazimisha chaguzi bIla tume huru.
10. Kununua waliochaguliwa.
11. Kuengua waliochaguliwa.
12. Kuwashughulikia wakosoaji.
13. Nk, nk.
 
Salaam Wana JF

Nilikuwa nasafiri kuelekea mkoa fulani hivi, kwakweli kama nchi tumejitahidi kufanya Maendeleo, kila baada ya umbali kadhaa unaona miradi ya Barabara inaendelea. Kuelekea nchi ya ahadi japo kuna watu wanaponda juhudi za serikali lazima tujue kuwa hata Roma haikujengwa kwa siku moja, development is a process.

Ukija kwenye suala la amani serikali chini ya mwamvuli wa CCM imejitahidi kujenga misingi ya undugu kwakuwa hakuna ukabila wala aina zozote za kubaguana. Kwa hili CCM wanahitaji pongezi kubwa japokuwa kuna changamoto kubwa kutoka kwa watu mbali mbali.

Tukubali tu kuwa vyama vya upinzani bado sana kupata ukomavu wa kuongoza nchi hii sababu wana siasa za vurugu, hakuna democracy with themselves + siasa za kugawa nchi. Yote kwa yote CCM tuwape maua yao.

NB: Kama kusingekuwa na CCM basi nchi ingekuwa kama Somali, Sudan, CAR etc. Je, kama Mtanzania unaonaje hili?

Nakala waione;

Mshana Jr
Erythrocyte

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom